Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

1. Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
Hapo ni lugha tu imekuchanganya ama umejitia uziwi....... neno KUWA inamaanisha mabadiliko mfano barafu kuwa maji haimaanishi maji yanaingia kwenye barafu.

2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke?
katika ukuaji wa binadamu lazima apitie hatua iyo......kaulizie mimba changa zinapotoka au kutolewa utajuzwa ni madongedonge ya damu (yaani ili kukuelewesha ni mfano wa damu iliyoganda inakuwa teketeke mfano wa kiini cha njano cha yai)

3. Quran haifahamu kuhusu yai la mwanamke?
Ndugu yai ni hatua ya uchavushaji ila aya inazungumzia ukuaji...zaidi aya ime fupisha kufikisha kile alichotaka kufikisha ila hatua zaidi zipo mana kuizungumzia miezi 9 ni hatua nyingi za ukuaji na mabadiliko hutokea hivyo zingetajwa zote ni makurasa yangetumika...

4. Sperm peke yake inaweza kuumbwa ikawa mtu?
jibu ni hapana na hakuna paliposemwa ivyo katika aya iyo zaidi ni aya imegusia ukuaji wa mwanadamu kwaufupi nakwaufupi huo ni ukweli mtupu.

5. Kauli kwamba tukamfanya kiumbe mwingine inamaanisha nini?
imeongezeka namba katika viumbe wa mwenyezi mungu na hii ni pale inapofikia hatua anapopuliziwa/wekewa roho.Ukienda katika tafsiri ya kiumbe basi ni kitu kilicho na uhai haijalishi ni kitu gani.

Na Allah Anajua Zaidi
Nimekuelewa sana Mtaalamu
 
Majibu ya aina hii wenzako wameyaleta na tulipohoji zaidi wakaingia mitini.

1. Sperm inakuwa damu iliyoganda?
2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya uterus? Tena Muhammad anasema itapuliziwa pumzi baada ya miezi minne.. kwahiyo damu iliyoganda inakaa humo ndani ikiwa haina uhai kwa miezi minne??
3. Hapo umeweka maelezo yako ambayo quran haijayataja.
4. Umeandika hata sielewi unaongelea kitu gani.
5. Hiki ndio kilele cha udanganyifu wa Allah. Damu iwe nyama halafu mifupa, tena mifupa inavalishwa nyama lakini muda wote huo haina uhai mpaka Allah apulizie.😂 Kwahiyo abortion kabla ya miezi minne ni sahihi?
 
Hamna kinachobadilika zaidi ya kwamba mnaacha kula mchana halafu mnakula usiku kucha.

Swala tano ni vitu repetitive, hakuna kipya. Mnarudia kitu kilekile mara tano kwa siku.

Sheria za waislam zote zimekopiwa kutoka agano la kale na kuongezea chache za hapa na pale hivyo nyingi nazifahamu.

Basi inaonesha hauelewi chochote kuhusu maswali yako na ukristo ni nini.
Kumbe umekariri sio umeelewa sheria za kiislam huzijui wewe alafu uje tuletee iyo manuscript yako ya vatikan muongo mkubwa wewe
We unadhani quran ina coradictions za ajabu ajabu kama bibilia unaishia kutoa maelezo yanayopingana na bibilia yenyewe

Naona baada ya kuelimishwa kila wakati unabadilisha swali maana ulikua hujui unacho kiuliza zaidi ulikuwa unatafuta ubishani Tu
 
Majibu ya aina hii wenzako wameyaleta na tulipohoji zaidi wakaingia mitini.

