Never argue with an idiot. They will drag you down to their level and beat you with experience…..I feel sorry for u🙃Koran imeandikwa kama rap song , inaishia na kina kimoja , unakuta Allah na shetani wanaongea wanaishia na kina kimoja
Koran Haina maajabu , verse zake hazieleweki na hazima info za kutosha unacho fanya kasome Hadith , kasome sabubnuzu, kasome Tafsir ndio utaelewa , mbali na hapo ukisoma Koran tu ni useless book hisiyo na maana
PoleHii ni DINI ya kiislamu ni ya hovyo sana.
Wakristo tunaamini Lusfer alipoasi na baadhi ya Malaika kule MBINGUNI.
Akatupwa Duniani Akawa shetani, Malaika wakawa Majini,Mapepo nk.
WAO WANONA KUFUGA MAJINI NO SIFA.
Kuandika tu hujui ndio utaujua UislamHii ni DINI ya kiislamu ni ya hovyo sana.
Wakristo tunaamini Lusfer alipoasi na baadhi ya Malaika kule MBINGUNI.
Akatupwa Duniani Akawa shetani, Malaika wakawa Majini,Mapepo nk.
WAO WANONA KUFUGA MAJINI NO SIFA.
Jua halizami wewe ficha ujinga.Anaweza kuelezea Koran na Jua kuzama ni Muhammad
Msome
Imesimuliwa Abu Dharr:
Nilikuwa nimekaa nyuma ya Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) ambaye alikuwa akipanda punda wakati jua linachomoza. Akauliza: Je! Unajua jua linazama wapi? Nilimjibu: Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua bora. Alisema: linazama katika chemchemi ya maji ya joto (Hamiyah).
Una uhakika?? Soma kuhusu galactic revolutionJua halizami wewe ficha ujinga.
Jua lipo palepale tangu unazaliwa Hadi unakufa. Halitingishiki Wala haliyimbi hata cm 2
Fikicha akili
😂😂😂Afikiche akiliJua halizami wewe ficha ujinga.
Jua lipo palepale tangu unazaliwa Hadi unakufa. Halitingishiki Wala haliyimbi hata cm 2
Fikicha akili
Kuandika tu hujui ndio utaujua Uislam
Huyo anayesema "Tuka", "Tuka", Wapo wangapi?Kwanza kosa kubwa umelifanya hapa kwenye kulinganisha Uhalisia (Qur'aan) na Biology.
Anzia hapa Kisha kutokea hapo uulize maswali yako :
Anasema Allah aliye juu :
13. Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti.
14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji. (al-Muuminuun : 14)
Anatafuta tu ugomvi wakati Usikute ni kitu anajua kabisaachana na mambo ya kuigiza ya vitabu hiyo. Just google. Mudi hakujua science yoyote, achana na vitu kama hivyo
najua unajua what happens ila unataka reaction ya wale watu
Kwa hiyo Sperm huwa zinaingia kwenye damu iliyoganda ili Mimba itungwe?Umemaliza mkuu,,,,,Uislamu umejitosheleza na huwa na majibu siku zote licha ya wapuuzi Kama hawa kutaka kuuchafua
Tatizo huna akili halafu hujui km huna akili ...wewe mvaa rozari huna mental ya kukosoa Quran..Embryology ya Allah na Muhammad huwa inachekesha Sana
Damu inaganda (dead blood) alafu ipo ndani ya mwanamke
Damu iliyoganda inabadilika kuwa pande la nyama ! , Pande la nyama linabadilika linakuwa mifupa tupu alafu mifupa inakuja tena kuvalishwa nyama dah!
Ila sio makosa yake Muhammad, hakuwa na technology iliyokuwepo kipindi icho aweze kujua ukweli wa embriology kwa kuangalia stages
Unaweza kuripoti kwa uongozi wa jf kama kuna mtu anavunja kanuni.MIMI SIO MTU WA DINI ILA NAOMBA NIULIZE SWALI?
KWANINI HAWA WAKRISTO WAMEONEKANA NA CHUKI KUBWA SANA NA HAWA WAISLAM SANA SANA UKU JF AU NI MIMI TU NAONA IVO ?
Story nyingi ndani ya Biblia ni fiction wewe hauwezi ukaniambia watu Zaidi ya Mil 2 walipita ktk ya Bahari yenye urefu Km 1400+ ndani Ya Usiku MmojaMambo Mengi ya kwenye vitabu ni ya kufikirika sana,
Kuna aya moja kwenye bible,inayomuhusu mfalme Suleiman kwamba alikuwa na vijakazi/michepuko 700!hapo ujaweka wake zake harali!!!aliyetunga hiki kisa alikiweka Ili kumpa misifa Suleiman Ili aonekane kwamba alikuwa na nguvu sana kuriko wanaume wengi,
Kwa tskwimu zilizokuwepo,kipindi Cha Suleiman kulikuwa na idadi ya watu wasio zidi 2000!sasa hebu fikiria mtu mmoja anaoa wake 700+inamaana wanaume wengine walikuwa hawataki kupiga mambo??yaani nusu ya raia wote ni wake zako,sasa watu wako watamuoa nani!! Wala haiingii akilini
Swali bado halijajibiwa, sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?🤲🤲🤲
Fact📌📌📌
Watu wanakopi kutoka google? Unaifahamu odyssey? Vipi kuhusu Isaac Newton writings, zilikopiwa google karne hizo za zamani walizoandika?Na Google haikuwepo. Sasa wanaosema alikopi kutoka kwa wanasayansi wa zama hizo sjui kama wanajipa muda kufikiria vema.