Wamekosa mlango wa kutokea solution yao wameona wafiche post zangu ila Hadi wanafikia kufanya hivyo basi wameshaelewa ukweli kilichobali Sasa ni jeuri yao tu ambayo haiwasaidiiKweli kaka post yangu ni 1429 ikaja yako 1430 ambayo sasa hivi haipo pameandikwa ignored post ikaja post ya Mokiti 1431 inaonekana
Sijawahi tokea nimeingia jf sijawahi kuona mambo kama haya
MoneyTwister Umeongea jambo kubwa kuna baadhi ya Wakiristo sio hapa JF tu mpaka makazini wamekunywa damu ya ukristo wana chuki wana roho mbovu wana hikdi yaani chuki zao zimo ndani ya damu zao na hapo kazi hupati ndio maana kanisa kitu kidogo tu linapiga kelele na vile vile wanajiona wao wako wengi wakati sio kweli .Tanzania kuna udini wa hali ya juu ni bomu liko chini linafoka foka, na ukiwambia ukweli watakuja kama nyuki ndio maana katika suala la elimu wamelidhibiti wao hawataki watoto wa kiislamu wasome au wapate kazi huo ndio ukweli.
mbona mnalia Sana 😂Wamekosa mlango wa kutokea solution yao wameona wafiche post zangu ila Hadi wanafikia kufanya hivyo basi wameshaelewa ukweli kilichobali Sasa ni jeuri yao tu ambayo haiwasaidii
We ndio mburura kabisa Aya zipo wazi kabisaSkola wakongwe wameweka wazi kabisa muhammad alichomaanisha kwenye verse husika
UTI wa mgongo wa mwanaume na mbavu za mwanamke
Funga ni jambo la kwenye mwiliUkisema “zote” unazijua sheria zote za Uislamu?
Vipi kuhusu swala na Funga nazo ni za mwilini tu?
Paulo hajaharamisha tohara ila anaelezea kwamba haupati haki ndani ya Kristo Yesu kwasababu umefanya tohara.Kwahiyo Paulo alharamisha tohara kwa kusema anaefanyiwa hana chake kwa Yesu.
Wakati huohuo akapinga agano la Mungu na Ibrahimu.
Tumfate nani, baba wa Imani Ibrahimu (AS) au paulo,?
Hili ni fundisho la neno la Mungu. Jisomee mistari hapa chini:Hizi ni fikra zako au za biblia?
Kama za biblia weka nukuu ya ulikoitoa.
Hapo hakuna agizo kwa kanisa. Mungu anaongea na wayahudi. Hiyo ni ishara iliyokuwa muhimu chini ya agano la kale. Kumbuka agano lile limekuja kukamilishwa ndani ya Kristo Yesu. Soma hiyo mistari hapo juu.Kwa hivyo unapingana na andiko la Mungu ?
Genesis 17:10-11
“10 This is my acovenant, which ye shall keep, between me and you and thy seed after thee; Every man child among you shall be bcircumcised.
11 And ye shall acircumcise the flesh of your foreskin; and it shall be a btoken of the ccovenant betwixt me and you”
Yani Mungu aliamuru watu watahiriwe wewe unasema kumuamini yesu inatosha kwahiyo tohara si lazima.
Samahani ila unaelewa unachokisema?
Unaelewa ‘Position’ unayojiweka?
Mkuu shukrani sana. Asante kwa kufuatilia. Glory to God.Nimesoma hii mada yote na nakupongeza ndugu Championship kwa kuileta na kuhoji na muhimu zaidi kujibu hoja mbalimbali.
Umenifanya niamue kuanza kuwa makini kusoma biblia yangu maana umeyajibu maswali ya medisonmuta na professional Driver kwa weledi mkubwa.
Kuna maswali yalipoulizwa nikawa naanza kuingiwa na wasiwasi juu ya imani yangu ya kikristo lakini ulipotolea ufafanuzi nimefurahi sana. Nimeona kumbe maswali ya waislamu ni mepesi sana mtu akiwa msomaji wa biblia.
Swali kama jina la mzazi wa yusuphu kuwa tofauti kwenye mathayo na luka liliniogopesha sana. Ulipojibu kwamba luka anaongelea ukoo wa mariamu na mathayo anaongelea ukoo wa yusuphu nikaamua kwenda kusoma na kuona ni kweli. Dah, nimefurahi sana.
Lile swali la mpangilio wa majaribu ya Yesu umelijibu kisomi sana. Luka hakutaja mpangilio lakini mathayo alitaja hivyo hakuna mkanganyiko. Pia nani alikuwa wa kwanza kumuona Yesu baada ya kufufuka umemaliza ubishi.
