Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Allah and Muslim are so desperate kumchomeka Muhammad kwenye biblia , embu acheni kitabu Cha Allah ni mudy ni Koran only , Yani mpaka song of Solomon mnataka kumchomeka child molester [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kakisome mkuu siyo unakataa nyinyi wahuni hamjibu hoja kazi ni kukataa tu nakubadilisha mada
 
Mokit ebu nijibu kwani mtoto akizaliwa anakua hana mifupa na au anakua hana iyo skeleton jibu linyooke na sio mbwembwe
Mtoto anazalia anayo mifupa ni wazi na Haki

Ila Allah anasema tumboni kwa mwanamke Kuna stage mtoto anakuwa skeleton tupu , without felsh or internal organs
 
Allah and Muslim are so desperate kumchomeka Muhammad kwenye biblia , embu acheni kitabu Cha Allah ni mudy ni Koran only , Yani mpaka song of Solomon mnataka kumchomeka child molester [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unacho kifanya wewe unabadilisha mada jibu swali mtoto akizaliwa anakua hana mifupa mpaka atoke nje ndio ianze kujiunda maana unashangaa skeleton ila akizaliwa anakua na hilo hilo skeleton unalo kataa hivi akili iyo
 
Nje ya mada hii lakini ni mawazo yangu baada ya kufatilia huu mjadala.

Nimefatilia huu mjadala, au labda niseme mijadala mingi unayohusu Ukristo na uislam humu JF na kwengineko. Nina ujasiri wa kusema kuwa kuna baadhi ya vitu ktk hivi vitabu viliandikwa kwa kufuata utamaduni, mazingira au uelewa wao wa kipindi chao kwa lengo zuri la kufunza, kuonya, kuelimisha ili muumini azidi kukaa ktk unyoofu kwa kipindi kile au kipindi kilichofuata.

Ila mathalani, hivi vitabu vingeandikwa sasa hivi basi mazingira ya sasa pia yangeingizwa ktk kujenga msingi wa hizi imani.
 
Mtoto anazalia anayo mifupa ni wazi na Haki

Ila Allah anasema tumboni kwa mwanamke Kuna stage mtoto anakuwa skeleton tupu , without felsh or internal organs
Ndio uone ufundi sasa skeleton so ndio inavishwa nyama kwani wewe hapo huna mitupa kuna sehemu ina kuzuru au
 
Embu sema wazi mbele ya waislamu humu
Song of Solomon ni kitabu alishusha Allah ?
Sikukujibu wewe iyo mada nilie mjibu anaelewa nilikusudia nini hapo na quran ndio iliyo teremshwa na Allahu na hukuti ndani yake mabadiliko
 
Sijui kama kuna Mkristo mwenye akili anasoma Quran. Kama huyu aliyeandika ni mbabaishaji hawezi kuwa Mkristo. Na kama ni Mkristo basi atakuwa Mpumbavu. Mi nasoma Quran sababu inanihusu na Biblia pia. Wazazi wangu wamegawanyika kwa Dini. So hakuna wa kunidanganya hapo.
Kwa Nini stone kisser umajificha?
 
Ndio uone ufundi sasa skeleton so ndio inavishwa nyama kwani wewe hapo huna mitupa kuna sehemu ina kuzuru au
Ni mashuhuda ya Allah hakuna stage mtoto anakuwa skeleton tupu, fikiria mifupa tupu ipo tumboni na mama , nakwambia wapiga utra sound wangezimia kuona hicho kituko Cha Allah na Muhammad
 
Embu sema wazi mbele ya waislamu humu
Song of Solomon ni kitabu alishusha Allah ?
Acha ujinga na kupakazia dini uongo. Nani alikuambia hivyo? Kitabu si kipo kwenye Biblia allah anahusikaje hapo?
 
Yai la kike ni tishu na sio damu ilioganda, umesoma biolojia ipi wewe? 6 years sijawahi sikia ovary ni damu iliyoganda.

We hujaelewa iyo haya ya QURAN TUKUFU ilo andiko limeandikwa kua manii zilibadilishwa(converted) kua pande la dam(iyo ni prosess) kuanzia mbegu za mwanaume kuingia na kukutana na yai lilivopevuka na kujishikiza kwenye kuta za tumbo la uzazi.

Kwenye kuta za uzazi ndipo apo damu hupatikana na prosess yote yakubadiri izo tissue kua pande la damu hua apo na ndo maana yai lisiporitubishwa hualibika na kutoka na ile dam ilikua imeingizwa kwenye tumbo la uzazi kwajili ya upevushaji kuanza rasmi ila ikikosa kurutubishwa na manii za kiume ndo hua misuri inasinyaa na kusabisha dam kutoka pamoja na izo tissue na apo ndo naona majaabu ya mungu aliona ajalie dam ndo iwe maji yakusafishia kizazi na kutoka na yai pamoja.
 
