Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Kwa tafsiri yako hii hakuna asiyekuwa na mfumo wa maisha kwahiyo naona ni tafsiri isiyokuwa na sense.
Yani we ndio basi kumbe wakati unakataa ulikuwa ujui unacho kikataa kua aki make Sense hapo ndio unapaswa kushukuru maana umejua tafsiri siku nyingine hutokua unaruka ruka mada bila kujua unacho kikataa au kukikubali au umesahau hoja ilikuwa nini mpaka ukajibiwa hivyo
 
Wewe ni akili ndogo hivyo nakuacha.
 
Mokiti


Dr. Moore was Professor of Anatomy and Chairman of the Department, Faculty of Medicine, at the University of Toronto.

“And certainly We created man of an extract of clay, Then We made him a small seed in a firm resting-place, Then We made the seed a clot, then We made the clot a lump of flesh, then We made (in) the lump of flesh bones, then We clothed the bones with flesh, then We caused it to grow into another creation, so blessed be Allah, the best of the creators. Then after that you will most surely die. Then surely on the day of resurrection you shall be raised” Referring this Quranic verse,

Dr. Keith Moore says: “This verse from the Koran states that God made you from a drop and then changed the drop into a leech-like structure which soon changed into a chewed like substance that then took the shape of bone and was clothed with flesh” “I was amazed at the scientific accuracy of these statements which were made in the 7th century A.D”

Knowledge in the field of embryology could not progress significantly until the microscope was discovered in the 17th century. After it was possible to examine cells under the microscope, it was reasoned in the 18th century that development resulted from growth and differentiation of embryonic cells. "The staging of human embryos was not proposed until the 1940's, and the stages used nowadays were not adopted worldwide until a few years ago." It is reasonable to interpret the three veils of darkness mentioned in the Koran as: (a) the mother's abdominal amino chorionic membrane composed of the fused amnion and chorion. These three anatomical layers protect the embryo from external injury.

2. Dr. E. Marshall Johnson is Professor Emeritus of Anatomy and Developmental Biology at Thomas Jefferson University, Philadelphia, Pennsylvania, USA. There, for 22 years he was Professor of Anatomy, the Chairman of the Department of Anatomy, and the Director of the Daniel Baugh Institute. He was also the President of the Teratology Society. He has authored more than 200 publications.

“The Quran describes not only the development of

external form, but emphasizes also the internal stages,

the stages inside the embryo, of its creation and

development, emphasizing major events recognized

by contemporary science.” –

“As a scientist, I can only deal with things which I can specifically see. I can understand embryology and developmental biology. I can understand the words that are translated to me from the Quran. As I gave the example before, if I were to transpose myself into that era, knowing what I knew today and describing things, I could not describe the things which were described. I see no evidence for the fact to refute the concept that this individual, Muhammad, had to be developing this information from some place. So I see nothing here in conflict with the concept that divine intervention was involved in what he was able to write.”

3. Dr. Gerald C. Goeringer is Course Director and Associate Professor of Medical Embryology at the Department of Cell Biology, School of Medicine, Georgetown University, Washington, DC, USA. During the Eighth Saudi Medical Conference in Riyadh, Saudi Arabia, Professor Goeringer stated the following in the presentation of his research paper:

“In a relatively few aayahs (Quranic verses) is contained a rather comprehensive description of human development from the time of commingling of the gametes through organogenesis. No such distinct and complete record of human development, such as classification, terminology, and description, existed previously. In most, if not all, instances, this description antedates by many centuries the recording of the various stages of human embryonic and fetal development recorded in the traditional scientific literature.”

2. Dr. Maurice Bucaille is an eminent French surgeon, scientist, scholar and author of "THE BIBLE THE QUR'AN AND MODERN SCIENCE", and "WHAT IS THE ORIGIN OF MAN?" which contains the result of his research into the Judaeo-Christian Revelation and the Qur'an. It is a unique contribution in the field of religion and science.

After a study which lasted ten years, Dr. Maurice Bucaille addressed the French Academy of Medicine in 1976 concerning the existence in the Qur'ân of certain statements concerning physiology and reproduction. His reason for doing that was that :

"...our knowledge of these disciplines is such, that it is impossible to explain how a text produced at the time of the Qur'ân could have contained ideas that have only been discovered in modern times." "The above observation makes the hypothesis advanced by those who see Muhammad as the author of the Qur'ân untenable. How could a man, from being illiterate, become the most important author, in terms of literary merits, in the whole of Arabic literature?

How could he then pronounce truths of a scientific nature that no other human-being could possibly have developed at that time, and all this without once making the slightest error in his pronouncement on the subject?"


