Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Nyinyi huwa mnapenda kufafanua..

Ebu tueleze ilikuaje yule jamaa yenu aliweza kusimamisha Jua na tunajua Jua halizunguki?
Ukisoma vizuri utagundua kwamba aliyesema jua lisimame sio Mungu bali ni Joshua. Yeye alitumia ufahamu wa nyakati zile akiamini kinachozunguka ni jua.

Mungu alichofanya ni kuisimamisha dunia kimiujiza na hata wanasayansi wamethibitisha hiyo siku ilitokea kwa masaa 23 na dakika 20. Na hizo dakika 40 zilizobaki ili itimie siku moja ilifanywa na nabii Isaya ambaye alirudisha jua nyuma (of course bado walikuwa na idea kwamba jua ndio linazunguka) kwa nyuzi kumi (nyuzi kumi ni exactly 40 minutes) kama ishara ya kumponya mfalme Hezekiah.

Hiyo siku ilitokea longest eclipse na surprisingly biblia inarekodi kwamba jua na mwezi vyote vilisimama visibly. That is the true word of God. Fuatilia hii nakuwekea kidogo hapa chini.

Cambridge researchers announced Monday that they have pinpointed the date of the biblical account of Joshua stopping the sun — which they claim is the day of the oldest eclipse ever recorded — to October 30, 1207 BCE, exactly 3,224 years ago.
 
Angalau sasa umekubali kwamba quran inayo majanga. Inabakia maamuzi yako, umfuate mwokozi Yesu au uangamie milele.
Hapo hakuna majanga bali hii inaonesha ni jinsi gani bado wanasanyansi hawajawa advanced ingawa pia ushahidi umeukataa ulio pewa najua kuna mwanasayansi wako hao ndio unae wataka
 
Ila kwa sasa wanasayansi bado hawajagundua stage ya pande la damu mfu (clot of blood) linakaa ndani ya mji wauzazi kwa siku 40 na bones without flesh ,
The period begins on day 15 and is completed on day23 or 24,when the embryo gradually acquires the shape of a leech, the Arabic word “alaqah” has three meanings --- (i) Leech (ii) a suspended thing (iii) a blood clot. There is a great similarity between a fresh water leech to early embryo. Enclosed picture shows the similarity between the two. The second meaning is a suspended thing and that is what we can see the way embryo is attached to the placenta in this stage. Both these meanings describe and reflect accurately the external appearance of embryo at this stage. The third meaning –“the blood clot” describes the most important internal structure that affects the external appearance, for in alaqah stage blood is formed in the blood vessels in the form of isolated islands and the embryo resembles a blood clot descriptions are given miraculously by a single word----“Alaqah”.”
 
Hapo hakuna majanga bali hii inaonesha ni jinsi gani bado wanasanyansi hawajawa advanced ingawa pia ushahidi umeukataa ulio pewa najua kuna mwanasayansi wako hao ndio unae wataka
Wewe najua ni mpigania dini huwezi kukubali hata pale ambapo kuna uhalisia.
 
Ukisoma vizuri utagundua kwamba aliyesema jua lisimame sio Mungu bali ni Joshua. Yeye alitumia ufahamu wa nyakati zile akiamini kinachozunguka ni jua.

Mungu alichofanya ni kuisimamisha dunia kimiujiza na hata wanasayansi wamethibitisha hiyo siku ilitokea kwa masaa 23 na dakika 20. Na hizo dakika 40 zilizobaki ili itimie siku moja ilifanywa na nabii Isaya ambaye alirudisha jua nyuma (of course bado walikuwa na idea kwamba jua ndio linazunguka) kwa nyuzi kumi (nyuzi kumi ni exactly 40 minutes) kama ishara ya kumponya mfalme Hezekiah.

Hiyo siku ilitokea longest eclipse na surprisingly biblia inarekodi kwamba jua na mwezi vyote vilisimama visibly. That is the true word of God. Fuatilia hii nakuwekea kidogo hapa chini.