1. Sperm inakuwa damu iliyoganda?
2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya uterus? Tena Muhammad anasema itapuliziwa pumzi baada ya miezi minne.. kwahiyo damu iliyoganda inakaa humo ndani ikiwa haina uhai kwa miezi minne??
3. Hapo umeweka maelezo yako ambayo quran haijayataja.
4. Umeandika hata sielewi unaongelea kitu gani.
5. Hiki ndio kilele cha udanganyifu wa Allah. Damu iwe nyama halafu mifupa, tena mifupa inavalishwa nyama lakini muda wote huo haina uhai mpaka Allah apulizie.😂 Kwahiyo abortion kabla ya miezi minne ni sahihi?
Ndugu Mtoa mada......Yafaa utambue kwamba iyo ni samari/ufupisho wa hatua za ukuaji wa mwanadamu kama ulivyoziona ni aya nne tu zimesimama kuielezea miezi kadhaa ya ukuaji 6-9 ivi.Ndugu mtoa mada yafaa utambue kwamba samari/ufupisho unamaanisha kuna vitu vinarukwa ili kuifupisha,naamini unakubaliana na ilo.Kama kuna udanganyifu wowote katika ufupisho huo ndio ungesema ni upi ila sio kukosekana kuelezewa hatua fulani (imerukwa) na ungali ushatambua huo ni ufupisho tu.Kama kweli upo kujifunza kwa kuuliza swali basi yafaa ujifunze kwa majibu yenye mashiko pasi chuki wala kushindwa kwa hoja mana hili ni swali jepesi tu na ninaamini umeelewa ama nikusihi usitafute USHINDI juu ya swali lako bali upate kujifunza kwayo.
Ndugu Mtoa mada ili kujua maana ya samari iyo ya aya yenye sentensi tatu kuhusu ukuaji wa kiumbe mwanadamu nami nikuombe uelezee ukuaji wa mwanadamu tumboni mwa mama yake walau kwa sentensi 10 (ambazo naamini bado zitakuwa ni samari) kisha nikumwagie mvua ya maswali juu ya hatua utakazokuwa umeziruka ijapo mtu msomi haifai kuuliza yaliyorukwa ungali unaona ni samari tu ya mamia ya hatua za ukuaji.
 
Majibu ya aina hii wenzako wameyaleta na tulipohoji zaidi wakaingia mitini.

1. Sperm inakuwa damu iliyoganda?
2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya uterus? Tena Muhammad anasema itapuliziwa pumzi baada ya miezi minne.. kwahiyo damu iliyoganda inakaa humo ndani ikiwa haina uhai kwa miezi minne??
3. Hapo umeweka maelezo yako ambayo quran haijayataja.
4. Umeandika hata sielewi unaongelea kitu gani.
5. Hiki ndio kilele cha udanganyifu wa Allah. Damu iwe nyama halafu mifupa, tena mifupa inavalishwa nyama lakini muda wote huo haina uhai mpaka Allah apulizie.[emoji23] Kwahiyo abortion kabla ya miezi minne ni sahihi?
kila muda anang'ang'ania abortion ni sahihi au sio sahihi. Jamani hata hili swali la kipumbavu nalo unauliza. Wakati jibu lake unalo na unalijua.
 
mada......Yafaa utambue kwamba iyo ni samari/ufupisho wa hatua za ukuaji wa mwanadamu kama ulivyoziona ni aya nne tu zimesimama kuielezea miezi kadhaa ya ukuaji 6-9 ivi.
Lete aya inayosema ile ni summary.
 
Lete aya inayosema ile ni summary.
samari sio mpaka uambiwe ndugu kama umesoma basi unatambua tu hii ni samari kwani hujui mimba inakuwa kwa muda gani na hapo utajua inapitia hatua ngapi hadi kukamilika.
 
samari sio mpaka uambiwe ndugu kama umesoma basi unatambua tu hii ni samari kwani hujui mimba inakuwa kwa muda gani na hapo utajua inapitia hatua ngapi hadi kukamilika.
Wewe umejuaje kama hiyo ni summary? Ingekuwa summary isingetaja steps.
 
Katika soma yangu nimekutana na hii aya. Naona inapishana na baiolojia niliyosoma miaka ile ya sekondari.

Quran 23:14

Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu mbora wa waumbaji

English translation:

Then We made the sperm drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah, the best of creators.

Ukisoma tafsiri ya kiingereza na kiswahili unaelewa kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Nikatafuta wataalamu wa tafsiri kuhusu hiyo clot.

Prof Haanein Muhammad Makhloof, on page 508 of his Dictionary of the meanings of words of the Quran says that the Arabic word alaq translated into English as "clot" means frozen blood.

Maswali yangu

1. Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke?
3. Quran haifahamu kuhusu yai la mwanamke?
4. Sperm peke yake inaweza kuumbwa ikawa mtu?
5. Kauli kwamba tukamfanya kiumbe mwingine inamaanisha nini?
Nimefatilia majadiliano yako na baadhi ya wadau humu jukwaani. Ila inaonekana haya maswali umeyauliza si kwa lengo la kutaka kujua ama kujifunza.
Bali umeanzisha mada ili kubishana na kutaka kuonesha kua Quran imeeleza uongo. Kitu ambacho huwezi na hata tokea mtu wa kui 'challenge' Quran coz Quran ni ufunuo uliotoka kwa Mwenyezi mungu mwenye ujuzi wa yote.
You are only wasting your time.

