Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

🤣🤣🤣 Njoja nije kwenye hoja, kwanza kabisa ndugu yangu ktk imani🙈🙈 unaamini yesu kristo alikuwa ni nani?
Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu aliye hai. Kumbuka Yesu Kristo sio Mwana kwasababu alizaliwa na Mariamu, hapana, ni Mwana tangu milele na yupo na Baba yake tangu milele. Mungu ni mmoja, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.

Aliamua kuja duniani ndio akapitia kwa Mariamu kuchukua mwili.
 
Kwahiyo wewe unakubaliana na muhammad kwamba sperms zinatokea kwenye eneo lililopo kati ya mbavu na uti wa mgongo?
Quran 86 – 7
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

Sio Mimi tu hata hao wanasayansi wako wote duniani wanakubaliana na hilo angalio mchoro wao hapo chini

Safari ya sperm zinapotoka inaanzia hapo katika eneo lenye green color linaitwa Seminal vesicle Sasa ebu niambie Hilo eneo lipo sehemu gani katika mwili wako sio katika uwazi unaopatikana baina mbavu na uti wa mgongo
Screenshot_20221002-131907.jpg
 
Mkuu shida yako nn kwenye hyo aya..
Hii stage ya damu mfu kukaa ndani ya mwanamke kwa siku 40

Na mifupa tupu skeleton ndani ya mwanamke , wapiga utra sound wangezimia 😂😂😂 kuona hicho kihoja Cha allah
 
Hii stage ya damu mfu kukaa ndani ya mwanamke kwa siku 40

Na mifupa tupu skeleton ndani ya mwanamke , wapiga utra sound wangezimia [emoji23][emoji23][emoji23] kuona hicho kihoja Cha allah
Mkuu nioneshe kwenye hiyo aya neno skeleton maan umeng'ang'ania kitu hukijui upo nje ya mada hapo onesha ilo neno kama hakuna urudi ndani ya mada sawa
 
Quran 86 – 7
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

Sio Mimi tu hata hao wanasayansi wako wote duniani wanakubaliana na hilo angalio mchoro wao hapo chini

Safari ya sperm zinapotoka inaanzia hapo katika eneo lenye green color linaitwa Seminal vesicle Sasa ebu niambie Hilo eneo lipo sehemu gani katika mwili wako sio katika uwazi unaopatikana baina mbavu na uti wa mgongoView attachment 2374739
Allah kasema UTI wa mgongo wa mwanaume na mbavu za juu za mwanamke , koma kumrekebisha
 
Mkuu nioneshe kwenye hiyo aya neno skeleton maan umeng'ang'ania kitu hukijui upo nje ya mada hapo onesha ilo neno kama hakuna urudi ndani ya mada sawa
Abdool Mifupa tupu Nini kama sio skeleton? Au ni mifupa moja moja haijaunganika embu elezea mtee Allah na Muhammad
 
