Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Dini zote zikiwemo za wakristo, waislamu, mabudha, nk ziko wrong na wafuasi wake asilimia kubwa wanaishia upotevuni isipokuwa wale watakaompata Yesu Kristo katika utafutaji wao.
Hapo Uislamu uondoe.
 
Aya hii hapa :

6. Enyi mlio amini! Jilindeni nafsi zenu na ahali zenu na Moto ambao kuni zake ni watu na mawe. Wanausimamia Malaika wakali, wenye nguvu, hawamuasi Mwenyezi Mungu kwa anayo waamrisha, na wanatenda wanayo amrishwa. (at-Tahriim : 6)
Kwenye hii aya ni wapi imeandikwa kwamba malaika hawana free will?
 
Hapa na wewe Mwenzangu unataka kuwafunga Kamba BIBLIA HAIFAHAMU WALA KUMTAMBUA MUHAMMAD SAW. TUACHE UJINGA. Tuwe wakweli. Mimi natumia akili si Ushabiki wa Kipumbavu.😁
Naona hapa umekuwa mkweli na muungwana. Nakuombea neema ya Bwana Yesu Kristo ili uokolewe.
 
Kwenye hii aya ni wapi imeandikwa kwamba malaika hawana free will?
Free Will, maana yake kufanya mambo kwa hiari. Aya imesema Malaika wanafanya na kutii yale waliyo amrishwa. Kwetu sisi Wanadamu na Makini tuna hiari juu ya yale tuliyo amrishwa mfano, Leo hii zinaa ni haramu ni jambo lololol katazwa ila watu tunazini, lakini kwa malaika yale waliyo amrishwa kufanya wanafanya hawanyi kinyume.

Aya Iko wazi imeonyesha hilo. Au ulitaka tukuandikie kwa lugha yako.

Kuna swal inilikuuliza hujajibu mpaka muda huu.
 
Inamtambua Sana,,,tupeane Mda mkuu tutaleta ushahidi,pamoja na kujitahidi kufuta alama yake lkn Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu kuna alama zake zipo, kuwa na Subira Tu,,,,
Tunasubiria uthibitisho wa mistari.
 
Wanafunzi wa Yesu wote ni mitume wa kuheshimika isipokuwa yuda iskarioti ambaye alisaliti na hakutubu.

Tomaso ni moja ya mitume wakubwa na wakuheshimika sana. Amefanya sana injili huko india na watu wengi sana waliokolewa.
Sorry wakuu kwa kuchelewa,
kama ni kweli uyasmayo na hao mitume wya eyu ni wakweli na waliongozwa na roho mtakatifu ispokukuwa yuda sasa mbona wao hao mitume wa yesu hawa ongei ukweli??, yaani wote washuhudie kuteswa na kusurubiwa kwa yesu hadi umauti wake lakini eti i roho mtakatifu aka waabia kila mmoja wao aseme uongo ktk tukio moja???, yaani mimi na wewe mkuu tuone mwizi ana vyo uliwa na kuitwa moto kisha ktk kutoa ushahidi mahakamani kila mtu ana ongea lake , hv hyo hakimu ata msikiliza nani ?, ata muelea nani


Ktk iinjili ya mathayo 27:27-28 inaelezea yesu alivikwa vazi jekundu
Ktk injili aliyoandika marko 15:16-17 inaeleza kwamba yesu alivikwa vazi la rangi ya zamarau , sasa hata kama wewe ni hakimu uta hukumu vp?, yapo mengi tu
 
Jifunze kwanza kiingereza kabla hujaanza kuandika mitandaoni.
Toka umefundishwa hilo neno naona unalitumia hata usipopajua. Hebu kosoa kilichokosewa hapo. Ukikosoa nipewe ban hadi kesho... Umejaa kinyesi tu kwenye chupi.
 
Wanafunzi wa Yesu wote ni mitume wa kuheshimika isipokuwa yuda iskarioti ambaye alisaliti na hakutubu.

Tomaso ni moja ya mitume wakubwa na wakuheshimika sana. Amefanya sana injili huko india na watu wengi sana waliokolewa.
Sorry wakuu kwa kuchelewa,
kama ni kweli uyasmayo na hao mitume wya eyu ni wakweli na waliongozwa na roho mtakatifu ispokukuwa yuda sasa mbona wao hao mitume wa yesu hawa ongei ukweli??, yaani wote washuhudie kuteswa na kusurubiwa kwa yesu hadi umauti wake lakini eti i roho mtakatifu aka waabia kila mmoja wao aseme uongo ktk tukio moja???, yaani mimi na wewe mkuu tuone mwizi ana vyo uliwa na kuitwa moto kisha ktk kutoa ushahidi mahakamani kila mtu ana ongea lake , hv hyo hakimu ata msikiliza nani ?, ata muelea nani


Ktk iinjili ya mathayo 27:27-28 inaelezea yesu alivikwa vazi jekundu
Ktk injili aliyoandika marko 15:16-17 inaeleza kwamba yesu alivikwa vazi la rangi ya zamarau , sasa hata kama wewe ni hakimu uta hukumu vp?, yapo mengi tu
 
Vipi kesho utakwenda kuruka majoka na kupandisha mapepo yanayonena kwa lugha?
Aisha ambaye ndio alikuwa mke pendwa wa muhammad alithibitisha kwamba muhammad alikuwa demon possessed.

