professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Broh umeelewa swaliMutah son weka andiko mbona simple
Ahazia alitawala umri gani Jerusalem kwa mujibu wa biblia?Sasa wewe una maswali yasiyokuwa na reference yoyote. Lete maswali na mistari yake tukupe ufafanuzi.
Mjibu skeleton tupu linakuwaje ndani ya mji wa uzazi 😂😂😂Mokit angefaa kua shabiki tu au mtazamaji asingelaumiwa na wakristo maana anaudhalilisha ngoja nicheke mie yani leo niko natazama raha za uislamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂Hili ni rahisi sana. Agizo la torati lilikuwa maalumu kwa mazingira ya kuwa chini ya sheria. Mpaka sasa hilo agizo linadumu kwenye sheria ulimwenguni pote.
Sasa hapo kwa Yesu alikuwa anafundisha uvumilivu pale watu wanapotukosea au kutukorofisha. Hii ni noble character. Hata hivyo hapo kuna limits pia. Ukinipiga kofi moja na nikaruhusu la pili utakuwa unavumiliwa ila ukiweka la tatu sheria itafuata mkondo wake.
Kwahiyo hapo hakuna contradiction ila kuna extension ya uvumilivu kwasababu wapo watu watakaokosea kwa bahati mbaya na kuna wale watakosea kwasababu ya ujinga wao tunapaswa kuwa wavumilivu.
Yesu ameitimiliza sheria hapo kwa kutoa fursa ya mkorofi kujifunza. Jaribu kufikiri leo hii umenikorofisha ukanipiga halafu nikaamua kukaa kimya. Ukafanya tena mara ya pili nikakuaamehe.
Kama ni mtu muelewa lazima utajirekebisha na pengine kuomba msamaha. Ukirudia tena hapo nitajua wewe ni lazima uchukuliwe hatua kali za kisheria.
Jesus Christ is so wise.😍
Ushatoka ku Google umerudi jibu maswali tuku sikilize we mpumbavu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Koran mnasomaga kweli , muanzilishi wa masanamu ni allah , alituma majini kwa suleiman muislamu yakajenga msikiti na kuweka masanamu Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
Mzee wa contradiction yule ngoja aje uta msikia anaanza manuscript imekaa nje ndani imelala wafasiri walikua wame kunywa mvinyo yani hawa eleweki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nisamehe Mkuu lakini unayasherehesha maandiko kwa kadri yanavyokupendeza ambako ni kinyume kabisa na maandiko ya biblia takatifu.
Imeelezwa tena wazi bila kificho kuwa anaeua nae auwawe naikaelezwa wazi tena mtu asipingane na uovu, akipigwa la kulia ageuke na kushoto apigwe tena.
Sherehe yako ya maandiko hayo hayana msingi wowote.
Na kusema kweli iko
Mistari mingi sana ya namna hii ilq nimekupa minne tu walau kama uko ‘objective’ basi upate kufikiri tena.
Swali lipo leo siku zinaendaBroh mwisho wa siku motik utampeleka ICU maana yale vipi kasha kujibu au ndio mleta mistari
Haujapata fursa ya kumsoma vizuri Yesu Kristo kwenye concept ya 'kuitimiza torati'. Huwa anaeleza ni kwanini baadhi ya sheria Musa aliziruhusu katika mazingira ya agano la kale.😂😂😂😂
Nisamehe Mkuu lakini unayasherehesha maandiko kwa kadri yanavyokupendeza ambako ni kinyume kabisa na maandiko ya biblia takatifu.
Imeelezwa tena wazi bila kificho kuwa anaeua nae auwawe naikaelezwa wazi tena mtu asipingane na uovu, akipigwa la kulia ageuke na kushoto apigwe tena.
Sherehe yako ya maandiko hayo hayana msingi wowote.
Na kusema kweli iko
Mistari mingi sana ya namna hii ilq nimekupa minne tu walau kama uko ‘objective’ basi upate kufikiri tena.
