Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Sasa wewe una maswali yasiyokuwa na reference yoyote. Lete maswali na mistari yake tukupe ufafanuzi.
Ahazia alitawala umri gani Jerusalem kwa mujibu wa biblia?
Nani wa kwanza kumuona Yesu amefufuka kwa mujibu wa biblia?
Yesu alisulubiwa muda gani kwa mujibu wa biblia? Aya twambie huja elewa nini?
 
Mokit angefaa kua shabiki tu au mtazamaji asingelaumiwa na wakristo maana anaudhalilisha ngoja nicheke mie yani leo niko natazama raha za uislamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mjibu skeleton tupu linakuwaje ndani ya mji wa uzazi 😂😂😂
 
Hili ni rahisi sana. Agizo la torati lilikuwa maalumu kwa mazingira ya kuwa chini ya sheria. Mpaka sasa hilo agizo linadumu kwenye sheria ulimwenguni pote.

Sasa hapo kwa Yesu alikuwa anafundisha uvumilivu pale watu wanapotukosea au kutukorofisha. Hii ni noble character. Hata hivyo hapo kuna limits pia. Ukinipiga kofi moja na nikaruhusu la pili utakuwa unavumiliwa ila ukiweka la tatu sheria itafuata mkondo wake.

Kwahiyo hapo hakuna contradiction ila kuna extension ya uvumilivu kwasababu wapo watu watakaokosea kwa bahati mbaya na kuna wale watakosea kwasababu ya ujinga wao tunapaswa kuwa wavumilivu.

Yesu ameitimiliza sheria hapo kwa kutoa fursa ya mkorofi kujifunza. Jaribu kufikiri leo hii umenikorofisha ukanipiga halafu nikaamua kukaa kimya. Ukafanya tena mara ya pili nikakuaamehe.

Kama ni mtu muelewa lazima utajirekebisha na pengine kuomba msamaha. Ukirudia tena hapo nitajua wewe ni lazima uchukuliwe hatua kali za kisheria.

Jesus Christ is so wise.😍
😂😂😂😂
Nisamehe Mkuu lakini unayasherehesha maandiko kwa kadri yanavyokupendeza ambako ni kinyume kabisa na maandiko ya biblia takatifu.

Imeelezwa tena wazi bila kificho kuwa anaeua nae auwawe naikaelezwa wazi tena mtu asipingane na uovu, akipigwa la kulia ageuke na kushoto apigwe tena.

Sherehe yako ya maandiko hayo hayana msingi wowote.

Na kusema kweli iko
Mistari mingi sana ya namna hii ilq nimekupa minne tu walau kama uko ‘objective’ basi upate kufikiri tena.
 
Koran mnasomaga kweli , muanzilishi wa masanamu ni allah , alituma majini kwa suleiman muislamu yakajenga msikiti na kuweka masanamu Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
Ushatoka ku Google umerudi jibu maswali tuku sikilize we mpumbavu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kama umesahau ukumbushwe maana kichwa chako kama cha kuku tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nisamehe Mkuu lakini unayasherehesha maandiko kwa kadri yanavyokupendeza ambako ni kinyume kabisa na maandiko ya biblia takatifu.

Imeelezwa tena wazi bila kificho kuwa anaeua nae auwawe naikaelezwa wazi tena mtu asipingane na uovu, akipigwa la kulia ageuke na kushoto apigwe tena.

Sherehe yako ya maandiko hayo hayana msingi wowote.

Na kusema kweli iko
Mistari mingi sana ya namna hii ilq nimekupa minne tu walau kama uko ‘objective’ basi upate kufikiri tena.
Mzee wa contradiction yule ngoja aje uta msikia anaanza manuscript imekaa nje ndani imelala wafasiri walikua wame kunywa mvinyo yani hawa eleweki
 
Broh mwisho wa siku motik utampeleka ICU maana yale vipi kasha kujibu au ndio mleta mistari
Swali lipo leo siku zinaenda
Allah anaesema skeleton tupu lipo ndani ya mji wa uzazi wa mwanamke mujibu basi mbona mnaruka ruka kama nyani

Hii stage wapiga utra sound wamewagi kuiona na Kuna picha za utra sound zikionesha hii stage
 
😂😂😂😂
Nisamehe Mkuu lakini unayasherehesha maandiko kwa kadri yanavyokupendeza ambako ni kinyume kabisa na maandiko ya biblia takatifu.

Imeelezwa tena wazi bila kificho kuwa anaeua nae auwawe naikaelezwa wazi tena mtu asipingane na uovu, akipigwa la kulia ageuke na kushoto apigwe tena.

Sherehe yako ya maandiko hayo hayana msingi wowote.