Uliua kabisa kuonesha Yesu akiitwa Mungu, kwamba yeye ndio kaumba ulimwengu wote, alikuwepo tangu milele, ni Mwana wa Mungu sio kwasababu alizaliwa bali ni Mwana wa Mungu tangu milele na kwamba atarudi kuhukumu ulimwengu.
Nimesikitika kwamba waislamu wameshindwa kujenga hoja vizuri katika kutetea imani yao. Mambo mengi ya msingi waliyohojiwa wameishia kuchomeka hoja nyingine au kuweka lugha ya kukera.
Chige ameshindwa kuonesha kwamba Issa aliwahi kuwa raia aliyeishi Israel. Hakuna ushahidi wowote uliotolewa. Hata wakristo ambao ni waarabu wanamuita Yesu Kristo Yasu.
Huyu Wazolee ameshindwa kuonesha uthibitisho wa sperm kutokea eneo lililopo kati ya mbavu na uti wa mgongo. Amekuja na picha ambayo wameikuza na kuweka seminal vesticle ionekane ipo juu kuhalalisha madai ya Quran lakini picha zote zinazopatikana google hazipo hivyo.
Hoja nyingine ambazo waislamu hawajaweza kuzitolea ufafanuzi ni:
1. Baadhi ya manuscripts zilozopo birmingham england zinaonesha kuwa ziliandikwa 568-645 AD. Hii inaonesha Quran ilianza kuandikwa kabla ya kipindi cha Muhammad.
2. Kama malaika hawana freewill wasingeweza kufanya argument na Allah.
3. Muhammad alikuwa hajui kusoma lakini jibril alikuwa anamlazimisha asome. Ilitegemewa malaika awe anajua kwamba asingeweza kusoma au malaika angempa uwezo wa kusoma kimiujiza.
4. Mtiririko wa sperm kuwa damu iliyoganda halafu kuwa nyama kisha iwe mifupa na baadae ndio kiumbe mwingine atokee hauko sahihi.
5. Suala kwamba kiumbe kinachokuwa tumboni kinapewa pumzi baada ya miezi minne ni madai ya hatari sana.
Nawakopi wanazuoni wa kiislamu hapa pengine wataungana kuleta ufafanuzi usioacha mashaka.
FaizaFoxy Kisai JumaKilumbi inamankusweke Mohammed Said
Wewe ni zao la wale walioliwa na mapadre utotoniMkuu shukrani sana. Asante kwa kufuatilia. Glory to God.
Mimi hapa naongezea kuwakopi wengine pia wasome:
magombe junior Mbabani adriz Atufigwegwe god Moneytwister Dan Zwangendaba The Infinity ki29 Mchokolo silent lion @callis Baljurashi Maria Nyedetse Howt Lady ToniXrated makaveli10 CARDLESS Boutafrica ETUGRUL BEY Beemind Komeo Lachuma Nahonyo
Hawa wote kama wamesoma humu ndani wanatakiwa kukimbilia kwa Yesu Kristo mara moja kwa ajili ya msamaha wa dhambi na uzima wa milele.
Kwasasa hawana excuse kwasababu neno la uzima limewafikia.
Niwashukuru wachangiaji wengine kama Mokiti FRESHMAN Retired Che mittoga edwayne betty marandu na wengine wengi. Mungu mwaminifu awabariki katika jina la Yesu Kristo.
Hizi kauli zinathibitisha kwamba unamhitaji Yesu Kristo.Wewe ni zao la wale walioliwa na mapadre utotoni
Wanazuoni unawatambua au wewe ni Koran onlyWe ndio mburura kabisa Aya zipo wazi kabisa
Quran 86:6
Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,
7.
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.
Maji yanatoka kwa kuruka baina(kati) ya mifupa ya mgongo na mbavu
Alafu wewe unasema sijui mbavu za mwanamke mwisho wa Aya hapo Kuna kunukta
Hebu weka hapa hiyo aya ya Quran iliosema hivyo. Naona kama umwkrupuka kuleta mada hapa bila ya kuielewa hizo aya.. Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke?
Katika hiyo diagram unayoonyesha ilipo Seminal vesicle Kuna swali nilimuuliza Championship hajalijibu akanikinikimbia Sasa inaonekana wewe ulielewa zaidi inabidi umjibie hili swaliNimesoma hii mada yote na nakupongeza ndugu Championship kwa kuileta na kuhoji na muhimu zaidi kujibu hoja mbalimbali.
Umenifanya niamue kuanza kuwa makini kusoma biblia yangu maana umeyajibu maswali ya medisonmuta na professional Driver kwa weledi mkubwa.
Kuna maswali yalipoulizwa nikawa naanza kuingiwa na wasiwasi juu ya imani yangu ya kikristo lakini ulipotolea ufafanuzi nimefurahi sana. Nimeona kumbe maswali ya waislamu ni mepesi sana mtu akiwa msomaji wa biblia.
