betty marandu
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 1,163
- 722
Kwa hiyo hako kabinti kalibalehe miaka nane???? Mwanao akibalehe akiwa na miaka nane utamruhusu aolewe akiwa na miaka Tisa?Haya mambo yanatia Sana ukakasi kuyataja lakini unajisemea tu Saba bu hujatafakariUnashindwa kutofautisha vyeo bro yule ni mtume ni kiongozi so huwezi mkawa sawa mambo yote alafu hiyo unayo ona ni ngono we ndio ulikuwa doctor was huyo mwanamke ukaona afya yake labda ni dhaifu au hana mwili wa kuhimili tendo la ndoa au umeliona umbile lake likoje we vipi bro kwani alie sema miaka 18 ndio mtu anakua mtu mzima we unavyo dhani yuko sawa yani mtu abalehe na miaka nane alafu aje mtu ameambiwa subiri miaka fulani ndio unakua ushakuahahahhaahhaha