Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Unashindwa kutofautisha vyeo bro yule ni mtume ni kiongozi so huwezi mkawa sawa mambo yote alafu hiyo unayo ona ni ngono we ndio ulikuwa doctor was huyo mwanamke ukaona afya yake labda ni dhaifu au hana mwili wa kuhimili tendo la ndoa au umeliona umbile lake likoje we vipi bro kwani alie sema miaka 18 ndio mtu anakua mtu mzima we unavyo dhani yuko sawa yani mtu abalehe na miaka nane alafu aje mtu ameambiwa subiri miaka fulani ndio unakua ushakuahahahhaahhaha
Kwa hiyo hako kabinti kalibalehe miaka nane???? Mwanao akibalehe akiwa na miaka nane utamruhusu aolewe akiwa na miaka Tisa?Haya mambo yanatia Sana ukakasi kuyataja lakini unajisemea tu Saba bu hujatafakari
 
Nami nikuache na ujumbe huu,,usiabudu kilichoumbwa Bali muumbaji,,
Na nikufundishe ondoleo pekee la dhambi NI toba ya kweli hakuna atakayebeba dhambi zako kisha akaadhibiwe badala yako,,,Yan uzinzi ufanye wewe akaadhibiwe ambaye hajawahi kuzini haipo hiyo,,,
Nami nakuombea ufahamu wako ufunguliwe upate kuujua ujumbe WA kweli WA yesu mwana WA mariamu.
Nikutakie kila LENYE kheri na Mungu akuongoze njia sahihi,,njia ya wale aliowaongoa na sio ya wale waliopotea.
Dini Yako unaisoma na kuelewa
Allah amesema wazi dhambi zote za waislamu atawatushwa wakristo , ata uwe na dhambi kiasi gani anawabebesha wakristo wewe muislamu una kuwa safi
 
Nimejitoa katika mjadala lakini nikiitwa na watu ambao sio wapuuzi huwa naitikia wito,,,,Ila nikijua uupuzi WA mtu huwa siji.

Nadhani kama umesoma biblia kuna lugha ya mafumbo umeshawi kuiona au lugha ya picha.

Matope meusi yaliyo tajwa ni Bahari nyeusi/black sea,,,,,kama wewe ni mtu wa ziwani au baharini, jua likizama likiwa upande wa kwenye maji na kwakuwa dunia ni duara waeza ona kwa mbali kama jua linapotelea kwenye maji kutokana na umbali uliopo na hayo ndio mazingira yalivyotokea.

Shukrani.
Acha uongo , Muhammad kasema ni chem chem ya tope na wala sio bahari , na pia kasema juu ya ayo maji Allah ameweka kiti na Jua linaongea linaomba ruhusa kila siku kwa Allah
 
Mkuu tukiacha ubishi , hakuna kitabu cha dini kinacho eleza uumbaji isipokuwa Qur-an, pili kime jitosheleza pia kimesheheni sayansi kubwa, hv ninyinyi majiulizi kwa nini Qur-an haibadiliki?
Nafikiri kabla hujahitimisha hivyo ungetoa majibu ya hii sintofahamu ya uumbaji wa mtu kwanza.ni muda gani mtoto tumboni anakuwa mifupa then anakuwa covered na nyama?
 
Uliyo yaandika yote ni uongo ndiyo maana nimekuomba ushahidi umeshindwa kuuweka.

Sasa swali langu ni kuwa kwanini unaandika uongo ?
Bahati mbaya mpaka muda huu haujaweza kuonesha uongo wenyewe.
 
Tenga muda isome Quran vzr itakufunza kila kitu na Quran huwa inajitafsiri yenyewe hiyo aya uliyoisoma kuna nyingine imefafanua kila kitu
Tafuta shekhe akufundishe wewe mwenyewe utakuja thibitisha
Sasa wewe ambaye unao mashehe hawajaweza kukukaririsha quran ili utufundishe hapa?
 