Swali kama jina la mzazi wa yusuphu kuwa tofauti kwenye mathayo na luka liliniogopesha sana. Ulipojibu kwamba luka anaongelea ukoo wa mariamu na mathayo anaongelea ukoo wa yusuphu nikaamua kwenda kusoma na kuona ni kweli. Dah, nimefurahi sana.
Lile swali la mpangilio wa majaribu ya Yesu umelijibu kisomi sana. Luka hakutaja mpangilio lakini mathayo alitaja hivyo hakuna mkanganyiko. Pia nani alikuwa wa kwanza kumuona Yesu baada ya kufufuka umemaliza ubishi.
Uliua kabisa kuonesha Yesu akiitwa Mungu, kwamba yeye ndio kaumba ulimwengu wote, alikuwepo tangu milele, ni Mwana wa Mungu sio kwasababu alizaliwa bali ni Mwana wa Mungu tangu milele na kwamba atarudi kuhukumu ulimwengu.
Nimesikitika kwamba waislamu wameshindwa kujenga hoja vizuri katika kutetea imani yao. Mambo mengi ya msingi waliyohojiwa wameishia kuchomeka hoja nyingine au kuweka lugha ya kukera.
Chige ameshindwa kuonesha kwamba Issa aliwahi kuwa raia aliyeishi Israel. Hakuna ushahidi wowote uliotolewa. Hata wakristo ambao ni waarabu wanamuita Yesu Kristo Yasu.
Huyu Wazolee ameshindwa kuonesha uthibitisho wa sperm kutokea eneo lililopo kati ya mbavu na uti wa mgongo. Amekuja na picha ambayo wameikuza na kuweka seminal vesticle ionekane ipo juu kuhalalisha madai ya Quran lakini picha zote zinazopatikana google hazipo hivyo.
Hoja nyingine ambazo waislamu hawajaweza kuzitolea ufafanuzi ni:
1. Baadhi ya manuscripts zilozopo birmingham england zinaonesha kuwa ziliandikwa 568-645 AD. Hii inaonesha Quran ilianza kuandikwa kabla ya kipindi cha Muhammad.
2. Kama malaika hawana freewill wasingeweza kufanya argument na Allah.
3. Muhammad alikuwa hajui kusoma lakini jibril alikuwa anamlazimisha asome. Ilitegemewa malaika awe anajua kwamba asingeweza kusoma au malaika angempa uwezo wa kusoma kimiujiza.
4. Mtiririko wa sperm kuwa damu iliyoganda halafu kuwa nyama kisha iwe mifupa na baadae ndio kiumbe mwingine atokee hauko sahihi.
5. Suala kwamba kiumbe kinachokuwa tumboni kinapewa pumzi baada ya miezi minne ni madai ya hatari sana.
Nawakopi wanazuoni wa kiislamu hapa pengine wataungana kuleta ufafanuzi usioacha mashaka.
FaizaFoxy Kisai JumaKilumbi inamankusweke Mohammed Said
Mwisho ya Aya Kuna nukta kuashiria Quran imeishia hapo hayo yanayokuja baada ya nukta hiyo sio Quran ni maneno ya watuWanazuoni unawatambua au wewe ni Koran only
Hakuna cha maana hapo ukiristo ni ushirikina wa wazi kabisa..Mkuu shukrani sana. Asante kwa kufuatilia. Glory to God.
Mimi hapa naongezea kuwakopi wengine pia wasome:
magombe junior Mbabani adriz Atufigwegwe god Moneytwister Dan Zwangendaba The Infinity ki29 Mchokolo silent lion @callis Baljurashi Maria Nyedetse Howt Lady ToniXrated makaveli10 CARDLESS Boutafrica ETUGRUL BEY Beemind Komeo Lachuma Nahonyo
Hawa wote kama wamesoma humu ndani wanatakiwa kukimbilia kwa Yesu Kristo mara moja kwa ajili ya msamaha wa dhambi na uzima wa milele.
Kwasasa hawana excuse kwasababu neno la uzima limewafikia.
Niwashukuru wachangiaji wengine kama Mokiti FRESHMAN Retired Che mittoga edwayne betty marandu na wengine wengi. Mungu mwaminifu awabariki katika jina la Yesu Kristo.
Nimekuuliza swali rahisi Sana unaandika inshaMwisho ya Aya Kuna nukta kuashiria Quran imeishia hapo hayo yanayokuja baada ya nukta hiyo sio Quran ni maneno ya watu
By the way ndio maana nyinyi wagalatia mmepotea kwa ajili kuufuata maneno ya watu badala ya maneno Mungu
Kama wafuasi wa muhammad hawataokoka na kumfuata Yesu Kristo baada ya hili andiko basi damu yao itakuwa vichwani mwao siku ya hukumu.Nimesoma hii mada yote na nakupongeza ndugu Championship kwa kuileta na kuhoji na muhimu zaidi kujibu hoja mbalimbali.