Na kusema kweli iko
Mistari mingi sana ya namna hii ilq nimekupa minne tu walau kama uko ‘objective’ basi upate kufikiri tena.
Haujapata fursa ya kumsoma vizuri Yesu Kristo kwenye concept ya 'kuitimiza torati'. Huwa anaeleza ni kwanini baadhi ya sheria Musa aliziruhusu katika mazingira ya agano la kale.

Agano la kale lilikuwa na udhaifu mwingi ambao Mungu aliuruhusu kwasababu lilikuwa ni kivuli cha agano jipya ambalo ni kamilifu.

Bustanini edeni, Mungu alitakiwa kuwaua adam na eva kwasababu kanuni ya Mungu ni kwamba mshahara wa dhambi ni mauti. Tena alikuwa amesema explicitly kwamba siku wakila tunda watakufa. Utaniuliza swali je kwanini hawakufa? Mungu hakutimiza ahadi yake?

Haya huwa ndio maswali yenu waislamu huku mkiona mpo sahihi. Hapo unatembea kifua mbele ukisema biblia inayo makosa. Angalia hili, angalia lile. Lakini mpo completely wrong hakuna makosa kwenye hiyo mistari.

Kosa lenu kubwa ni kwamba ninyi ni watu msiofahamu mambo ya rohoni. Mnaishi na kufanya kazi kwa kufuata mwili. Kwenu, mpo na sheria zile kama za wayahudi walipokuwa chini ya agano la kale (ambalo wanalifuata mpaka sasa).

Mfano hapo Mungu aliposema hakika mtakufa, NI KWELI KABISA KWAMBA ADAM NA EVA WALIKUFA SIKU ILEILE. Walikufa kiroho. Walitengwa kutoka kwenye ushirika (fellowship) na Mungu. Roho zao zilipoteza ile asili ya kiungu. Kilichobaki ikawa ni uhai wa mwilini.

Hapa tàyari muislamu yoyote anakuwa kashapotea kwasababu kwake kufa ni lazima mwili uwe umekufa pia. Ndio maana huwa maswali yenu mengi ni dhaifu sana lakini nawaelewa mnavyoyaona kuwa ni maswali muhimu. Mpo mwilini, roho zenu zimekufa.

Mambo ya rohoni yanatambulikana kwa jinsi ya rohoni. Ni mpaka pale unapompata Kristo Yesu ndipo utando wa dini unaondoka na hapo unaanza kuelewa mambo ya kwenye biblia.
 
Mokit angefaa kua shabiki tu au mtazamaji asingelaumiwa na wakristo maana anaudhalilisha ngoja nicheke mie yani leo niko natazama raha za uislamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂 Embu muweka mkristo anae nilaumu

Mna swali lenu lipo karibia mwezi sasa

Swali lipo leo siku zinaenda
Allah anaesema skeleton tupu lipo ndani ya mji wa uzazi wa mwanamke mujibu basi mbona mnaruka ruka kama nyani

Hii stage wapiga utra sound wamewagi kuiona na Kuna picha za utra sound zikionesha hii stage
 
Ni simple, Yesu alikutana na maria magdalena akiwa pale nje ya kaburi. Ndio mtu pekee aliyekutana na Yesu pale kaburini, wengine wote alikutana nao mahali pengine.

Maria alipotaka kumgusa, Yesu alikataa akasema bado hayapanda kwenda mbinguni. Petro hakuandika alipokutana naye binafsi siku ile waliongea nini lakini alisema tu amemwona Bwana Yesu.

Lakini baadae alipokutana na wanafunzi wengine aliwaruhusu kumgusa. Hii inaonesha tayari alikuwa ameshaenda mbinguni na kurudi.

Hivyo ni dhahiri Magdalene ndio alikuwa wa kwanza kumuona Yesu Kristo baada ya kufufuka.
Waislamu wakiona mada ngumu na inaleta sintofahamu kwa dini yao uwa wanaamisha mada
 
Haujapata fursa ya kumsoma vizuri Yesu Kristo kwenye concept ya 'kuitimiza torati'. Huwa anaeleza ni kwanini baadhi ya sheria Musa aliziruhusu katika mazingira ya agano la kale.

Agano la kale lilikuwa na udhaifu mwingi ambao Mungu aliuruhusu kwasababu lilikuwa ni kivuli cha agano jipya ambalo ni kamilifu.

Bustanini edeni, Mungu alitakiwa kuwaua adam na eva kwasababu kanuni ya Mungu ni kwamba mshahara wa dhambi ni mauti. Tena alikuwa amesema explicitly kwamba siku wakila tunda watakufa. Utaniuliza swali je kwanini hawakufa? Mungu hakutimiza ahadi yake?

Haya huwa ndio maswali yenu waislamu huku mkiona mpo sahihi. Hapo unatembea kifua mbele ukisema biblia inayo makosa. Angalia hili, angalia lile. Lakini mpo completely wrong hakuna makosa kwenye hiyo mistari.