Tukija kwenye maswali yako;
1. Hakuna mahali Quran imesema sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Ni uelewa wako mfinyu tu

2. Quran, 96:2-''Created man from Aalaqa''
Aalaq
has got three meanings, and both of them are correct when applied to the ayah;
i) Something which clings...'few days after fertilization, a blatocyst attachs and clings to the uterine wall'
ii) A leech like substance...'in early stages of development, an embryo looks like a leech'
iii) A clot of congealed blood...''in early stages of embryo development, there is a time when blood does not move and the embryo looks like clot''

3. Quran, 22: 5-'' O mankind! if you are in dout about the Resurrection, then verily, we have created you from dust, then from Nutfah, then from Aalaqa, then from a lump of flesh, partly formed and partly unformed-that we may make it clear to you...............
Nutfah has the following meanings;
i) a minute quantity of fluid (semen)
ii) a minute quantity of mixed fluids (from male and female)
iii) semen drop

3. So, Quran inafahamu uhusika wa egg (yai la mwanamke) during fertilization. Rejea maana ya Nutfah, Quran-76:2

NB: Quran imeelezea stages of embryo development in terms of appearance

Huna jipya, wewe bado sana umekurupuka, huwezi kui-challenge Quran.
Nenda kwanza kasome Quran in its original language (Arabic) na kuielewa tasfiri yake 'word by word' then uje kujenga hoja.
 
Quran ni ufunuo uliotoka kwa Mwenyezi mungu mwenye ujuzi wa yote
Hili sio kweli kabisa. Quran haiwezi kuwa ufunuo kwasababu imeandika mambo ambayo tayari yalikuwa yameandikwa kwenye maandiko ya wayahudi na wakristo. Pia iliongeza stori nyingine za mtaani enzi hizo.

Nimeonesha ushahidi humu ndani kwamba nakala zilizopo birmingham england zinaonesha kuwa manuscripts za quran zilianza kuandikwa 568AD mpaka 645AD. Kipindi hiki Muhammad alikuwa hajaanza kupata kile kinaitwa kutembelewa na jibril mapangoni.
2. Quran, 96:2-''Created man from Aalaqa''
Aalaq
has got three meanings, and both of them are correct when applied to the ayah;
i) Something which clings...'few days after fertilization, a blatocyst attachs and clings to the uterine wall'
ii) A leech like substance...'in early stages of development, an embryo looks like a leech'
iii) A clot of congealed blood...''in early stages of embryo development, there is a time when blood does not move and the embryo looks like clot''
Haya ni maelezo yenu mmeyaongezea kuisaidia quran lakini bado inakamatwa kirahisi kabisa. Damu na baadae nyama inayoandikwa na quran inakuwa haina uhai ila cha kushangaza inakaa kwa miezi minne ndipo ipate pumzi. Huu ni uongo ambao wote bado hamjaweza kuutafutia ujanja mmebaki kuzunguka hapa na pale.
 
Wote mnaruka stage ya mifupa tupu kwa Nini?

Damu kuganda ni damu mfu clot
Ki clot tu kichembe kikiingia kwenye moyo au kwenye ubongo mziki wake sio wa kitoto

Sasa hii clot kwenye mji wa uzazi kwa siku 40 inakuwaje, mwanamke si angeoza kizazi
Unalazimisha kutafsiri kitu kama kilivyo, kuna Codes mzee. Kuwa makini.

Unazungumzia Mifupa kwahiyo kiumbevkikiwa tumboni hakijijengi Mifupa? Acha hizi

Ovum yoyote inakuwa na imezingukwa na some amount of blood mzee(Semi solid blood)
 
Unalazimisha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Nani kakwambia kuwa damu ile inatokana na yai. Rudi darasa la sita utaelewa tena damu inatoka wapi. Unajua kitu kinaitwa placenta.

Shida mnalazimisha sana vitabu vya dini kuwa relevant katika ulimwengu wa sasa wa sayansi jinis mnvyolazimisha mnazidi umbuka wafia dini.
Shida ni kwamba unaiamini kwamba Sayansi iko sahihi asilimia 100. Kitu ambacho sio kweli.

Nadhani unafahami kuna gunduzi nyingi za kisayansi tangu kale na zilipingwa wakaweka mambo sawa.

