Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Ndo nimekuuliza huko Israel taarifa za Issa hazipo kwa muktadha upi?!

Kuna tofauti ipi kati ya taarifa za Isa nchini Israel na taarifa za Yesu nchini Tanzania? Kwa sababu kwa jinsi unavyoeleza, ni sawa na kusema taarifa za Yesu HAZIPO KABISA nchini Tanzania!!
 
Akikujibu nitag ataanza kubadilisha mada hapo
 
Anayeweweseka hap NI wewe Una spend hours kufatilia kitu unachokiita useless kisicho na maana,, useless mind hata hufahamu kitu useless kwako kinaweza kua useful Kwa mwingine

Kwa iyo kinachokuuma NI quran kua na uandishi wenye vina,,,andika na wewe KITABU chenye vina update followers kama rahisi,,wakati wewe unaumia na vina kina wakristo Kwa wivu wao wanajaribu kusoma biblia Kwa mahadhi kama waislam huenda ikawa rahisi kwenu kuhifadhi bibilia yote kichwani lkn wapi wamedondokea pua,,,
Hakuna point hata moja hapo ninachokiona NI muendelezo WA muweweseko WA MTU mwenye chuki kubwa na ufahamu WA kuungaunga,,wewe hutaki kujifunza Bali unatafuta kejeli na mtu kama Mimi nakupeleka hivohvi utakavyo.
 
Kwanini unaleta mzunguko mrefu sana. Naomba uniletee taarifa za issa kwenye maisha yake Israel.

Lete hapa documents za wayahudi wakielezea huyo issa na mambo aliyotenda kule Israel mpaka akapata umaarufu wa kuandikwa mara nyingi kwenye quran kuliko hata kipenzi cha Allah.
 
Hivi hapa tunazungumzia masuala ya maisha au masuala ya kiimani?!

Na kwa kuangalia hilo swali lako, unaweza kutoa taarifa za Yesu kwenye maisha yake Tanzania?!

Btw, kuna mtu aliyekuambia Issa ni Mwisrael hadi uhoji taarifa zake za maisha nchini Israel?!
 
Kwahiyo ndani ya siku themanini (kama alivyosema Muhammad) tangu kutungwa mimba kinachokuwepo tumboni sio kiumbe hai? Kwahiyo mtu akifanya abortion ndani ya hizo siku anakuwa sio muuaji?
Thelethini umezitoa wapi?
 
Wewe jamaa hauna unachoelewa. Kaisome kwanza quran kuhusu issa ujue alikuwa raia wa wapi kabla hujaja kumtetea Allah na muhammad.
 
Narudia tena na tena kuwa hauwezi kuthibitisha kuwa Mtume Muhammad (Swalla Allahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam), Bwana wa Mitume na Manabii wote Mbora wa Viumbe, kuwa alikuwa possessed na mapepo au kifafa.

Nakimaanisha hiki ninachokisema.

Na kweli hujaleta uthibitisho na hutoweza kuthibitisha.

Kwaheri.
 
Labda umepata mapepo ndio maana hujibu hoja unaleta vihoja.
 
Dah,,,KAZI IPO wallah!
Wanaokiri kama aliishi huko NI akina Nani hao?? Maana waisrael wanaamin Messiah bado hajazaliwa,,,
Kinachokuwewesesha wewe ni jina au nini?? yesu,,Jesus,,yeshua,,,ESAU,,ISA kila taifa na matamshi Yao,,unakwama wapi?
 
Majibu kwenye hoja za Prof Moore ni haya hapa:
.' My purpose here is to examine what exactly was known of the human embryo at the time of Muhammad in order to see whether or not this reaction is justified.
Link

Kabla ya yote suala la kama ufahamu juu ya embryology ulifahamika sawa na Quran ama la si la msingi. Msingi ni usahihi au upotefu wa hoja za Quran.


In Sura 86:6,7 we read:
Kwa kuongezea ni kwamba damu ma hata neva ziendazo kwenye Pumbu hutoka maeneo lilipo ini. Naona imejijibu.

Waweza ona utofauti baina ya madai haya na ya Quran.
Maana za neno “Alaq” nilikwishazieleza kwenye post #443 hapo juu.

The use of nutfah elsewhere (e.g. 16:4, 18:37, 23:13, 35:11, 53:46, 75:37, 76:2, 80:19) makes it clear that it refers to semen. It is harder to understand what alaqa means,
Maana ya “Alaqa” nimezieleza post #443
Waweza i-quote hiyo hadithi hapa? Kwaajili ya rejea tu.

Madai yako pasina uthibitisho ni dhalili, maana huwezi dai (au niseme aliyeandika hoja hizi hawezi dai) ati kuna uwezekano dhana ya “Alaqa” Muhammad (SAW) aliitoa kwa kuona misacariage ya moja ya wake zake.
Iweke hapa hii hadith na kitabu ilipotoka, kwaajili ya rejea mkuu.

Kama nilivyosema, nadhani hoja iwe kwenye ukweli au upotefu wa hoja za Quran na si mfanano na elimu ya wagiriki wa kale.

Binafsi andiko hili naliona limejaa mashaka, linakosa ukosoaji wa hoja zilizokuja juu ya ‘embryology’.
Ila naweza kuelewa kwa sababu mwandishi aliweka bayana kuwa anafanya ulinganifu wa aliyoyasema Muhammad (SAW) na ujuzi wa Wagiriki.
 
Wewe jamaa hauna unachoelewa. Kaisome kwanza quran kuhusu issa ujue alikuwa raia wa wapi kabla hujaja kumtetea Allah na muhammad.
Hivi mimi na wewe ni nani asiyeelewa?! Nimekuuliza maswali, lakini 99% umeshindwa kuyajibu!!

NARUDIA: Hii ni mada ya kiimani na sio suala la uraia!! Kama hoja yako ni kutokuwepo kwa habari za Issa nchini Israel... kuna tofauti ipi kati ya taarifa za Issa, Israel na taarifa za Yesu, Tanzania?

Jibu hapo nilipo-bold!!
 
Huyo Dada champion yupo kubishana tu, yupo tayari kwa lolote.
 
Wewe hata hujui kwamba issa wa kwenye quran alikuwa myahudi wa Israel huna ufahamu zaidi ya porojo.

Ukimaliza kurukaruka niletee ushahidi kwamba huyo issa ni mtu halisi aliyewahi kuishi Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…