Kosa lenu kubwa ni kwamba ninyi ni watu msiofahamu mambo ya rohoni. Mnaishi na kufanya kazi kwa kufuata mwili. Kwenu, mpo na sheria zile kama za wayahudi walipokuwa chini ya agano la kale (ambalo wanalifuata mpaka sasa).

Mfano hapo Mungu aliposema hakika mtakufa, NI KWELI KABISA KWAMBA ADAM NA EVA WALIKUFA SIKU ILEILE. Walikufa kiroho. Walitengwa kutoka kwenye ushirika (fellowship) na Mungu. Roho zao zilipoteza ile asili ya kiungu. Kilichobaki ikawa ni uhai wa mwilini.

Hapa tàyari muislamu yoyote anakuwa kashapotea kwasababu kwake kufa ni lazima mwili uwe umekufa pia. Ndio maana huwa maswali yenu mengi ni dhaifu sana lakini nawaelewa mnavyoyaona kuwa ni maswali muhimu. Mpo mwilini, roho zenu zimekufa.

Mambo ya rohoni yanatambulikana kwa jinsi ya rohoni. Ni mpaka pale unapompata Kristo Yesu ndipo utando wa dini unaondoka na hapo unaanza kuelewa mambo ya kwenye biblia.
Mkuu najua kwakuwa ni Imani yako ni ngumu kukubali kuna makosa, hili nalielewa vyema kabisa. Hivyo hata nikikuletea kosa gani ni lazima utafute namna ya kufunikafunika, kuleta sherehe ali mradi kosa lisionekane kosa.

Ila kama wewe ni mtu unaetafuta ukweli, basi hutapata tabu kuyaona makosa haya dhahiri kwenye Biblia.

Nyingine hii hapa kuhusu Kutahiri

Genesis 17:10-11
“10 This is my acovenant, which ye shall keep, between me and you and thy seed after thee; Every man child among you shall be bcircumcised.
11 And ye shall acircumcise the flesh of your foreskin; and it shall be a btoken of the ccovenant betwixt me and you”

Galatians 5:2-4
Behold, I Paul say unto you, that if ye be circumcised, Christ shall profit you nothing.
3 For I testify again to every man that is acircumcised, that he is a debtor to do the whole law.
4 Christ is become of no effect unto you, whosoever of you are justified by the alaw; ye are fallen from grace.”
 
Dah Bora bro ulivyo mletea kwa kiingereza mimi nilimletea kwa kiswahili akawa sijui aelewi ngoja nisubiri majibu hapa huku nakunywa kahawa na al kasusu
 
Nyingine hii hapa kuhusu Kutahiri

Genesis 17:10-11
“10 This is my acovenant, which ye shall keep, between me and you and thy seed after thee; Every man child among you shall be bcircumcised.
11 And ye shall acircumcise the flesh of your foreskin; and it shall be a btoken of the ccovenant betwixt me and you”

Galatians 5:2-4
Behold, I Paul say unto you, that if ye be circumcised, Christ shall profit you nothing.
3 For I testify again to every man that is acircumcised, that he is a debtor to do the whole law.
4 Christ is become of no effect unto you, whosoever of you are justified by the alaw; ye are fallen from grace.”
Na huu ni uthibitisho wa wazi kuonesha kwamba mambo ya rohoni yamepita kushoto na waislamu.

Kwanza hapo Paulo hajatoa agizo kwamba mtu asitahiriwe. Ameeleza tu kwamba kiroho, tohara ya mwilini sio focus yetu.

Inatupasa kutahiriwa katika mioyo yetu kwa kuzaliwa mara ya pili na kuishi tukimpendeza Mungu.
 
So mada ulizo anzishiwa zime kuzidi umri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Swali lipo leo siku zinaenda
Allah anaesema skeleton tupu lipo ndani ya mji wa uzazi wa mwanamke mujibu basi mbona mnaruka ruka kama nyani

Hii stage wapiga utra sound wamewagi kuiona na Kuna picha za utra sound zikionesha hii stage
 
Kuna wakati nilimsikia mtu mmoja akisema uislam unatawaliwa na roho ya ujinga na ngono sikumwelewa vizuri lakini sasa hivi naelewa.

