Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Inaonesha shule wakati wa vipindi vya English ulikuwa unakula sana makamasi.
 
Usijifanye hujaelewa mnakariri matamshi wote
Halafu kesho utasema tunaandika makombe kwa kiharabu...tunaandika bila kujua kusoma,uccchhi wa mzazi wako mbaya Kama akili yako,na sura yako itakua mbaya Kama k ya mamaako
 
Wewe mfia dini naona hata huelewi kinachoendelea unahoji bila hata kusoma komenti za nyuma.
 
Hebu nisaidie...

Hivi ni sababu zipi za kiroho zinazomtofautisha Yesu na Issa?!
 
Wewe mfia dini naona hata huelewi kinachoendelea unahoji bila hata kusoma komenti za nyuma.
Hivi ukimtambulisha kama mfia dini, lengo lako nini, Unataka awe mfia Bang kama wewe siyo.
 
Skia nikwambie mkuu hv ni simple sna kuelewa , uv ukiwa na binti yako uta kubali aolew na mshenizi?, jambazi, wa kutupwa muuaji wa k ne?, , sasa wewe wivu wa wanini?, kwa taaifa yako mtu hakuwa ana oa oa tu ila kwa sabau maalum, baba wa hyo aisha ni swahaba wake na rafiki yake sasa wewe eti una chukia duuuh, mtume ndiye aliye watetea wana wake ktk ulimwengu huu, maana mtume alikuwa kipindi ambacho ukiwa na mtoto wa kike ni mkosi, uslamu ulifanya vitu 3 ktk akili za kawaida sn
DESTRUCTION ,, PRESERVATION, , CONSTRUCTION, , wewe diye uliye paswa kutoa andiko ktk Quran
 
Hapo kwenye aya imezungumzia wao kufanya waliyoamriwa lakini hiyo haimaanishi hawana free will. Mimi nikitii maagizo ya Mungu haimaanishi kwamba sina free will?

Swali gani? Pengine sijaliona hivyo naomba ulirudie.
 
Aliwatetea kwa kusema wanawake wakajitoe kwake awapige mkuyati bila ndoa na verse akaweka ndani ya koran
 
Anzisha mada ya hilo jambo halafu tutakujibu.

Ila kifupi Yesu alikuwa na vazi lake na baadae alipewa vazi jingine na mfalme kama namna ya kumkejeli akimwita mfalme wa wayahudi.

Kwahiyo kwenye uandishi kila mmoja anaweza kuwa aliandika mavazi sahihi kulingana na tukio na muda.
 
Toka umefundishwa hilo neno naona unalitumia hata usipopajua. Hebu kosoa kilichokosewa hapo. Ukikosoa nipewe ban hadi kesho... Umejaa kinyesi tu kwenye chupi.
Kwahiyo Allah ndio amekutuma uje kutukana humu ndani?
 
Hiyo verse hapo iko clear na informative. Na hapo Allah amedanganya. Muhammad alikopi tu knowledge ya wagiriki ya kipindi hicho.
Unachokisema ni sawa, ila narudi palepale kuwa vitabu vyote watu wanavyoviita vitakatifu vinakuwa coded na elimu ya vitabu hivyo niyasiri. Kusoma ni rahisi kitafsiri pia ni rahisi, ila kujua maana kamili ndio tatizo maana yaliyoandikwa yameandikwa kimafumbo
 
"na tumfanye mtu" (let Us make man)
Samahanini hapa kwenye huu mstari maana sio msomaji sana wa hivi vitabu ila naomba kuuliza kihusu uu mstari.

''Na tumfanye mtu'' kauli ipo katika wingi inamaana wakati wanamfanya (uumbaji ukiwa unafanyika) uyo mtu huyo mfanyaji (muumbaji) hakuwa mmoja, walikuwa wengi??
 
Hebu nisaidie...

Hivi ni sababu zipi za kiroho zinazomtofautisha Yesu na Issa?!
Sijui unamaanisha nini kusema kiroho.

Yesu Kristo aliyeandikwa kwenye biblia anafahamika kama raia aliyeishi Nazareth na alifanya huduma Capernaum zaidi na kiasi Yerusalemu alikosulubiwa, akafa, akazikwa na siku ya tatu akafufuka.

Huyo issa hakuna sehemu yoyote kule Israel anakofahamika iwe kihistoria au kidini. Yaani ni mtu wa kufikirika kwenye quran ambaye wanasema aliishi Israel.

Ndio maana sioni nitafananishaje kiroho mtu halisi na huyo issa wa kufikirika.
 
Imeandikwa wapi kua alimuingilia akiwa na miaka9?
Dah, wewe uko nyuma sana ya quran. Wenzio walishaacha kupinga hilo wamejikita kusema hamna sheria ya Allah inayozuia mtu kuolewa na kuingiliwa katika umri huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…