Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

1. Hakuna mahali popote katika Biblia ambapo Mohamad ametajwa.

2. Lugha ya Cheo ndio inakuwa wingi? Kwamba cheo cha Mungu ndio kinatumia Wingi? Hebu acheni ujuha nyie watu
We chizi soma hii

Mwanzo 1:26

Kisha Mungu akasema, “Tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu. Nipe Idadi ya Mungu apo wako wangapi?
 
We chizi soma hii

Mwanzo 1:26

Kisha Mungu akasema, “Tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu. Nipe Idadi ya Mungu apo wako wangapi?
Sisi Mungu wetu ni Baba, Mwana na Roho Mtakatifu hivyo anaweza kuongea kwa wingi.

Sasa wewe utuambie wako akina Allah wangapi?
 
Unalazimisha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Nani kakwambia kuwa damu ile inatokana na yai. Rudi darasa la sita utaelewa tena damu inatoka wapi. Unajua kitu kinaitwa placenta.

Shida mnalazimisha sana vitabu vya dini kuwa relevant katika ulimwengu wa sasa wa sayansi jinis mnvyolazimisha mnazidi umbuka wafia dini.
 
Unaongelea mambo gani?
Unataka kukimbia ukweli kuhusu lugha ya wingi iliyo tumika kile ni cheo na sifa na Mungu apangiwi maneno ya kunena

Maana iko hivi.

Isaya 45 pekee Mungu anasema, "Mimi ni Mwenyezi-Mungu, wala hakuna mwingine; hakuna Mungu mwingine ila mimi" (aya ya 5,6,18).
 
Embu soma

Isaya 45 pekee Mungu anasema, "Mimi ni Mwenyezi-Mungu, wala hakuna mwingine; hakuna Mungu mwingine ila mimi" (aya ya 5,6,18).
Sasa wewe unatuletea mapichapicha
Andiko liko sahihi, Mungu ni mmoja tu wala hakuna mwingine. Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…