Walimpinga wazi wakamwambia kwa Nini unatengeneza kiumbe ambacho kita shed blood, Allah akatoa Boko ππ akasema nitajieni majina ya vitu Yani majina kayaweka yeye alafu anasema Malaika wamtajie πππKichwa maji kijana. Walimpinga Allah kwenye nini ? Waliamrishwa kufanya jambo ? Wao walitoa maoni katika like walichokidhani.
Kabla hujajadili jambo hakikisha unajua maana ya jambo husika.
Wewe ni stone kisser huwezi kujifichaNahitaji kuelimishwa na siyo kudhalilishwa.
Ukristo wangu haujanifunza kudharau other existance.
Jukumu langu kubwa ni kuuhubiri upendo na siyo kulinganisha dini. Unavyojifanya mjuaji sana kwa kujivika joho la kukosoa dini zingine hakukufanyi kupata taji Mbinguni bali unajiweka kwenye nafasi ya kipekee kwenye baraza la wafanya mizaha.
Matendo yangu yatashuhudia alichokiweka Roho wa Bwana ndani yangu na siyo ujivuni na ujuaji usio na upeo
Kwa mujibu wa Yesu Kristo, hakuna mambo ya ndoa na tendo la ndoa mbinguni.Kwa mujibu wako
kitabu cha matayo hiko 5 :17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie. Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni;Tohara ya moyo ni kupewa mpya wa kiroho pale unapoumbwa kuwa kiumbe kipya ndani ya Kristo Yesu.
Tohara ya kimwili sio amri kwa kanisa. Ni jambo zuri kiafya na wakristo wote ulimwenguni wanafanya lakini sio kama agizo.
Yesu alikuwa myahudi chini ya torati hivyo ilikuwa lazima aifuate torati yote. Agano jipya limeanza baada ya Yesu Kristo kufa na kufufuka.
Kwanza hapa hatubishani bali tunaelimishana.Kwa nini kila siku mnabishana kuhusu dini, huku mkujua kabisa hakuna mshindi.
Ndugu zangu kila mtu abaki na imani yake anayoona ni sahihi, na aheshimu kila anachoamini mwingine.
Acheni malumbanp yasiyokiwa na msingi mnapata nini?
Baada ya kufufuka alienda mbinguni kupeleka damu yake katika madhabahu ya mbinguni na aliendelea kuwatembelea wanafunzi wake kwa siku 40 na ndipo akapaa mbele ya macho yao.Mh kazi kweli kweli baada ya yesu kufa na kufufuka alikaa muda gani duniani hapa kabla ya kupaa
Hapana hamuelimishani, kila mmoja wenu anajiona bora kuliko mwenzie.Kwanza hapa hatubishani bali tunaelimishana.
Pili, wewe kwanini ulienda shule kusoma na hukubaki ulivyozaliwa? Ungebaki na ujinga wako.
Ndani ya Kristo Yesu unakuwa tayari umeitimiza torati yote. Kipindi kile wana wa Israel wanaishi chini ya torati walishindwa kuitimiliza.kitabu cha matayo hiko 5 :17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie. Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni;
Huu ni mtazamo wako na unaheshimiwa.Hapana hamuelimishani, kila mmoja wenu anajiona bora kuliko mwenzie.
Ndo shida inaanzia hapo
Umebeba vizuri sana kina cho sababisha haya ni ndugu zetu hawa wao haoni vya kushindania isipokuwa Dini mtu atatafuta mada yani popote kule ili asumbue watu na kujihisi yeye yuko vizuri katika dini yakeKwa nini kila siku mnabishana kuhusu dini, huku mkujua kabisa hakuna mshindi.
Ndugu zangu kila mtu abaki na imani yake anayoona ni sahihi, na aheshimu kile anachoamini mwingine.
Acheni malumbano yasiyokuwa na msingi mnapata nini?
Sasa kwa mwenye akili kati ya maneno ya liyozungumzwa na yeye akiwepo na yale yeye hakuwepo yapi yana paswa kufuatwaBaada ya kufufuka alienda mbinguni kupeleka damu yake katika madhabahu ya mbinguni na aliendelea kuwatembelea wanafunzi wake kwa siku 40 na ndipo akapaa mbele ya macho yao.
Asante kwa kutambua hiloHuu ni mtazamo wako na unaheshimiwa.
We aya inasema amri wewe unasema upendo wako tu hapo una maanisha amri ni kwa waisraeli tu na kama ni ndio BASI DINI kiujumla ni ya waisraeli tu hiyo. Sasa sijui wewe mwenzetu muisraeliNdani ya Kristo Yesu unakuwa tayari umeitimiza torati yote. Kipindi kile wana wa Israel wanaishi chini ya torati walishindwa kuitimiliza.
Ndani ya Kristo Yesu unapewa nguvu kuyafanya yale yaliyoagizwa yote na wakati huu huyafanyi kama amri bali unayafanya kwa upendo wako kwa Mungu.
Tuheshimiane, tuvumiliane na tusiingiliane kiimani mambo yatakuwa sawa tuUmebeba vizuri sana kina cho sababisha haya ni ndugu zetu hawa wao haoni vya kushindania isipokuwa Dini mtu atatafuta mada yani popote kule ili asumbue watu na kujihisi yeye yuko vizuri katika dini yake
Yapi aliyasema akiwa hayupo?Sasa kwa mwenye akili kati ya maneno ya liyozungumzwa na yeye akiwepo na yale yeye hakuwepo yapi yana paswa kufuatwa
Unatakiwa ufahamu kwamba agano la kale lilikuwa kwa ajili ya wayahudi kama kivuli cha agano jipya ambalo ni kwa ajili ya ulimwengu wote.We aya inasema amri wewe unasema upendo wako tu hapo una maanisha amri ni kwa waisraeli tu na kama ni ndio BASI DINI kiujumla ni ya waisraeli tu hiyo. Sasa sijui wewe mwenzetu muisraeli
Huwezi kutimiza jambo kama ujalifnya yani ukiwa ofisini tu kazi zina kua zishafanykia zenyewe hapana unapaswa kufanya na kufuata hapo ndipo useme imefanywa jambo fulani ukiwa ndani ya kristo yesu alafu amri unazifanya kwa mapenzi ya matashi Alafu unasema umefanya hapana hiyo amri ifuatwe na ifanyiwe kazi hiyo ndio maana ya aya na imekuja kwa ajili ya torati na Yesu mwenyewe kasema hajaitangua mpaka anapaaa wewe leo unaitanguaNdani ya Kristo Yesu unakuwa tayari umeitimiza torati yote. Kipindi kile wana wa Israel wanaishi chini ya torati walishindwa kuitimiliza.
Ndani ya Kristo Yesu unapewa nguvu kuyafanya yale yaliyoagizwa yote na wakati huu huyafanyi kama amri bali unayafanya kwa upendo wako kwa Mungu.
Si yapi alisema akiwa hayupo wakati yupo torati ni amri si ndio alipo ondoka agano jipya likaanza na torati ikawa ni mapenzi tu na hili linathibishwa na yeye kwenye aya iliyotangulia anasema yeyote atakaye kataa amri atakua mdogo huko mbinguni je alitenganisha alio wakusudia na kama alitenganisha hao alio watenganisha nanyi ndio wenye DINI yaoYapi aliyasema akiwa hayupo?
Muislamu katika maisha yake anafundishwa strictly kukariri quran tangu madrasa na mara nyingi anafundishwa kuupinga ukristo (kimsingi mafundisho mengi ya quran yanapinga ukristo directly).Tuheshimiane, tuvumiliane na tusiingiliane kiimani mambo yatakuwa sawa tu