😂😂😂 Embu muweka mkristo anae nilaumuMokit angefaa kua shabiki tu au mtazamaji asingelaumiwa na wakristo maana anaudhalilisha ngoja nicheke mie yani leo niko natazama raha za uislamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hoja za ‘Contadiction’ ni ngumu sana kuzifanyia utetezi wenye mantiki, ndiyo maana ndugu yangu anapata tabu.Mzee wa contradiction yule ngoja aje uta msikia anaanza manuscript imekaa nje ndani imelala wafasiri walikua wame kunywa mvinyo yani hawa eleweki
Waislamu wakiona mada ngumu na inaleta sintofahamu kwa dini yao uwa wanaamisha madaNi simple, Yesu alikutana na maria magdalena akiwa pale nje ya kaburi. Ndio mtu pekee aliyekutana na Yesu pale kaburini, wengine wote alikutana nao mahali pengine.
Maria alipotaka kumgusa, Yesu alikataa akasema bado hayapanda kwenda mbinguni. Petro hakuandika alipokutana naye binafsi siku ile waliongea nini lakini alisema tu amemwona Bwana Yesu.
Lakini baadae alipokutana na wanafunzi wengine aliwaruhusu kumgusa. Hii inaonesha tayari alikuwa ameshaenda mbinguni na kurudi.
Hivyo ni dhahiri Magdalene ndio alikuwa wa kwanza kumuona Yesu Kristo baada ya kufufuka.
Mkuu najua kwakuwa ni Imani yako ni ngumu kukubali kuna makosa, hili nalielewa vyema kabisa. Hivyo hata nikikuletea kosa gani ni lazima utafute namna ya kufunikafunika, kuleta sherehe ali mradi kosa lisionekane kosa.Haujapata fursa ya kumsoma vizuri Yesu Kristo kwenye concept ya 'kuitimiza torati'. Huwa anaeleza ni kwanini baadhi ya sheria Musa aliziruhusu katika mazingira ya agano la kale.
Agano la kale lilikuwa na udhaifu mwingi ambao Mungu aliuruhusu kwasababu lilikuwa ni kivuli cha agano jipya ambalo ni kamilifu.
Bustanini edeni, Mungu alitakiwa kuwaua adam na eva kwasababu kanuni ya Mungu ni kwamba mshahara wa dhambi ni mauti. Tena alikuwa amesema explicitly kwamba siku wakila tunda watakufa. Utaniuliza swali je kwanini hawakufa? Mungu hakutimiza ahadi yake?
Haya huwa ndio maswali yenu waislamu huku mkiona mpo sahihi. Hapo unatembea kifua mbele ukisema biblia inayo makosa. Angalia hili, angalia lile. Lakini mpo completely wrong hakuna makosa kwenye hiyo mistari.
Kosa lenu kubwa ni kwamba ninyi ni watu msiofahamu mambo ya rohoni. Mnaishi na kufanya kazi kwa kufuata mwili. Kwenu, mpo na sheria zile kama za wayahudi walipokuwa chini ya agano la kale (ambalo wanalifuata mpaka sasa).
Mfano hapo Mungu aliposema hakika mtakufa, NI KWELI KABISA KWAMBA ADAM NA EVA WALIKUFA SIKU ILEILE. Walikufa kiroho. Walitengwa kutoka kwenye ushirika (fellowship) na Mungu. Roho zao zilipoteza ile asili ya kiungu. Kilichobaki ikawa ni uhai wa mwilini.
Hapa tàyari muislamu yoyote anakuwa kashapotea kwasababu kwake kufa ni lazima mwili uwe umekufa pia. Ndio maana huwa maswali yenu mengi ni dhaifu sana lakini nawaelewa mnavyoyaona kuwa ni maswali muhimu. Mpo mwilini, roho zenu zimekufa.
Mambo ya rohoni yanatambulikana kwa jinsi ya rohoni. Ni mpaka pale unapompata Kristo Yesu ndipo utando wa dini unaondoka na hapo unaanza kuelewa mambo ya kwenye biblia.