Kule mapangoni alikuwa akitoka ana foam mdomoni, anatetemeka na kumuomba Khadija amfunike mablanketi.
 

Kwanza nikufahamishe kua QURAN sio kitabu cha walatini au wabritish kwaiyo ayo maarifa unayoyasema hapo ni proof ya QURAN maana ilianza yenyewe ndo ayo maarifa yako ukayapata juz, pili nikufahamishe QURANI nikitabu cha dini nasio UZAZI. Mungu emelezea muundo wa mtoto mpaka kua bianadam in general lengo ni kukufahamisha utukufu wake nasio kukuelezea alivoumba misuri na damu na jinsi alivoumba macho ndo maana ukapewa akili ya kutawala mazingira, Mungu alijua hutajua tuu maana uo uwezo katupa ndo maana tulipozaliwa hatukufundishwa kunyonya maziwa ya mama zetu.

Mkuu we unaleta story apa za tissue na cell ivi unafikili mungu angeamua kuita manii cell kwenye aya we ungekubali? Ikiwa iyo elimu sio wote wanayo na sio wote wanahiitaji, ndo maana ata haya inayozungumzia JUA kaeleza kwa ujumla sio kazi yake kukumbia alivoliumba materials na vitu vinavyolifanya kusimalala apo lilipo iyo ni wewe binafsi maana kakupa akili na iwezo wa kufikili tafuta maarifa jenga theory zako na wenye maaliza zaidi yako pia watakuja kuvunja theory yako na mwisho wasiku msifu yeye maama ye ndo anajua kilakitu.

hata wewe nikikuuliza uyo zygote anakua na nyama au hana? Utabaki kutapatapa maana ushakataa manii zilifanywa kua pande la dam na nikikuuliza damu ya hedhi hua inapelekwa kwenye uterus kufanya nini? Utabaki unapepesa macho maana unaudini ndani yako hukubali fact.
 
Hii ni DINI ya kiislamu ni ya hovyo sana.

Wakristo tunaamini Lusfer alipoasi na baadhi ya Malaika kule MBINGUNI.

Akatupwa Duniani Akawa shetani, Malaika wakawa Majini,Mapepo nk.

WAO WANONA KUFUGA MAJINI NO SIFA.

Umeona wapi dini ya KIISLAM kupitia hadithi za mtume au maandiko ya Qurani tukufu kua kufuga majini ni sifa au hufahari?
 
Yani mudy ujinga wake ni mkubwa mno πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anasema damu iliyoganda inakaa ndani ya mwanamke kwa siku 40
...The constituents of one of you are collected for forty days in his mother's womb in the form of blood, after which it becomes a clot of blood in another period of forty days..... Sahih Muslim 2643a

Huyu jamaa.alitakiwa kupigiwa kudu sio kwa kupotosha huku
 
Umemaliza mkuu,,,,,Uislamu umejitosheleza na huwa na majibu siku zote licha ya wapuuzi Kama hawa kutaka kuuchafua
Wapuuzi hao hao, ndiyo wasiotaka kuiuliza sayansi, mimba ya mama yeke yesu aliyoipata bila kukutana na mme.
 
Mokit ebu nijibu kwani mtoto akizaliwa anakua hana mifupa na au anakua hana iyo skeleton jibu linyooke na sio mbwembwe
Unajadiliana na mjinga,Hana Nia ya kuelewa Bali kutusi dini za watu,unajisumbua tu...ni kijikafiri Fulani hivi kinachochipukia
 
Ila nakushauri tu usiisome quran chumbani tafuta mtu akufundishe alafu jitahidi kuisoma Yohana iliujiulize ile aya inayo mtabiri issa kua kuna mtaraji atakuja baada yake ana mkusudia nani
Huyo issa hana uhusiano wowote na Yesu Kristo. Huyo jamaa yenu issa hata ukienda Israel hayupo kabisa katika kumbukumbu zao iwe za kihistoria au kidini.

Quran hakuna mahali imemtaja Yesu Kristo ila nashangaa nyie mnataka awepo kwenye kitabu chenu.

Kwenye kitabu cha Yohana Yesu ameongea explicitly kwamba anayekuja baada yake ni Roho Mtakatifu.

Sasa wewe badala ya kujisomea unasikiliza maelezo ya shehe pale madrasa baada ya kukariri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…