Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Shida ni kwamba unaiamini kwamba Sayansi iko sahihi asilimia 100. Kitu ambacho sio kweli.

Nadhani unafahami kuna gunduzi nyingi za kisayansi tangu kale na zilipingwa wakaweka mambo sawa.

Na huenda hata miaka ya mbele labda karne moja mbele, kuna vitu vipya vikagunduliwa kiasi kwamba hata hii sayansi ya sasa ikawa si kitu

Usishangae hata hiyo Reproduction tunayoizungumzia hapa ikaja kugundulika katika angle ambayo ni modern zaidi

Sayansi inachunguza kila siku, hata haya mambi tunayodiscusd humu bado yanaendelea kuchunguzwa

Zingatia: Usilazimishe kuamini sayansi kwa 100%. Unaweza ukaiamini lakini isifike 100%
hii hoja yako ni mufilisi ni yakusimulia watoto wa la kwanza mtoto ananunuliwa hospitali. elimu ya kumpata mtoto ipo sahihi kama itabadilika basi ni katika molecular level ila cellular level hamn kipya. so acha kulazimisha hadithi za mtu wa zamani kuwa sahihi sasa hivi
 
Majibu ya aina hii wenzako wameyaleta na tulipohoji zaidi wakaingia mitini.

1. Sperm inakuwa damu iliyoganda?
2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya uterus? Tena Muhammad anasema itapuliziwa pumzi baada ya miezi minne.. kwahiyo damu iliyoganda inakaa humo ndani ikiwa haina uhai kwa miezi minne??
3. Hapo umeweka maelezo yako ambayo quran haijayataja.
4. Umeandika hata sielewi unaongelea kitu gani.
5. Hiki ndio kilele cha udanganyifu wa Allah. Damu iwe nyama halafu mifupa, tena mifupa inavalishwa nyama lakini muda wote huo haina uhai mpaka Allah apulizie.😂 Kwahiyo abortion kabla ya miezi minne ni sahihi?
Haya maswali wakiweza kuyajibu kwa usahihi nitajipiga ban hapa jamiiforums kwa mwaka mzima.

Hili ni shambulio la silaha za maangamizi. Dini ya Allah inaanguka huku ikijiona.
 
kila muda anang'ang'ania abortion ni sahihi au sio sahihi. Jamani hata hili swali la kipumbavu nalo unauliza. Wakati jibu lake unalo na unalijua.
Badala ya kutoa ufafanuzi wa changamoto iliyopo mezani unabaki kulialia. Hopeless muslims. Jibuni hoja.😎
 
Nimefatilia majadiliano yako na baadhi ya wadau humu jukwaani. Ila inaonekana haya maswali umeyauliza si kwa lengo la kutaka kujua ama kujifunza.
Bali umeanzisha mada ili kubishana na kutaka kuonesha kua Quran imeeleza uongo. Kitu ambacho huwezi na hata tokea mtu wa kui 'challenge' Quran coz Quran ni ufunuo uliotoka kwa Mwenyezi mungu mwenye ujuzi wa yote. You are only wasting your time.

Tukija kwenye maswali yako;
1. Hakuna mahali Quranq imesema sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Ni uelewa wako mfinyu tu
2. Quran, 96:2-''Created man from Aalaqa''
Aalaq
has got three meanings, and both of them are correct when applied to the ayah;
i) Something which clings...'few days after fertilization, a blatocyst attachs and clings to the uterine wall'
ii) A leech like substance...'in early stages of development, an embryo looks like a leech'
iii) A clot of congealed blood...''in early stages of embryo development, there is a time when blood does not move and the embryo looks like clot''
3. Quran, 22: 5-'' O mankind! if you are in dout about the Resurrection, then verily, we have created you from dust, then from Nutfah, then from Aalaqa, then from a lump of flesh, partly formed and partly unformed-that we may make it clear to you...............
Nutfah has the following meanings;
i) a minute quantity of fluid (semen)
ii) a minute quantity of mixed fluids (from male and female)
iii) semen drop
3. So Quran, inafahamu uhusika wa egg (yai la mwanamke) during fertilization. Rejea maana ya Nutfah, Quran-76:2

NB: Quran imeelezea stages of embryo development in terms of appearance

Huna jipya, wewe bado sana umekurupuka, huwezi kui-challenge Quran.
Nenda kwanza kasome Quran in its original language (Arabic) na kuielewa tasfiri yake 'word by word' then uje kujenga hoja.
Swali moja, damu iliyoganda inawezaje kukaa miezi mi4 tumboni mwa mwanamke bila kuwa na pumzi?
 
