Hili nishalijibu tayari.Tukaiumba ama tukamjaalia, wako wangapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nishalijibu tayari.Tukaiumba ama tukamjaalia, wako wangapi?
Hapo Uislamu uondoe.Dini zote zikiwemo za wakristo, waislamu, mabudha, nk ziko wrong na wafuasi wake asilimia kubwa wanaishia upotevuni isipokuwa wale watakaompata Yesu Kristo katika utafutaji wao.
Kwenye hii aya ni wapi imeandikwa kwamba malaika hawana free will?Aya hii hapa :
6. Enyi mlio amini! Jilindeni nafsi zenu na ahali zenu na Moto ambao kuni zake ni watu na mawe. Wanausimamia Malaika wakali, wenye nguvu, hawamuasi Mwenyezi Mungu kwa anayo waamrisha, na wanatenda wanayo amrishwa. (at-Tahriim : 6)
Naona hapa umekuwa mkweli na muungwana. Nakuombea neema ya Bwana Yesu Kristo ili uokolewe.Hapa na wewe Mwenzangu unataka kuwafunga Kamba BIBLIA HAIFAHAMU WALA KUMTAMBUA MUHAMMAD SAW. TUACHE UJINGA. Tuwe wakweli. Mimi natumia akili si Ushabiki wa Kipumbavu.😁
Free Will, maana yake kufanya mambo kwa hiari. Aya imesema Malaika wanafanya na kutii yale waliyo amrishwa. Kwetu sisi Wanadamu na Makini tuna hiari juu ya yale tuliyo amrishwa mfano, Leo hii zinaa ni haramu ni jambo lololol katazwa ila watu tunazini, lakini kwa malaika yale waliyo amrishwa kufanya wanafanya hawanyi kinyume.Kwenye hii aya ni wapi imeandikwa kwamba malaika hawana free will?
Tunasubiria uthibitisho wa mistari.Inamtambua Sana,,,tupeane Mda mkuu tutaleta ushahidi,pamoja na kujitahidi kufuta alama yake lkn Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu kuna alama zake zipo, kuwa na Subira Tu,,,,
Sorry wakuu kwa kuchelewa,Wanafunzi wa Yesu wote ni mitume wa kuheshimika isipokuwa yuda iskarioti ambaye alisaliti na hakutubu.
Tomaso ni moja ya mitume wakubwa na wakuheshimika sana. Amefanya sana injili huko india na watu wengi sana waliokolewa.
Toka umefundishwa hilo neno naona unalitumia hata usipopajua. Hebu kosoa kilichokosewa hapo. Ukikosoa nipewe ban hadi kesho... Umejaa kinyesi tu kwenye chupi.Jifunze kwanza kiingereza kabla hujaanza kuandika mitandaoni.
Sorry wakuu kwa kuchelewa,Wanafunzi wa Yesu wote ni mitume wa kuheshimika isipokuwa yuda iskarioti ambaye alisaliti na hakutubu.
Tomaso ni moja ya mitume wakubwa na wakuheshimika sana. Amefanya sana injili huko india na watu wengi sana waliokolewa.
Naomba ushahidi wako juu ya madai haya mazito.Yai nilapokutana na sperm kitu Cha kwanza kuonekana ni damu
Jiombee wewe kwanza. Mimi naongea ukweli siku zote.Naona hapa umekuwa mkweli na muungwana. Nakuombea neema ya Bwana Yesu Kristo ili uokolewe.
Aisha ambaye ndio alikuwa mke pendwa wa muhammad alithibitisha kwamba muhammad alikuwa demon possessed.Vipi kesho utakwenda kuruka majoka na kupandisha mapepo yanayonena kwa lugha?
Sperm ambayo ni cell ya uzaz ya mwanaume inapoungana na ovum ambayo ni cell ya uzaz ya mwanamke tunapata zygote ambayo inadevelop kuwa ball of cell(mfano wa mpira wenye cell) zinazoendelea kujigawa na mwishon kuunda tissue,organ,system na mwishon mtoto anakamilika
Hayo mambo ya tone la damu kuwa nyama mmepigwa nenden mkasome embryology and developmental biology
Hii ni DINI ya kiislamu ni ya hovyo sana.
Wakristo tunaamini Lusfer alipoasi na baadhi ya Malaika kule MBINGUNI.
Akatupwa Duniani Akawa shetani, Malaika wakawa Majini,Mapepo nk.
WAO WANONA KUFUGA MAJINI NO SIFA.
Wapuuzi hao hao, ndiyo wasiotaka kuiuliza sayansi, mimba ya mama yeke yesu aliyoipata bila kukutana na mme.Umemaliza mkuu,,,,,Uislamu umejitosheleza na huwa na majibu siku zote licha ya wapuuzi Kama hawa kutaka kuuchafua
Kiharabu ndiyo nini!?Hajui kusoma kiharabu anakariri matamshi na ni wote mpaka wewe
Usijifanye hujaelewa mnakariri matamshi woteKiharabu ndiyo nini!?
Unajadiliana na mjinga,Hana Nia ya kuelewa Bali kutusi dini za watu,unajisumbua tu...ni kijikafiri Fulani hivi kinachochipukiaMokit ebu nijibu kwani mtoto akizaliwa anakua hana mifupa na au anakua hana iyo skeleton jibu linyooke na sio mbwembwe
Huyo issa hana uhusiano wowote na Yesu Kristo. Huyo jamaa yenu issa hata ukienda Israel hayupo kabisa katika kumbukumbu zao iwe za kihistoria au kidini.Ila nakushauri tu usiisome quran chumbani tafuta mtu akufundishe alafu jitahidi kuisoma Yohana iliujiulize ile aya inayo mtabiri issa kua kuna mtaraji atakuja baada yake ana mkusudia nani