Cambridge researchers announced Monday that they have pinpointed the date of the biblical account of Joshua stopping the sun — which they claim is the day of the oldest eclipse ever recorded — to October 30, 1207 BCE, exactly 3,224 years ago.
Wewe huna unacho elewa fanya utafiti katika chombo cha anga cha NASA Uone nini kina kinaendelea hapo ndio ujue kichwa chako hakina uelewa kuhusu sayansi kwa ujinga wako unaiona sayansi imekamilika kwa asilimia mia wakati kila wanalosema kila baada ya miaka kadhaa linabadika kwa sababu wanaendelea kusoma hivyo kwa ulivyo utakataa kila kitu kwa sababu kuna waungu wako wapo katika moyo na unao waamini kinyume hata na uyo yesu mwenyewe.
Sayansi haina inacho kivumbua kipya bali inasoma mazingira halisi na kuyatolea ufafanuzi wake hivyo kila siku bado wataendelea kuleta majibu yatakayo kudhalilisha zaidi ya haya.
 
Watoto wa kiislamu wanazuiliwa kusoma kivipi?

Shule za feza zinamilikiwa na waislam wa uturuki.

Ni shule nzuri na bora sana zinafundisha sana na kutoa wanafunzi bora miaka kibao.

Ila cha kushangaza sasa kwenye shule za Feza wanafunzi wa kiislamu ni wachache kuliko wa kikristo.

Waislamu wengi hawapendi vitu vizuri ndio maana feza shule nzuri za waislamu wenzao wanazikwepa na kuwaachia wakristo . Wao waislamu wengi wanapeleka watoto shule za kata
Marehemu Kigoma Malima alipokuwa Waziri wa elimu ndio alokuja na mfumo wa code ktk mitihani baada ya majina kutumika ,ilikuwa mlimani university hawapasishi wanafunzi wa kiislamu ni wachache mno lkn baada ya kuleta code wanafunzi wengi wa kiisalmu wakapasi kuingia UNI .Wakristo wakisema waiislamu eti hawana akili kumbe walikuwa na mkakati maalumu wasiingie UNI waislamu .
 
Hapo hakuna majanga bali hii inaonesha ni jinsi gani bado wanasanyansi hawajawa advanced
Hii sayansi ya Muhammad ilikuwepo kabla yake tena inasema kama alivyo sema muhammad , ila ikaja kuwa advanced ndio leo unaona watu wanaipinga ,
wanasayansi labda warudi nyuma ila sio kuwa advance tena
 
The period begins on day 15 and is completed on day23 or 24,when the embryo gradually acquires the shape of a leech, the Arabic word “alaqah” has three meanings --- (i) Leech (ii) a suspended thing (iii) a blood clot. There is a great similarity between a fresh water leech to early embryo. Enclosed picture shows the similarity between the two. The second meaning is a suspended thing and that is what we can see the way embryo is attached to the placenta in this stage. Both these meanings describe and reflect accurately the external appearance of embryo at this stage. The third meaning –“the blood clot” describes the most important internal structure that affects the external appearance, for in alaqah stage blood is formed in the blood vessels in the form of isolated islands and the embryo resembles a blood clot descriptions are given miraculously by a single word----“Alaqah”.”
Weka rejea ni tafsir ya nani hii
 
We pole sana rafiki au kwa sababu mitaala yenu haijabadilishwa bado ndio unaona ishakua advanced!!
 
Weka rejea ni tafsir ya nani hii
Wakati unaambiwa unajua maana ya neno (alaqa ) ukawa hujui ujibu nini hiyo sasa ndio maana ya neno Alaqa
Na sio kama kamaliza hapo
Fahamu kua hicho ni kiarabu bro huwezi kukipeleka peleka unavyo taka wewe ndio maana ndugu yako alirekebishwa zaidi ya mara kumi katika tafsiri yake aliyo itoa.
 
Maelezo yako hapo juu yanakinzana na aya wewe unasema msanii kuingia kwenye damu iliyoganda ilihali Quran inasema msanii ndiyo hugeuka kuwa pande la damu.
 
Kwahiyo manii yanageuka kuwa damu iliyoganda?
 
Kwahiyo manii yanageuka kuwa damu iliyoganda?
The period begins on day 15 and is completed on day23 or 24,when the embryo gradually acquires the shape of a leech, the Arabic word “alaqah” has three meanings --- (i) Leech (ii) a suspended thing (iii) a blood clot. There is a great similarity between a fresh water leech to early embryo. Enclosed picture shows the similarity between the two. The second meaning is a suspended thing and that is what we can see the way embryo is attached to the placenta in this stage. Both these meanings describe and reflect accurately the external appearance of embryo at this stage. The third meaning –“the blood clot” describes the most important internal structure that affects the external appearance, for in alaqah stage blood is formed in the blood vessels in the form of isolated islands and the embryo resembles a blood clot descriptions are given miraculously by a single word----“Alaqah”.”
 