Inaonekana hata hujui Quran ni kitu gani.
Quran is the only scripture which can stand the test of time.
It is the last and final revelation. It talks about the past, the present and the future.

Imezungumzia mambo mengi tu, hivyo kuzungumzia baadhi ya habari za wayahudi sijui wakristo sio big issue hiyo ni kuweka sawa tu yapi ni ya kweli na yapi ni ya uongo, yapi yamesalimika na yapi yameharibiwa.
Mungu aliteremsha vitabu kabla ya hii Quran kama Taurat, Injili, Zabur etc ila baadae vikaja kuharibiwa.
Ndipo sasa akaleta the last and final revelation, Al-Quran ili iwe muongozo kwa watu.

Nimegundua kitu, you have very little knowledge about embryology. Nenda kwanza kasome....
Hujui hata ni wakati gan, the heart of the fetus starts to beat (alive baby).
Nilitegemea kama ungekua msomi, ungekuja kukataa hizo maana za hayo maneno, Aalaqa, Nutfah nilizotoa kisha ukasema ni tafsiri za uongo alafu ukaleta maana zako. Badala yake sasa umeonyesha ni juha mmoja tu asiyejielewa.
Nenda kasomeshwe Quran kwa kiarabu kwanza uijue na tafsiri yake ndio uje kujenga hoja.
Ndio maana watu wanaenda kusoma na kubobea. Sio wewe umekurupuka tu from nowhere, kisa umesoma tafsiri ya kiswahili nakujikuta mjuaji.
Unachekesha sana....ww ni chenga sana. NARUDIA TENA NENDA KASOME
Acha KUPIGANIA DINI na KUMSAIDIA ALLAH maana ni lazima aje kujitetea mwenyewe. Ni bora ujitoe kumpigania Muhammad katika upotofu wake.

Twende sasa kidaktari na tafiti za kisayansi. Mtoto anaanza kupumua (breathing) kuanzia wiki ya kumi (miezi miwili na siku kumi) lakini Allah kwa ujinga wake anasema anampa mtoto pumzi mwezi wa nne (wiki ya 17). Shame on Allah, shame on Muhammad.

Screenshot_20221006-025223.jpg


Na moyo wa mtoto unaanza kudunda (heartbeat) kuanzia wiki ya ya tano mpaka ya sita (yaani mwezi mmoja na wiki mbili). Lakini Allah anasema hilo litawezekana akipewa pumzi wiki ya 17.

Screenshot_20221006-025310.jpg


Ushauri wangu, kimbilia kwa Yesu Kristo uokolewe badala ya kuendelea kubaki kwa baba wa uongo, lucifer aliyefukuzwa mbinguni na kutupwa duniani
 
Championship
Kwani Aya inazungumzia habari ya Abortion. Tupo kwenye Mada husika knayozungumzia kiumbe kikiwa tumboni kwa Mama. Wewe unaleta habari za Abortion, sijui kisa kiumbe kikiwa na miezi minne ndio kinapewa pumzi, Alafu unauliza kwahiyo Abortion inaruhusiwa?

Kwani Aya imezingumzia kuhusu Abortion ni inaruhusiwa au hairuhusiwi?
Na hii ndio tabia yenu waislamu wote, hamjibu hoja ingawa nyie mnaingiza hoja mbalimbali na tunazifafanua.

Badala ya kueleza inakuaje Allah anasema anampa mtoto pumzi wiki ya 17 na hapo ndio anakuwa kiumbe hai (ilihali moyo unaanza kudunda wiki ya sita na kupumua kunaanza wiki ya 10), unaamua kuhamisha magoli na kumpigania allah ambaye ni mdanganyifu.

Moto wa milele utawaunguza kwasababu kwa makusudi mnakataa kufungua macho yenu kufuata njia sahihi.
 
Mahali seminal vesicle ilipo juu yake kuna utumbo mpana na sio mifupa.
Elewa swali sijakuuliza Kuna organ gani nimekuuliza Kuna mifupa gani

Jibu swali

Ukitoka katika Seminal vesicle kuelekea juu unakutana na mfupa gani? na ukielekea kulia au kushoto unakutana na mfupa gani?
Screenshot_20221003-210847.jpg
 
Na hii ndio tabia yenu waislamu wote, hamjibu hoja ingawa nyie mnaingiza hoja mbalimbali na tunazifafanua.

Badala ya kueleza inakuaje Allah anasema anampa mtoto pumzi wiki ya 17 na hapo ndio anakuwa kiumbe hai (ilihali moyo unaanza kudunda wiki ya sita na kupumua kunaanza wiki ya 10), unaamua kuhamisha magoli na kumpigania allah ambaye ni mdanganyifu.