Weka ushahidi wa hili.
stori za kitaa

1. Sperm zinatengenezwa kwenye eneo lililopo kati ya mbavu na uti wa mgongo.. 🤣🤣🤣

2. Sperm inageuka kuwa damu iliyoganda.😅

3. Nyama inageuka kuwa mifupa🤪

4. Allah alimnyakua issa halafu akaendelea kuwalaumu wayahudi kwa kuamini yule ni issa😂

5. Muhammad ni nabii wa mwisho lakini cha kushangaza mnasema issa atarudi.. sasa yupi wa mwisho hapo?🤣

6. Muhammad alikuwa hajui kusoma lakini jibreel alikuwa anamlazaimisha asome.😂😂😂

7. Muhammad alipigwa kabali na jibreel🤣🤣

8. Hakuna ushahidi wowote wa jamaa anayeitwa issa kuwahi kuishi ndani ya Israel.🤪
 
Nioneshe mstari wa quran unaomtaja Yesu Kristo. Usilete porojo za issa wa kusadikika.
Ujinga NI kuamini Jesus Kwa matamshi ya wazungu ndio yesu Kwa matamshi ya waswahili na ndio Esau WA wayahudi Ila Sio ISA Kwa matamshi ya waarabu,,,Kwa akili yako ulitaka waarabu wamuite vipi huyo yesu wenu ndo wawe wamemtaja yesu??
Zaburi hii ndio ushahidi wako wa Yesu kutosulubiwa?🤣
Maskin amepata mshtuko WA Moyo hakutarajia kukutana na kifungu kama hicho kwenye bibilia yake amebaki kujichekea Tu ,,haya kama sio yesu aliyetajwa hapo kumbe ni Nani???
Tuletee aya ya quran inayosema mambo haya.
Kua makini na unachokiomba quran haijaacha kitu;;
Na kwa kusema kwao: “Sisi tumemuua Masihi Isa, mwana wa Maryamu Mtume wa Mungu”, hawakumuua wala hawakumsulubu ila walibabaishiwa (mtu mwingine waliyemdhani Nabii Isa). Na hakika wale waliokhitilafiana katika hayo wamo katika shaka nalo. Wao hawana yakini juu ya hili, isipokuwa wanafuata dhana tu. Na kwa yakini hawakumuua Bali Mwenyezi Mungu alimnyanyua kwake; na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na mwenye hekima.” (4:157-158)

Kwa mtu uliyezoea kukariri quran huwezi kuelewa mistari kama hii.
Kwa mtu aliyezoea kudanganywa hawezi kusoma bibilia Kwa akili zake mpk Kwa msaada WA roho mtakatifu ambaye yupo Kwa mchungaji peke Ake hawezi kuelewa chochote NI kama kondoo WA mchungaji,,,wamepewa ubongo lkn hawafikiri wanasubiri MTU mwingine afikirie Kwa ajili Yao,,,.
 
Kwa uwezo wa Allah nimeweza kupata exactly anachosema mleta uzi na majibu yaliyoshiba,nashauri mleta mada na wengine msome hii atachment ili mkawe mabalozi wazuri wa Quran na how it is unquestionably authentic

NOTE:
singatia namba ya page ili uende kwa mtiririko mzuri

Wabilah taufiq

Retrefeence Book :The bible,Quran and science writen by Dr Maurice
b
IMG_0120.jpg

IMG_0121.jpg

IMG_0122.jpg

IMG_0123.jpg

IMG_0125.jpg

IMG_0119.jpg
 
Quran 86 – 7
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

Sio Mimi tu hata hao wanasayansi wako wote duniani wanakubaliana na hilo angalio mchoro wao hapo chini

Safari ya sperm zinapotoka inaanzia hapo katika eneo lenye green color linaitwa Seminal vesicle Sasa ebu niambie Hilo eneo lipo sehemu gani katika mwili wako sio katika uwazi unaopatikana baina mbavu na uti wa mgongoView attachment 2374739
Acha upotoshaji. Sperm zinatokea kwenye testes.
 
Quran 86 – 7
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

Sio Mimi tu hata hao wanasayansi wako wote duniani wanakubaliana na hilo angalio mchoro wao hapo chini

Safari ya sperm zinapotoka inaanzia hapo katika eneo lenye green color linaitwa Seminal vesicle Sasa ebu niambie Hilo eneo lipo sehemu gani katika mwili wako sio katika uwazi unaopatikana baina mbavu na uti wa mgongoView attachment 2374739
Koran 86;
6. Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa 7. Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu
Quran Tafsir Ibn Kathir
(Proceeding from between the backbone and the ribs.) meaning, the backbone (or loins) of the man and the ribs of the woman, which is referring to her chest.
 