Na huenda hata miaka ya mbele labda karne moja mbele, kuna vitu vipya vikagunduliwa kiasi kwamba hata hii sayansi ya sasa ikawa si kitu

Usishangae hata hiyo Reproduction tunayoizungumzia hapa ikaja kugundulika katika angle ambayo ni modern zaidi

Sayansi inachunguza kila siku, hata haya mambi tunayodiscusd humu bado yanaendelea kuchunguzwa

Zingatia: Usilazimishe kuamini sayansi kwa 100%. Unaweza ukaiamini lakini isifike 100%
 
Championship
Kwani Aya inazungumzia habari ya Abortion. Tupo kwenye Mada husika knayozungumzia kiumbe kikiwa tumboni kwa Mama. Wewe unaleta habari za Abortion, sijui kisa kiumbe kikiwa na miezi minne ndio kinapewa pumzi, Alafu unauliza kwahiyo Abortion inaruhusiwa?

Kwani Aya imezingumzia kuhusu Abortion ni inaruhusiwa au hairuhusiwi?
 
Hili sio kweli kabisa. Quran haiwezi kuwa ufunuo kwasababu imeandika mambo ambayo tayari yalikuwa yameandikwa kwenye maandiko ya wayahudi na wakristo. Pia iliongeza stori nyingine za mtaani enzi hizo.

Nimeonesha ushahidi humu ndani kwamba nakala zilizopo birmingham england zinaonesha kuwa manuscripts za quran zilianza kuandikwa 568AD mpaka 645AD. Kipindi hiki Muhammad alikuwa hajaanza kupata kile kinaitwa kutembelewa na jibril mapangoni.

Haya ni maelezo yenu mmeyaongezea kuisaidia quran lakini bado inakamatwa kirahisi kabisa. Damu na baadae nyama inayoandikwa na quran inakuwa haina uhai ila cha kushangaza inakaa kwa miezi minne ndipo ipate pumzi. Huu ni uongo ambao wote bado hamjaweza kuutafutia ujanja mmebaki kuzunguka hapa na pale.
Inaonekana hata hujui Quran ni kitu gani.
Quran is the only scripture which can stand the test of time.
It is the last and final revelation. It talks about the past, the present and the future.

Imezungumzia mambo mengi tu, hivyo kuzungumzia baadhi ya habari za wayahudi sijui wakristo sio big issue hiyo ni kuweka sawa tu yapi ni ya kweli na yapi ni ya uongo, yapi yamesalimika na yapi yameharibiwa.
Mungu aliteremsha vitabu kabla ya hii Quran kama Taurat, Injili, Zabur etc ila baadae vikaja kuharibiwa.
Ndipo sasa akaleta the last and final revelation, Al-Quran ili iwe muongozo kwa watu.

Nimegundua kitu, you have very little knowledge about embryology. Nenda kwanza kasome....
Hujui hata ni wakati gan, the heart of the fetus starts to beat (alive baby).
Nilitegemea kama ungekua msomi, ungekuja kukataa hizo maana za hayo maneno, Aalaqa, Nutfah nilizotoa kisha ukasema ni tafsiri za uongo alafu ukaleta maana zako. Badala yake sasa umeonyesha ni juha mmoja tu asiyejielewa.
Nenda kasomeshwe Quran kwa kiarabu kwanza uijue na tafsiri yake ndio uje kujenga hoja.
Ndio maana watu wanaenda kusoma na kubobea. Sio wewe umekurupuka tu from nowhere, kisa umesoma tafsiri ya kiswahili nakujikuta mjuaji.
Unachekesha sana....ww ni chenga sana. NARUDIA TENA NENDA KASOME
 
Shida ni kwamba unaiamini kwamba Sayansi iko sahihi asilimia 100. Kitu ambacho sio kweli.

Nadhani unafahami kuna gunduzi nyingi za kisayansi tangu kale na zilipingwa wakaweka mambo sawa.

Na huenda hata miaka ya mbele labda karne moja mbele, kuna vitu vipya vikagunduliwa kiasi kwamba hata hii sayansi ya sasa ikawa si kitu

Usishangae hata hiyo Reproduction tunayoizungumzia hapa ikaja kugundulika katika angle ambayo ni modern zaidi

Sayansi inachunguza kila siku, hata haya mambi tunayodiscusd humu bado yanaendelea kuchunguzwa

Zingatia: Usilazimishe kuamini sayansi kwa 100%. Unaweza ukaiamini lakini isifike 100%
uzuri wa sayansi imekubali kurekebishwa sayansi kazi yake ni kuprove vitu wrong lakini kushikilia uongo mmoja kuwa ukweli kisa mtu mmoja kaambiwa na kitu kinachoitwa mungu huo ni ujuha
 
Back
Top Bottom