Umenifanya niamue kuanza kuwa makini kusoma biblia yangu maana umeyajibu maswali ya medisonmuta na professional Driver kwa weledi mkubwa.
Kuna maswali yalipoulizwa nikawa naanza kuingiwa na wasiwasi juu ya imani yangu ya kikristo lakini ulipotolea ufafanuzi nimefurahi sana. Nimeona kumbe maswali ya waislamu ni mepesi sana mtu akiwa msomaji wa biblia.
Swali kama jina la mzazi wa yusuphu kuwa tofauti kwenye mathayo na luka liliniogopesha sana. Ulipojibu kwamba luka anaongelea ukoo wa mariamu na mathayo anaongelea ukoo wa yusuphu nikaamua kwenda kusoma na kuona ni kweli. Dah, nimefurahi sana.
Lile swali la mpangilio wa majaribu ya Yesu umelijibu kisomi sana. Luka hakutaja mpangilio lakini mathayo alitaja hivyo hakuna mkanganyiko. Pia nani alikuwa wa kwanza kumuona Yesu baada ya kufufuka umemaliza ubishi.
Uliua kabisa kuonesha Yesu akiitwa Mungu, kwamba yeye ndio kaumba ulimwengu wote, alikuwepo tangu milele, ni Mwana wa Mungu sio kwasababu alizaliwa bali ni Mwana wa Mungu tangu milele na kwamba atarudi kuhukumu ulimwengu.
Nimesikitika kwamba waislamu wameshindwa kujenga hoja vizuri katika kutetea imani yao. Mambo mengi ya msingi waliyohojiwa wameishia kuchomeka hoja nyingine au kuweka lugha ya kukera.
Chige ameshindwa kuonesha kwamba Issa aliwahi kuwa raia aliyeishi Israel. Hakuna ushahidi wowote uliotolewa. Hata wakristo ambao ni waarabu wanamuita Yesu Kristo Yasu.
Huyu Wazolee ameshindwa kuonesha uthibitisho wa sperm kutokea eneo lililopo kati ya mbavu na uti wa mgongo. Amekuja na picha ambayo wameikuza na kuweka seminal vesticle ionekane ipo juu kuhalalisha madai ya Quran lakini picha zote zinazopatikana google hazipo hivyo.
Hoja nyingine ambazo waislamu hawajaweza kuzitolea ufafanuzi ni:
1. Baadhi ya manuscripts zilozopo birmingham england zinaonesha kuwa ziliandikwa 568-645 AD. Hii inaonesha Quran ilianza kuandikwa kabla ya kipindi cha Muhammad.
2. Kama malaika hawana freewill wasingeweza kufanya argument na Allah.
3. Muhammad alikuwa hajui kusoma lakini jibril alikuwa anamlazimisha asome. Ilitegemewa malaika awe anajua kwamba asingeweza kusoma au malaika angempa uwezo wa kusoma kimiujiza.
4. Mtiririko wa sperm kuwa damu iliyoganda halafu kuwa nyama kisha iwe mifupa na baadae ndio kiumbe mwingine atokee hauko sahihi.
5. Suala kwamba kiumbe kinachokuwa tumboni kinapewa pumzi baada ya miezi minne ni madai ya hatari sana.
Nawakopi wanazuoni wa kiislamu hapa pengine wataungana kuleta ufafanuzi usioacha mashaka.
FaizaFoxy Kisai JumaKilumbi inamankusweke Mohammed Said
Mbona unabadili aya katika kuzielezea?Katika soma yangu nimekutana na hii aya. Naona inapishana na baiolojia niliyosoma miaka ile ya sekondari.
Quran 23:14
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu mbora wa waumbaji
English translation:
Then We made the sperm drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah, the best of creators.
Ukisoma tafsiri ya kiingereza na kiswahili unaelewa kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Nikatafuta wataalamu wa tafsiri kuhusu hiyo clot.
Prof Haanein Muhammad Makhloof, on page 508 of his Dictionary of the meanings of words of the Quran says that the Arabic word alaq translated into English as "clot" means frozen blood.
Maswali yangu
1. Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke?
3. Quran haifahamu kuhusu yai la mwanamke?
4. Sperm peke yake inaweza kuumbwa ikawa mtu?
5. Kauli kwamba tukamfanya kiumbe mwingine inamaanisha nini?
Lazima utamleta Dr MooreMbona unabadili aya katika kuzielezea?
Kwanza anza aya ya 13.
Hakafu wapi pameandikwa kama ulivyoweka wewe? "Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?"