Kwa uwezo wa Allah nimeweza kupata exactly anachosema mleta uzi na majibu yaliyoshiba,nashauri mleta mada na wengine msome hii atachment ili mkawe mabalozi wazuri wa Quran na how it is unquestionably authentic

NOTE:
singatia namba ya page ili uende kwa mtiririko mzuri

Wabilah taufiq

Retrefeence Book :The bible,Quran and science writen by Dr Maurice
bView attachment 2374745
View attachment 2374746
View attachment 2374747
View attachment 2374748
View attachment 2374749
View attachment 2374744
Koran ipo wazi na imetaja stages , Aya ma copy paste ya Nini?
 
Inaanxia apa,page haikua attached apo juu
IMG_0126.jpg
 
Koran ipo wazi na imetaja stages , Aya ma copy paste ya Nini?

Kama lengo lako nikupata uelewa soma kilichoandikwa,Kama lengo ni porojo basi endelea kupiga porojo.

Apo kuna majibu yote na uthibitisho wake
 
Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu aliye hai. Kumbuka Yesu Kristo sio Mwana kwasababu alizaliwa na Mariamu, hapana, ni Mwana tangu milele na yupo na Baba yake tangu milele. Mungu ni mmoja, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.

Aliamua kuja duniani ndio akapitia kwa Mariamu kuchukua mwili.
Kwahiyo ktk hilo bandiko lako hapa kuwa Mungu ndiyo Yesu
 
Nilichogungua mokit sio anae taka haki kama anashindwa akipewa kielelezo kukisoma basi huyu hana tofauti na yule aliye sema upumbavu wa Mungu ni Bora kuliko hekima ya mtu so inaonekana amebeba huo upumbavu wenyewe
Na champion amekataa maandiko yake yote kwenye biblia moja kagoma kusema kua yesu kajaribiwa pili kagoma kukubali kua zabuli imekataa kusulubiwa kwa yesu tatu kakataa kua Paulo ni mtukanaji bali pia kamsapoti kua ametenda sawa
 
Trust me, all religions are dead. Islam is even more dead. Only those with a relationship and a fellowship with the Holy Spirit are alive.

Muhammad is no more while Jesus Christ lives forevermore. The world has more followers of Jesus Christ than any other person. The best selling book every year for centuries is the bible.
Trust me all religion are dead religion except Islam,,,ukitaka kuamini dini yako is a dead religion see how MNA update vifungu Kula uchao ili kupendana na wakati,,lkn quran NI Ile Ile na haijawahi kupitwa na wakati,,,

Only those with a relationship with true word of God,,those who ask for forgiveness for their sin,,,those who believe in one message of the prophets and follow their ways,,those who believe in ONE true God not three god's not four,,wale ambao Imani na matendo Yao vinaenda sambamba,,hao ndo ambao are on the right path to salvation,,,.
Muhammad is a prophet like many prophet waliomtangulia kifo NI Jambo la lazima but they may be no more in this world but they live forever in the spiritual world,,unlike yesu whom you claim to be God then he died,,the highest blasphemy you people made up,,how can God die,,who ruled the world for three days alizokUa ktk ulimwengu WA wafu?? Muhammad he maybe No more in this world but the message he spread will live forever,,,
And you say yesu has more followers than Muhammad are you sure?? Cause it seems like There are more followers of Paul than those of yesu,,you guys don't follow Jesus teaching more than Muslim do,,,Muslim are the true followers of Jesus than you guys can be'' tell me the things Jesu's teaches and you guys do exactly as he taught you,,,mmebakia kumtaja Tu Kwa mdomo lkn hamko nae kiimani wala vitendo,,,ndo nyie aliyewasema siku itafika mtamuita bwana bwana tulitoa pepokwa jina lako na kufanya miujiza Kwa jina lako lakini atawakana kwamba "siwajui watu nyie""
Regarding kua the best selling book every year it's becoz every year you guys have another vision of the Bible it is necessary for you to keep up with the vision otherwise utajikuta mchungaji anasoma kifungu na kwenye bibilia yako hakipo so inawabidi kujiupdaye every now and then...
 
Back
Top Bottom