Unaumia Dini siyo yako we umeona si ndezi ndezi kama nyinyi mlivyo mfanya yesu wenu hata kumtetea mpaka anapigiliwa misumali na mnashangaa shangaa tu quran huna uwezo wa kuibeza ukaangaliwa tu alafu kifo ni kawaida sana mkuu ujue ni jambo jepesi mno sijawahi ogapa kufa hata sasa yani
Alie toa pumba ni Allah , vitisho kamtishie mudy kwangu nakutoa uhai dakika sifuri
 
Mkuu wafahamu kisayansi mtoto hukuaje akiwa tumboni? Yaani hatua au kama una ‘visuals’ zinazojaribu kuelezea
Za kisayansi zinajulikana wazi hazihusishi sperm kuwa damu iliyoganda wala kubadilisha nyama kuwa mifupa.


Kwa maana itatubidi tuanze kufafanua maana ya mwanaadamu,

Je, sharti awe na roho au hata asipokuwa na roho.

Kama Kiumbe huyo si mwanaadamu mpaka awe na roho basi kwa mujibu wa hadithi hapa chini itatulazimu kufuatilia muda wa ukuaji wa huyu kiumbe, ila kama kiumbe hiki hata kisipokuwa na roho kinaitwa mwanaadamu basi tutasema ni mwanaadamu.

Imepokewa kutoka kwa Sayyiduna Abd Allah bin Mas’ud kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW) amesema:

“Kila mmoja wenu ameumbwa tumboni mwa mama yake siku arubaini, kisha akafanywa pande la damu kwa muda kama huo, kisha kipande kimoja cha nyama kwa muda kama huo.

Kisha Mwenyezi Mungu huntuma Malaika anayeamrishwa kuandika mambo manne.
Ameamrishwa aandike amali zake, riziki yake, na siku ya kufa kwake, na iwapo atabarikiwa au atakosa baraka (katika dini).
Kisha roho hupuliziwa ndani yake…”
(al-Bukhari no: 3036)

Kimsingi swali ulilouliza ni pana sana,
Hili ni jambo moja la hatari sana kutoka kwenye quran ambalo nilikuwa silijui.

Katika usomaji wangu wa mambo mengi ya waislamu nimegundua kwamba muhammad alikuwa ni jamaa aliyependa kupata jina kubwa hivyo alikuwa anajifunza mambo mengi.

Tatizo likawa sasa akaanza kufundisha mambo ambayo hajapata uhakika wa uhalisia wake. Aliweza kuwazidi ufahamu watu wa nyakati zake ambao hawakuwa na uwezo wa kuhoji.

Hii narration hapa inaonesha dhahiri muhammad alikuwa haelewi nini anaongea maana anataka kutuambia mtu hawi kamili baada ya urutubishaji bali inakuwa ni damu na baadae nyama katika siku themanini.

Hii inamaanisha mtu akifanya abortion ndani ya siku themanini tangu kutungwa mimba anakuwa hajaua.
 
Baba wa uwongo alitudanganya kuwa jua lina zama kwenye matope mazito. Dini ta magumashi hiyo

Ni kuelewa kwako mkuu maandiko ya dini kusemwa kimkato hukaa kama fumbo ili mwanadam mwemyw akili timamu achanganue vizuri ndo maana tukapewa ubongo na ufahamu sio kilakitu lazima uelezwe kilivyo mungu hakuumba mwanadamu na udhaifu huo kila mwanadamu ni mwelewa tunatofautiana kuna wanaoelewa negative na wanaoelewa positive ila wote wamelewa.
 
Nikikujibu wewe sio wajapan au wachina elewa kua mfumo wowote ule wa maisha ya mwanadamu adam hiyo ni dini yake aijalishi ni upi ndio maana kuna uislamu na ukristo maana yake kua kama unafuatilia mfumo wa ukristo basi wewe Dini yako ni mkristo ila inaonekana wewe hauna uelewa kabisa so wewe umesema huna dini maana yake huna mfumo wowote wa maisha sawa
Hiyo ni tafsiri yako ya dini.

Mimi kwangu tafsiri ya dini ni jitihada za mwanadamu kumtafuta Mungu. Ndio maana kuna dini nyingi na zote zinahusisha ibada kwa aina fulani ya mungu.

Dini zote zikiwemo za wakristo, waislamu, mabudha, nk ziko wrong na wafuasi wake asilimia kubwa wanaishia upotevuni isipokuwa wale watakaompata Yesu Kristo katika utafutaji wao.

Ukishampokea Bwana Yesu Kristo, ukakaa ndani yake naye ndani yako unakuwa kiumbe kipya na unapokea nguvu ya Roho Mtakatifu ili uishi maisha ya kumpendeza Mungu.

Hapo huhitaji dini kwasababu tayari unao ushirika (fellowship) na uhusiano (relationship) na Mungu aliyehai.
 
Back
Top Bottom