So mada ulizo anzishiwa zime kuzidi umri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waislamu wakiona mada ngumu na inaleta sintofahamu kwa dini yao uwa wanaamisha mada
Na huu ni uthibitisho wa wazi kuonesha kwamba mambo ya rohoni yamepita kushoto na waislamu.Nyingine hii hapa kuhusu Kutahiri
Genesis 17:10-11
“10 This is my acovenant, which ye shall keep, between me and you and thy seed after thee; Every man child among you shall be bcircumcised.
11 And ye shall acircumcise the flesh of your foreskin; and it shall be a btoken of the ccovenant betwixt me and you”
Galatians 5:2-4
“Behold, I Paul say unto you, that if ye be circumcised, Christ shall profit you nothing.
3 For I testify again to every man that is acircumcised, that he is a debtor to do the whole law.
4 Christ is become of no effect unto you, whosoever of you are justified by the alaw; ye are fallen from grace.”
Swali lipo leo siku zinaendaSo mada ulizo anzishiwa zime kuzidi umri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeweka picha ambayo haionye real position ya Seminal vesicle ili uendelee kuwadanya wagalatia wenzakoKuna wakati nilimsikia mtu mmoja akisema uislam unatawaliwa na roho ya ujinga na ngono sikumwelewa vizuri lakini sasa hivi naelewa.
Seminal vesticle inaonekana kwenye picha hapa chini na haipo kati ya mbavu na uti wa mgongo. Acha kutetea upumbavu na ujinga wa Allah. Pia seminal vesticle haizalishi sperm. Kazi zake hizi hapa chini
The fluids that develop in seminal vesicles make up an estimated 50% to 80% of your semen’s volume. The substances in these fluids are designed to help sperm stay alive once they enter the vagina
View attachment 2376055
Sasa unaleta picha zako ulizoedit kutoka hapo masjid na kutetea ujuha.
Haya madai tukitaka uthibitisho utatupa?Na huu ni uthibitisho wa wazi kuonesha kwamba mambo ya rohoni yamepita kushoto na waislamu.
Tafadhali hebu soma tena, kisha shuhudia ulichoandika wewe na alichoandika PaulKwanza hapo Paulo hajatoa agizo kwamba mtu asitahiriwe. Ameeleza tu kwamba kiroho, tohara ya mwilini sio focus yetu.
Mkuu hiyo mistari haijasema kitu kuhusu mioyo ama roho, nina hakika Paul angetaka kumaanisha roho basi angesema roho, hakuwa na haja ya kusema mambo ya kutahiri.Inatupasa kutahiriwa katika mioyo yetu kwa kuzaliwa mara ya pili na kuishi tukimpendeza Mungu.
Mambo ya Roho mpaka Allah hajui , kuna wayahudi walimuuliza muhammad Roho ni Nini akakaa siku nne akaja kusema Allah knows bestNa huu ni uthibitisho wa wazi kuonesha kwamba mambo ya rohoni yamepita kushoto na waislamu.
Hizi habari mmezipokea toka kwa nani ? Ili ziwe za kweliz unaweza kutuambia nani aliwaona watu hawa mpaka wakasimulia habari hii ?Ni simple, Yesu alikutana na maria magdalena akiwa pale nje ya kaburi. Ndio mtu pekee aliyekutana na Yesu pale kaburini, wengine wote alikutana nao mahali pengine.
Maria alipotaka kumgusa, Yesu alikataa akasema bado hayapanda kwenda mbinguni. Petro hakuandika alipokutana naye binafsi siku ile waliongea nini lakini alisema tu amemwona Bwana Yesu.
Lakini baadae alipokutana na wanafunzi wengine aliwaruhusu kumgusa. Hii inaonesha tayari alikuwa ameshaenda mbinguni na kurudi.
Hivyo ni dhahiri Magdalene ndio alikuwa wa kwanza kumuona Yesu Kristo baada ya kufufuka.