Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
-
- #921
Kipindi kile hayo maeneo niliyokutajia ndio ilikuwa dunia. Wanafunzi wa hao mitume waliendeleza injili mpaka ikafika dunia nzima. Wao walianzisha na wengine wakaendeleza.Nimekuambia WALIO-PROMOTE UKRISTO DUNIANI...
Hao wote ni Wanafunzi wa Yesu, miongoni mwa Wayahudi WACHACHE ambao waliikubali Injili, na walichofanya ni kuhubiri Injili maeneo ya jirani lakini sio WALIOSAMBAZA UKRISTO DUNIANI!!
Wayahudi wengi waliukana Ukristo na ndo maana hadi kesho pale Israel Wakristo ni Wachache sana, na majority ni WAARABU na sio WAYAHUDI
Maneno yapi?Je hayo maneno hayakutungwa miaka mingi badaye na watu?
Haya ni majibu ya Kijinga kama ujinga mwingine. Unatakiwa kujibu sayansi inasemaje, siyo uniandikie Timothy unanikubu ujinga huku ukijua mimi siyo muumini wa bibilia.Mungu kwa wakristo nature yake ni Roho ,
Ule ni mwili alioutumia
1 TIMOTHY 3:16
And beyond controversy, great is the mystery of godliness: God was manifest in the flesh, justified in the Spirit, seen by angels, preached unto the Gentiles, believed on in the world, received up into glory.
One of the fundamental teachings of Islam and one which every Muslim cultivates in his heart is that of brotherhood and equality of human beingsβ¦β¦β¦.!!!!!!!
Since Islam considers the diversity of people and nature as Godβs creation, respect for diversity is commanded. Especially noted in the Qurβan are βPeople of the Bookβ, namely Jews and Christians, who were always given a special place in Muslim societyβ¦β¦β¦.!!!!!!!
Muslims are commanded to safeguard their right to worship and their places of worship, a command that has been historically followed, as is evidenced by the existence of old churches and synagogues throughout the Muslim world in places like Turkey, Palestine, Jordan, Syria, and Bosnia. Contrary to the common stereotype, Islam was not βspread by the swordβ, nor people forced to convert, a fact again borne out by the existence of non-Muslim populations throughout the Muslim worldβ¦β¦β¦.!!!!!!!!
This same respect and tolerance was extended to people of other faithsβ¦β¦.!!!!!!!
Muslims believe that the Holy Prophet Muhammad(sa)was sent as βa Mercy for all the worldsβββ¦β¦β¦.!!!!!!!!!
U dont have any points brotherβ¦β¦.your words are filled with hates with ZERO FACT arguiging with an empty mind Brother like u is such a waste of time[emoji1787][emoji1787][emoji1787]β¦β¦!!!!!!!
Go and read Islamβ¦β¦..then come here with factsβ¦β¦β¦!!!!!!!!
Dont be silly and over emotionalβ¦β¦Cheers[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
No sisemi mimi sema tu ukweli je Mungu ana chembe hata ya upumbavu na je Mungu anachembe hata ya udhaifu kama jibu ndio basi paulo yuko sahihi na kama siyo basi Paulo atakua kakupa boko hapoKauli ya Paulo haikuwa na tatizo lolote. Ni kauli iliyojaa hekima.
Mwaga hayo madini hapa jukwaani kufuatana na mada hii watu wengi waelewe kama wewe ulivyoelewa.
Procedure za kutunga mimba hamna kitu kama sperm kugeuka damu iliyoganda wala nyama kugeuka mifupa.Lete procedure hapa za uumbaji sio unaongea tu kuna mtu hapa alikwambia unapo leta mada ue unauwezo wa kuleta usahihi wake wewe huo usahihi wake pia huu leti inamaanisha pia upo kiushindani na si elimu so huna jibu mpaka sasa linalo kutosheleza
Abdool sorry sikujua wewe ni mfuasi wa mutahHaya ni majibu ya Kijinga kama ujinga mwingine. Unatakiwa kujibu sayansi inasemaje, siyo uniandikie Timothy unanikubu ujinga huku ukijua mimi siyo muumini wa bibilia.
Paulo kaleta stori za nyumbani kwenye kitabu cha MunguLete ushahidi wa madai yako haya.
Hujanijibu ipasavyo.Biblia imemuachia mwanadamu ajifunze elimu mbalimbali na ndio maana Mungu amewapa wanadamu akili.
Mungu hakuelezea namna ya kutengeneza magari au ndege ila aliweka kila kitu available, ni suala la mwanadamu kujishughulisha na kuvumbua.
Kama unataka kujua wingi na umoja ni nini rudi tena kwanza mwanzo 1:26 uone Mungu katumia neno lipi alafu rudi kukosoa au kuulizaAllah alikuwa na nani kwenye huo uumbaji mana naona wingi na sio umoja...
Wapi Paulo kasema Mungu anao upumbavu au udhaifu?No sisemi mimi sema tu ukweli je Mungu ana chembe hata ya upumbavu na je Mungu anachembe hata ya udhaifu kama jibu ndio basi paulo yuko sahihi na kama siyo basi Paulo atakua kakupa boko hapo
π€£π€£π€£ Njoja nije kwenye hoja, kwanza kabisa ndugu yangu ktk imaniππ unaamini yesu kristo alikuwa ni nani?Jibu hoja zilizoainishwa hapo uache kujificha.
Nimecomment kupitia hiyo Aya aliyoileta mada ..kwann asitumie umoja badala ya wingi,,God is oneKama unataka kujua wingi na umoja ni nini rudi tena kwanza mwanzo 1:26 uone Mungu katumia neno lipi alafu rudi kukosoa au kuuliza
Wakristo hatuna tatizo kusalimiana.Paulo kaleta stori za nyumbani kwenye kitabu cha MunguView attachment 2374727
Kimekuja kusema mifupa tupu skeleton ipo ndani ya mji wa uzazi ππππHujanijibu ipasavyo.
Ndo maana ikaja quran,kitabu cha mwisho kilicho weka kila kitu sawa.
Quran ni mkusanyiko wa stori za kitaa za enzi hizo na plagiarism ya maandiko ya wayahudi na wakristo.Hujanijibu ipasavyo.
Ndo maana ikaja quran,kitabu cha mwisho kilicho weka kila kitu sawa.
Kazi yangu nimemaliza. Ukiwa mjinga na muongo na malizana na wewe kwa ushahidi na hoja zenye nguvu.πππ Allah ni chizi majina katunga yeye kamwambia Adam tu , alafu anawauliza Malaika kama wanajua , anajisifu kuwa yeye anajua Siri za mbinguni na duniani kwa kujua majina aliyotunga mwenyewe , Muhammad kwenye verse hiyo wakati anaitunga Kuna kinywaji kikali alikunywa
Kama yeye ni mjuzi Kwa Nini asiwaambie Malaika watunge majina alafu yeye ayataje ?
Weka ushahidi wa hili.Quran ni mkusanyiko wa stori za kitaa za enzi hizo na plagiarism ya maandiko ya wayahudi na wakristo.