Wewe huna unacho elewa fanya utafiti katika chombo cha anga cha NASA Uone nini kina kinaendelea hapo ndio ujue kichwa chako hakina uelewa kuhusu sayansi kwa ujinga wako unaiona sayansi imekamilika kwa asilimia mia wakati kila wanalosema kila baada ya miaka kadhaa linabadika kwa sababu wanaendelea kusoma hivyo kwa ulivyo utakataa kila kitu kwa sababu kuna waungu wako wapo katika moyo na unao waamini kinyume hata na uyo yesu mwenyewe.
Sayansi haina inacho kivumbua kipya bali inasoma mazingira halisi na kuyatolea ufafanuzi wake hivyo kila siku bado wanasiku wataendelea kuleta majibu yatakayo kudhalilisha zaidi ya haya.
Hapa haujajenga hoja, umeleta porojo. Jitahidi uwe unajenga hoja.

Nasubiria ufafanuzi kwanini Allah kadanganya kwamba anaweka pumzi baada ya miezi minne lakini kibaiolojia ni miezi miwili na wiki mbili mtoto anaanza breathing.
 
The period begins on day 15 and is completed on day23 or 24,when the embryo gradually acquires the shape of a leech, the Arabic word “alaqah” has three meanings --- (i) Leech (ii) a suspended thing (iii) a blood clot. There is a great similarity between a fresh water leech to early embryo. Enclosed picture shows the similarity between the two. The second meaning is a suspended thing and that is what we can see the way embryo is attached to the placenta in this stage. Both these meanings describe and reflect accurately the external appearance of embryo at this stage. The third meaning –“the blood clot” describes the most important internal structure that affects the external appearance, for in alaqah stage blood is formed in the blood vessels in the form of isolated islands and the embryo resembles a blood clot descriptions are given miraculously by a single word----“Alaqah”.”
Hii blood clot inaishije miezi minne ikiwa Allah anakuwa hajaipa pumzi ya uhai?

Kwanini mtoto anaanza kupumua wiki ya kumi wakati Allah anasema ataanza kupumua wiki ya 17?
 
Wakati unaambiwa unajua maana ya neno (alaqa ) ukawa hujui ujibu nini hiyo sasa ndio maana ya neno Alaqa
Na sio kama kamaliza hapo
Fahamu kua hicho ni kiarabu bro huwezi kukipeleka peleka unavyo taka wewe wewe ndio maana ndugu yako alirekebishwa zaidi ya mara kumi katika tafsiri yake aliyo itoa.
nimekuuliza swali rahisi sana hiyo uliyoweka ni ya mwanazuoni yupi nipe jina
 
Ukisoma vizuri utagundua kwamba aliyesema jua lisimame sio Mungu bali ni Joshua. Yeye alitumia ufahamu wa nyakati zile akiamini kinachozunguka ni jua.

Mungu alichofanya ni kuisimamisha dunia kimiujiza na hata wanasayansi wamethibitisha hiyo siku ilitokea kwa masaa 23 na dakika 20. Na hizo dakika 40 zilizobaki ili itimie siku moja ilifanywa na nabii Isaya ambaye alirudisha jua nyuma (of course bado walikuwa na idea kwamba jua ndio linazunguka) kwa nyuzi kumi (nyuzi kumi ni exactly 40 minutes) kama ishara ya kumponya mfalme Hezekiah.

Hiyo siku ilitokea longest eclipse na surprisingly biblia inarekodi kwamba jua na mwezi vyote vilisimama visibly. That is the true word of God. Fuatilia hii nakuwekea kidogo hapa chini.

Cambridge researchers announced Monday that they have pinpointed the date of the biblical account of Joshua stopping the sun — which they claim is the day of the oldest eclipse ever recorded — to October 30, 1207 BCE, exactly 3,224 years ago.
Ukiamini hii story utakuwa umechanganyikiwa. Hivi unajua rotation speed ya dunia?? [emoji23][emoji23][emoji23]Kutumia vitabu vya dini kujibu maswala ya kisayansi ni kujizima data
 
Back
Top Bottom