Mwambie bibi yako aende kanisani uliyo yataka utayapata tu Yesu kalaaniwa bwana unakataa maandiko yako we vipi acha ujinga kabisa na usirudie kutuletea mada za mapichapicha humu
Sitaacha kuwaletea mada motomoto mpaka muache kumfuata illiterate fellow wa mapangoni.
 
Huna akili wewe, yaan Mungu aamue kuzaliwa ili aje awakomboe aliwaumba yeye mwenyewe? We una akili kichwani humo??
Neno la msalaba kwa wanaopotea ni upuuzi bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.
 
Umeuliza maswali ya msingi ila Qur-an ni kitabu kinachohitaji utulivu kukielewa na kukiamini hebu soma ktk Surat Al'alaq aya nambari 3 Mwenyezi Mungu anatuambia kua "Amemuumba binaadamu kwa tone la damu," sasa je tunavyojua ktk elimu yetu ya embryology binaadam mwanzo wake ni manii sasa vipi hapo awe ametokana na tone la damu?, je inamaana Mwenyezi Mungu ametudanganya?, au anataka tusiamini maneno yake?

Jibu la maswali yote hayo ni moja tu Mwenyezi Mungu amemuumba binaadam na akampa elimu, tena elimu ambayo leo kama ww umepata mda wa kuichallenge Qur-an.
Kwahiyo Allah anafanya guessing na kuchanganya mambo. Anasahau mwanzo alisema nini na baadae anabadilisha. Hii sio tabia ya Mungu wa kweli.
 
Kwanza kosa kubwa umelifanya hapa kwenye kulinganisha Uhalisia (Qur'aan) na Biology.

Anzia hapa Kisha kutokea hapo uulize maswali yako :

Anasema Allah aliye juu :

13. Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti.


14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji. (al-Muuminuun : 14)
Elezeeni damu inatoka wapi??
 
Acha dini za watu fuata yako nakama wewe ni muislamu muulize ostadh au shekhe ana majibu yote
 
Nimejitoa katika mjadala lakini nikiitwa na watu ambao sio wapuuzi huwa naitikia wito,,,,Ila nikijua uupuzi WA mtu huwa siji.

Nadhani kama umesoma biblia kuna lugha ya mafumbo umeshawi kuiona au lugha ya picha.

Matope meusi yaliyo tajwa ni Bahari nyeusi/black sea,,,,,kama wewe ni mtu wa ziwani au baharini, jua likizama likiwa upande wa kwenye maji na kwakuwa dunia ni duara waeza ona kwa mbali kama jua linapotelea kwenye maji kutokana na umbali uliopo na hayo ndio mazingira yalivyotokea.

Shukrani.
Kwahiyo Allah ndio akamwambia muhammad kwamba kitendo hicho ndio sawasawa na jua kuzama kwenye matope?
 
Uislamu mnaujua kweli?
Kuna funga ukifunya unasamehewa dhambi zote zilizo pita na mwaka mzima unaokuja , yani Allah anakuoa license to sin
Mwaka ulipita kuna mwaka unakuja au hujui ilo na haja sema mnasemehewa milele pia hatu mfuati mtu sis atusamehe dhambi zetu
 
Mwaka ulipita kuna mwaka unakuja au hujui ilo na haja sema mnasemehewa milele pia hatu mfuati mtu sis atusamehe dhambi zetu
Funga ya siku moja ,Allah anakupa leseni ya dhambi kwa mwaka mzima 😂😂😂 someni dini yenu la sivyo nitaendelea kuwaumbua humu
 
Ni mjinga gani kakwambia Mungu anazaliwa ?

Alalfu dini ya ng'ombe [emoji23] unajifanya huijui nenda kasome Allah kasema anafufua watu kwa kuwpiga na dudu ya ng'ombe [emoji23][emoji23] kasome kisa Cha muislamu Musa
Kha yesu ajazaliwa tena
 
Back
Top Bottom