Seminal vesticle inaonekana kwenye picha hapa chini na haipo kati ya mbavu na uti wa mgongo. Acha kutetea upumbavu na ujinga wa Allah. Pia seminal vesticle haizalishi sperm. Kazi zake hizi hapa chini

The fluids that develop in seminal vesicles make up an estimated 50% to 80% of your semen’s volume. The substances in these fluids are designed to help sperm stay alive once they enter the vagina

View attachment 2376055
Sasa unaleta picha zako ulizoedit kutoka hapo masjid na kutetea ujuha.
Umeweka picha ambayo haionye real position ya Seminal vesicle ili uendelee kuwadanya wagalatia wenzako

Picha yangu inaonyesha vizuri Seminal vesicle ilipo ipo kwa juu ya makalio ya mwanaume ukienda juu utakutana na mifupa ya mbavu na ukienda pembeni utakutana na uti wa mgongo

FUNCTION OF SEMINAL VESICLE

The main function of the seminal vesicles is to produce a fluid that is high in fructose, a sugar that provides nutrients for sperm cells, as well as other proteins, enzymes, and mucus. This fluid is a major component of semen, and it accounts for about 50%–80% of semen volume.2

Hayo ni maelezo ya wanasayansi wako uliyotaka wakusaidie

Wanasema sperm cell zikitoka katika korodani zinakuja hapo katika Seminal vesicle na kuwekewa nutrients ambazo ni fractose, Suger, proteins, enzymes,mocus na fluid na kuandaliwa kwa ajili ya kurushwa kwenda katika uke kwa ajili ya kutunga mimba

Kwa hiyo wanasayansi wako wanakubali kuwa sperm inayoenda katika uke wa mwanamke kwa ajili ya kutunga mimba inarushwa kutoka katika Seminal vesicle na hata hiyo kazi ya kurusha sperm inafanywa na misuli ya Seminal vesicle na picha inaonyesha hizo Seminal vesicle zipo kwa ju kidogo ya makalio ya mwanaume

Na Quran inasemaje ?

Quran 86:6
Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,
7.
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

Maelezo ya wanasayansi wako na Quran yanafanana

Screenshot_20221003-193213.jpg
Screenshot_20221003-161149.jpg
 
Na huu ni uthibitisho wa wazi kuonesha kwamba mambo ya rohoni yamepita kushoto na waislamu.
Haya madai tukitaka uthibitisho utatupa?
Umefanya tafiti kwa waislamu wote na kuhitimisha hivyo?
Najua tunaongelea imani lakini shutma zisizo na ushahidi si busara kuzizua Mkuu.

Kwanza hapo Paulo hajatoa agizo kwamba mtu asitahiriwe. Ameeleza tu kwamba kiroho, tohara ya mwilini sio focus yetu.
Tafadhali hebu soma tena, kisha shuhudia ulichoandika wewe na alichoandika Paul
Au Tafsiri ni changamoto Mkuu? (No offense)

Behold, I Paul say unto you, that if ye be circumcised, Christ shall profit you nothing.
3 For I testify again to every man that is acircumcised, that he is a debtor to do the whole law.
4 Christ is become of no effect unto you, whosoever of you are justified by the alaw; ye are fallen from grace.”

Nakusihi soma tena na ile ya mwanzo.
Inatupasa kutahiriwa katika mioyo yetu kwa kuzaliwa mara ya pili na kuishi tukimpendeza Mungu.
Mkuu hiyo mistari haijasema kitu kuhusu mioyo ama roho, nina hakika Paul angetaka kumaanisha roho basi angesema roho, hakuwa na haja ya kusema mambo ya kutahiri.

Mistari iko wazi, ni wewe unaetia maneno yasokuwepo.

Kama hoja hii umeshindwa kuitetea basi sioni haja ya kuendelea na mjadala juu ya ‘Contadiction’ za kwenye Biblia Mkuu.
Uwe na usiku mwanana!
 
Na huu ni uthibitisho wa wazi kuonesha kwamba mambo ya rohoni yamepita kushoto na waislamu.
Mambo ya Roho mpaka Allah hajui , kuna wayahudi walimuuliza muhammad Roho ni Nini akakaa siku nne akaja kusema Allah knows best

Jamaa alikuwa anazingua balaa
 
Ni simple, Yesu alikutana na maria magdalena akiwa pale nje ya kaburi. Ndio mtu pekee aliyekutana na Yesu pale kaburini, wengine wote alikutana nao mahali pengine.

Maria alipotaka kumgusa, Yesu alikataa akasema bado hayapanda kwenda mbinguni. Petro hakuandika alipokutana naye binafsi siku ile waliongea nini lakini alisema tu amemwona Bwana Yesu.

Lakini baadae alipokutana na wanafunzi wengine aliwaruhusu kumgusa. Hii inaonesha tayari alikuwa ameshaenda mbinguni na kurudi.

Hivyo ni dhahiri Magdalene ndio alikuwa wa kwanza kumuona Yesu Kristo baada ya kufufuka.
Hizi habari mmezipokea toka kwa nani ? Ili ziwe za kweliz unaweza kutuambia nani aliwaona watu hawa mpaka wakasimulia habari hii ?
 
Back
Top Bottom