Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
-
- #941
Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu aliye hai. Kumbuka Yesu Kristo sio Mwana kwasababu alizaliwa na Mariamu, hapana, ni Mwana tangu milele na yupo na Baba yake tangu milele. Mungu ni mmoja, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.🤣🤣🤣 Njoja nije kwenye hoja, kwanza kabisa ndugu yangu ktk imani🙈🙈 unaamini yesu kristo alikuwa ni nani?
Ndio. Japo kauli za Allah kwenye utungaji mimba ni za upotoshaji.Cell, tissue na mengineyo..
Quran 86 – 7Kwahiyo wewe unakubaliana na muhammad kwamba sperms zinatokea kwenye eneo lililopo kati ya mbavu na uti wa mgongo?
Hii stage ya damu mfu kukaa ndani ya mwanamke kwa siku 40Mkuu shida yako nn kwenye hyo aya..
Mkuu nioneshe kwenye hiyo aya neno skeleton maan umeng'ang'ania kitu hukijui upo nje ya mada hapo onesha ilo neno kama hakuna urudi ndani ya mada sawaHii stage ya damu mfu kukaa ndani ya mwanamke kwa siku 40
Na mifupa tupu skeleton ndani ya mwanamke , wapiga utra sound wangezimia [emoji23][emoji23][emoji23] kuona hicho kihoja Cha allah
Allah kasema UTI wa mgongo wa mwanaume na mbavu za juu za mwanamke , koma kumrekebishaQuran 86 – 7
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.
Sio Mimi tu hata hao wanasayansi wako wote duniani wanakubaliana na hilo angalio mchoro wao hapo chini
Safari ya sperm zinapotoka inaanzia hapo katika eneo lenye green color linaitwa Seminal vesicle Sasa ebu niambie Hilo eneo lipo sehemu gani katika mwili wako sio katika uwazi unaopatikana baina mbavu na uti wa mgongoView attachment 2374739
Abdool Mifupa tupu Nini kama sio skeleton? Au ni mifupa moja moja haijaunganika embu elezea mtee Allah na MuhammadMkuu nioneshe kwenye hiyo aya neno skeleton maan umeng'ang'ania kitu hukijui upo nje ya mada hapo onesha ilo neno kama hakuna urudi ndani ya mada sawa
stori za kitaaWeka ushahidi wa hili.
Ujinga NI kuamini Jesus Kwa matamshi ya wazungu ndio yesu Kwa matamshi ya waswahili na ndio Esau WA wayahudi Ila Sio ISA Kwa matamshi ya waarabu,,,Kwa akili yako ulitaka waarabu wamuite vipi huyo yesu wenu ndo wawe wamemtaja yesu??Nioneshe mstari wa quran unaomtaja Yesu Kristo. Usilete porojo za issa wa kusadikika.
Maskin amepata mshtuko WA Moyo hakutarajia kukutana na kifungu kama hicho kwenye bibilia yake amebaki kujichekea Tu ,,haya kama sio yesu aliyetajwa hapo kumbe ni Nani???Zaburi hii ndio ushahidi wako wa Yesu kutosulubiwa?🤣
Kua makini na unachokiomba quran haijaacha kitu;;Tuletee aya ya quran inayosema mambo haya.
Kwa mtu aliyezoea kudanganywa hawezi kusoma bibilia Kwa akili zake mpk Kwa msaada WA roho mtakatifu ambaye yupo Kwa mchungaji peke Ake hawezi kuelewa chochote NI kama kondoo WA mchungaji,,,wamepewa ubongo lkn hawafikiri wanasubiri MTU mwingine afikirie Kwa ajili Yao,,,.Kwa mtu uliyezoea kukariri quran huwezi kuelewa mistari kama hii.
Acha upotoshaji. Sperm zinatokea kwenye testes.Quran 86 – 7
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.
Sio Mimi tu hata hao wanasayansi wako wote duniani wanakubaliana na hilo angalio mchoro wao hapo chini
Safari ya sperm zinapotoka inaanzia hapo katika eneo lenye green color linaitwa Seminal vesicle Sasa ebu niambie Hilo eneo lipo sehemu gani katika mwili wako sio katika uwazi unaopatikana baina mbavu na uti wa mgongoView attachment 2374739
Koran 86;Quran 86 – 7

Koran ipo wazi na imetaja stages , Aya ma copy paste ya Nini?Kwa uwezo wa Allah nimeweza kupata exactly anachosema mleta uzi na majibu yaliyoshiba,nashauri mleta mada na wengine msome hii atachment ili mkawe mabalozi wazuri wa Quran na how it is unquestionably authentic
NOTE:
singatia namba ya page ili uende kwa mtiririko mzuri
Wabilah taufiq
Retrefeence Book :The bible,Quran and science writen by Dr Maurice
bView attachment 2374745
View attachment 2374746
View attachment 2374747
View attachment 2374748
View attachment 2374749
View attachment 2374744
Kwa uwezo wa Allah nimeweza kupata exactly anachosema mleta uzi na majibu yaliyoshiba,nashauri mleta mada na wengine msome hii atachment ili mkawe mabalozi wazuri wa Quran na how it is unquestionably authentic
NOTE:
singatia namba ya page ili uende kwa mtiririko mzuri
Wabilah taufiq
Retrefeence Book :The bible,Quran and science writen by Dr Maurice
bView attachment 2374745
View attachment 2374746
View attachment 2374747
View attachment 2374748
View attachment 2374749
View attachment 2374744
Koran ipo wazi na imetaja stages , Aya ma copy paste ya Nini?
Inaanzia apa,page haikua attached apo juuView attachment 2374756
Weka hilo andiko la Quran linalosema hivyo tulioneAllah kasema UTI wa mgongo wa mwanaume na mbavu za juu za mwanamke , koma kumrekebisha
Kwahiyo ktk hilo bandiko lako hapa kuwa Mungu ndiyo YesuYesu Kristo ni Mwana wa Mungu aliye hai. Kumbuka Yesu Kristo sio Mwana kwasababu alizaliwa na Mariamu, hapana, ni Mwana tangu milele na yupo na Baba yake tangu milele. Mungu ni mmoja, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Aliamua kuja duniani ndio akapitia kwa Mariamu kuchukua mwili.
Trust me all religion are dead religion except Islam,,,ukitaka kuamini dini yako is a dead religion see how MNA update vifungu Kula uchao ili kupendana na wakati,,lkn quran NI Ile Ile na haijawahi kupitwa na wakati,,,Trust me, all religions are dead. Islam is even more dead. Only those with a relationship and a fellowship with the Holy Spirit are alive.
Muhammad is no more while Jesus Christ lives forevermore. The world has more followers of Jesus Christ than any other person. The best selling book every year for centuries is the bible.