Mnatakiwa kujua kuwa Quran imeshuka katika kiarab na kiswahili kimekuja baadae sana kikiwa na misamiati michache (wala bado hakina tafsiri za deep scientific terms) hivyo kuitafsri tu Quran bila kuwa na maana zake haitoshi.

Tatizo lenu limeanzia pale ambapo mnapokaa wakristo kuijadili/ kuchambua bibilia mnakuta ukakasi mwingi usioelezeka ila metundika mapazia kwnye macho yenu ili mjifiche kutok kwnye uhalisia. Mnaambiana huwez elewa bible mpaka uwe na roho mtakatifu ndan yako [emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Badala ya kujikita kukataza waislam wasile nguruwe ilikuaje kuran ikajichanganya kwenye sayansi tena???
 
Kuruani haiko kisomi....
We uliona wapi kitabu cha dini kinaelekezwa watu wenye akili tumamu eti wasivae suti
Jaman wapi tena hiyo [emoji16][emoji16] nyie watu mnafurahisha sana. Mm kwkuwa najua wakt Quran ni ya zaman na sut ni ya karne za juzi tu ningechukua hiyo kama point ya kudefend Quran kwa kujua ujio wa suti. I'd be like what a masterpiece
 
Soma yote song of Solomon sikupi aya maana nyinyi wavivu sana kitabu cha kiharameik shukran
Acha kudanganya na kujidanganya bwana. Inakufaidia nini? Muhammad hatambuliki kwa Wakristo. HAWAMTAMBUI na sisi wengine tumeridhika hatuoni haja ya kulazimisha maana Muhammad hawahusu Wakristo.
 
Acha kudanganya na kujidanganya bwana. Inakufaidia nini? Muhammad hatambuliki kwa Wakristo. HAWAMTAMBUI na sisi wengine tumeridhika hatuoni haja ya kulazimisha maana Muhammad hawahusu Wakristo.
Nashukuru umeridhika kutokujua ukweli basi na sisi mtuachie aya yetu nyinyi inawahusu nini au mnajua sisi atuisomi hiyo bibilia mka yaka Nyaga s
 
Nashukuru umeridhika kutokujua ukweli basi na sisi mtuachie aya yetu nyinyi inawahusu nini au mnajua sisi atuisomi hiyo bibilia mka yaka Nyaga s
Sijui kama kuna Mkristo mwenye akili anasoma Quran. Kama huyu aliyeandika ni mbabaishaji hawezi kuwa Mkristo. Na kama ni Mkristo basi atakuwa Mpumbavu. Mi nasoma Quran sababu inanihusu na Biblia pia. Wazazi wangu wamegawanyika kwa Dini. So hakuna wa kunidanganya hapo.
 
Mbona hata wamekatazwa
Wasabato wana bible yao na wengne kina roman wana yao. Ila dini ni ileile iliyofundishwa, sjui iliyoletwa na mwana wa mungu Yesu Kristu[emoji1781] aliyewachanganya wayahud wakamchapa misumari[emoji1787][emoji1787]. Cheza na vichwa vya wayahud unaongea zigzag vitu avielewek afu wakuache[emoji41].
 
Mh pole sana
 
Inakuaje Dini moja vitabi tofauti yani hiyo ni weakness teyar
 

huwezi kuifahamu quraan kwa juujuu mpaka usome. hata waarabu wenyewe ni lugha yao lakini wanaenda kusomea ili waifahamu quraan, quraan inapoelezea kitu mtume hufahamisha kwa urefu na ndio maana unaambiwa tufuate quraan na suna za mtume muhamad, ndipo tutaelewa, suna ni maelekezo ya mtume jinsi alivyokuwa anafanya na anavyoishi
 
Mh pole sana
Asante. Maana ni kweli huwa wengi wananionea huruma kwa kuupenda ukweli. Wananishangaa... Mi sicheki na nyani au wa dini yoyote akileta uongo namchana tu na akitaka niingine ndani zaidi naingia. Maana maamuma ndo huwa wana kelele sana
 

wakristo walituletea elimu shuleni binadamu alitokana na gorilla baadae akawa mtu shubamit
 
Asante. Maana ni kweli huwa wengi wananionea huruma kwa kuupenda ukweli. Wananishangaa... Mi sicheki na nyani au wa dini yoyote akileta uongo namchana tu na akitaka niingine ndani zaidi naingia. Maana maamuma ndo huwa wana kelele sana
Ila nakushauri tu usiisome quran chumbani tafuta mtu akufundishe alafu jitahidi kuisoma Yohana iliujiulize ile aya inayo mtabiri issa kua kuna mtaraji atakuja baada yake ana mkusudia nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…