professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Kakisome mkuu siyo unakataa nyinyi wahuni hamjibu hoja kazi ni kukataa tu nakubadilisha madaAllah and Muslim are so desperate kumchomeka Muhammad kwenye biblia , embu acheni kitabu Cha Allah ni mudy ni Koran only , Yani mpaka song of Solomon mnataka kumchomeka child molester [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoto anazalia anayo mifupa ni wazi na HakiMokit ebu nijibu kwani mtoto akizaliwa anakua hana mifupa na au anakua hana iyo skeleton jibu linyooke na sio mbwembwe
Unacho kifanya wewe unabadilisha mada jibu swali mtoto akizaliwa anakua hana mifupa mpaka atoke nje ndio ianze kujiunda maana unashangaa skeleton ila akizaliwa anakua na hilo hilo skeleton unalo kataa hivi akili iyoAllah and Muslim are so desperate kumchomeka Muhammad kwenye biblia , embu acheni kitabu Cha Allah ni mudy ni Koran only , Yani mpaka song of Solomon mnataka kumchomeka child molester [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Embu sema wazi mbele ya waislamu humuKakisome mkuu siyo unakataa nyinyi wahuni hamjibu hoja kazi ni kukataa tu nakubadilisha mada
Ndio uone ufundi sasa skeleton so ndio inavishwa nyama kwani wewe hapo huna mitupa kuna sehemu ina kuzuru auMtoto anazalia anayo mifupa ni wazi na Haki
Ila Allah anasema tumboni kwa mwanamke Kuna stage mtoto anakuwa skeleton tupu , without felsh or internal organs
Sikukujibu wewe iyo mada nilie mjibu anaelewa nilikusudia nini hapo na quran ndio iliyo teremshwa na Allahu na hukuti ndani yake mabadilikoEmbu sema wazi mbele ya waislamu humu
Song of Solomon ni kitabu alishusha Allah ?
Kwa Nini stone kisser umajificha?Sijui kama kuna Mkristo mwenye akili anasoma Quran. Kama huyu aliyeandika ni mbabaishaji hawezi kuwa Mkristo. Na kama ni Mkristo basi atakuwa Mpumbavu. Mi nasoma Quran sababu inanihusu na Biblia pia. Wazazi wangu wamegawanyika kwa Dini. So hakuna wa kunidanganya hapo.
Sister/bra kama kuna mtu karibu mwambie ulichotaka kuandika ili akuandikie.Kwa Nini stone kisser umajificha?
Ni mashuhuda ya Allah hakuna stage mtoto anakuwa skeleton tupu, fikiria mifupa tupu ipo tumboni na mama , nakwambia wapiga utra sound wangezimia kuona hicho kituko Cha Allah na MuhammadNdio uone ufundi sasa skeleton so ndio inavishwa nyama kwani wewe hapo huna mitupa kuna sehemu ina kuzuru au
Acha ujinga na kupakazia dini uongo. Nani alikuambia hivyo? Kitabu si kipo kwenye Biblia allah anahusikaje hapo?Embu sema wazi mbele ya waislamu humu
Song of Solomon ni kitabu alishusha Allah ?
Yani stone kisser unajifanya hujijui 😂😂😂😂Sister/bra kama kuna mtu karibu mwambie ulichotaka kuandika ili akuandikie.
Sasa ulimkutaje mudy kwenye kitabu ambacho hakimuhusu Allah ?Acha ujinga na kupakazia dini uongo. Nani alikuambia hivyo? Kitabu si kipo kwenye Biblia allah anahusikaje hapo?
Nani kakwambia hivyo? Au huelewi hata unachoandika?Sasa ulimkutaje mudy kwenye kitabu ambacho hakimuhusu Allah ?
Yai la kike ni tishu na sio damu ilioganda, umesoma biolojia ipi wewe? 6 years sijawahi sikia ovary ni damu iliyoganda.
Alie toa pumba ni Allah , vitisho kamtishie mudy kwangu nakutoa uhai dakika sifuriUnaumia Dini siyo yako we umeona si ndezi ndezi kama nyinyi mlivyo mfanya yesu wenu hata kumtetea mpaka anapigiliwa misumali na mnashangaa shangaa tu quran huna uwezo wa kuibeza ukaangaliwa tu alafu kifo ni kawaida sana mkuu ujue ni jambo jepesi mno sijawahi ogapa kufa hata sasa yani
Za kisayansi zinajulikana wazi hazihusishi sperm kuwa damu iliyoganda wala kubadilisha nyama kuwa mifupa.Mkuu wafahamu kisayansi mtoto hukuaje akiwa tumboni? Yaani hatua au kama una ‘visuals’ zinazojaribu kuelezea
Hili ni jambo moja la hatari sana kutoka kwenye quran ambalo nilikuwa silijui.Kwa maana itatubidi tuanze kufafanua maana ya mwanaadamu,
Je, sharti awe na roho au hata asipokuwa na roho.
Kama Kiumbe huyo si mwanaadamu mpaka awe na roho basi kwa mujibu wa hadithi hapa chini itatulazimu kufuatilia muda wa ukuaji wa huyu kiumbe, ila kama kiumbe hiki hata kisipokuwa na roho kinaitwa mwanaadamu basi tutasema ni mwanaadamu.
Imepokewa kutoka kwa Sayyiduna Abd Allah bin Mas’ud kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW) amesema:
“Kila mmoja wenu ameumbwa tumboni mwa mama yake siku arubaini, kisha akafanywa pande la damu kwa muda kama huo, kisha kipande kimoja cha nyama kwa muda kama huo.
Kisha Mwenyezi Mungu huntuma Malaika anayeamrishwa kuandika mambo manne.
Ameamrishwa aandike amali zake, riziki yake, na siku ya kufa kwake, na iwapo atabarikiwa au atakosa baraka (katika dini).
Kisha roho hupuliziwa ndani yake…”
(al-Bukhari no: 3036)
Kimsingi swali ulilouliza ni pana sana,
Baba wa uwongo alitudanganya kuwa jua lina zama kwenye matope mazito. Dini ta magumashi hiyo
Jifunze kwanza kiingereza kabla hujaanza kuandika mitandaoni.You are so stupid to the extent you have mastered stupidity.
Hiyo ni tafsiri yako ya dini.Nikikujibu wewe sio wajapan au wachina elewa kua mfumo wowote ule wa maisha ya mwanadamu adam hiyo ni dini yake aijalishi ni upi ndio maana kuna uislamu na ukristo maana yake kua kama unafuatilia mfumo wa ukristo basi wewe Dini yako ni mkristo ila inaonekana wewe hauna uelewa kabisa so wewe umesema huna dini maana yake huna mfumo wowote wa maisha sawa