Moto wa milele utawaunguza kwasababu kwa makusudi mnakataa kufungua macho yenu kufuata njia sahihi.
Naona Umeandaa uzi huku ukitumia aya za Quran ili kubisha ilihali umepewa ufafanuzi yakinifu. Ok na mimi nitakuja na Uzi kuhusu Majanga ya Biblia na nitakuwa tayari kwa ajili ya kubisha tu.
 
Katika soma yangu nimekutana na hii aya. Naona inapishana na baiolojia niliyosoma miaka ile ya sekondari.

Quran 23:14

Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu mbora wa waumbaji

English translation:

Then We made the sperm drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah, the best of creators.

Ukisoma tafsiri ya kiingereza na kiswahili unaelewa kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Nikatafuta wataalamu wa tafsiri kuhusu hiyo clot.

Prof Haanein Muhammad Makhloof, on page 508 of his Dictionary of the meanings of words of the Quran says that the Arabic word alaq translated into English as "clot" means frozen blood.

Maswali yangu

1. Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke?
3. Quran haifahamu kuhusu yai la mwanamke?
4. Sperm peke yake inaweza kuumbwa ikawa mtu?
5. Kauli kwamba tukamfanya kiumbe mwingine inamaanisha nini?
ASALAAM ALAYKUM, mm sio mwanasayansi ,bali nataka nikurejeshe ktk hiyo AYA. ni tofauti nawewe ulvyoandika. aya inasema KISHA TUKA TUKAIUMBA TONE KUWA DAMU ILIYOGANDA. WEWE UNASEMA UNASEMA MTOTO ANAUMBWA BAADA YA MBEGU KUINGIA KWENYE DAMU ILIYOGANDA......(UNAPOTOSHA HIYO AYA.) kwa kukusaidia kusherehesha HIYO AYA, ni kuwa hilo tone la mbegu ndio linalogeuka kuwa damu iliyoganda , na baadaye kufanywa kuwa pande la nyama nk...........(hakika uislamu ni dili iliyo ya haki mbele ya M/MUNGU)
 
Unalazimisha kutafsiri kitu kama kilivyo, kuna Codes mzee. Kuwa makini.

Unazungumzia Mifupa kwahiyo kiumbevkikiwa tumboni hakijijengi Mifupa? Acha hizi

Ovum yoyote inakuwa na imezingukwa na some amount of blood mzee(Semi solid blood)
Quran 23:14

...., kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama.....

Hii stage hapo juu mifupa tupu alafu ndio inakuja kuvishwa nyama imeshawahi kuwa captured kwenye ultra sound?
 
Quran 23:14

...., kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama.....

Hii stage hapo juu mifupa tupu alafu ndio inakuja kuvishwa nyama imeshawahi kuwa captured kwenye ultra sound?
Wewe mbona unapenda uongo aya ulipo isoma wapi inasema mifupa tupu koleza ilo neno tupu tulione
Mbona unauliza swali tofauti na kilicho ongelewa. Kwenye quran alafu unalazimisha kujibiwa huo uongo wako. Koleza neno tupu kwenye tafsiri ili tukujibu
 
Wewe mbona unapenda uongo aya ulipo isoma wapi inasema mifupa tupu koleza ilo neno tupu tulione
Mbona unauliza swali tofauti na kilicho ongelewa. Kwenye quran alafu unalazimisha kujibiwa huo uongo wako. Koleza neno tupu kwenye tafsiri ili tukujibu
Quran 23:14
...., kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama.....

aya ipo wazi pande la nyama limekuwa mifupa kisa likaja kivishwa nyama
 
Wewe mbona unapenda uongo aya ulipo isoma wapi inasema mifupa tupu koleza ilo neno tupu tulione
Mbona unauliza swali tofauti na kilicho ongelewa. Kwenye quran alafu unalazimisha kujibiwa huo uongo wako. Koleza neno tupu kwenye tafsiri ili tukujibu

Tafsîr Ibn ‘Abbâs​

...., (then fashioned We) the We transformed (the little lump) into (bones) without flesh, (then clothed the bones with flesh) joints, veins and other things, ...

 
Wanalazimisha quran iifuate sayansi ambayo inabadilika badilika majibu yaliyotolewa humu wanayakataa ila wanasayansi wao watakuja kuleta uthibitisho wa wazi hivi punde.
 
Wanalazimisha quran iifuate sayansi ambayo inabadilika badilika majibu yaliyotolewa humu wanayakataa ila wanasayansi wao watakuja kuleta uthibitisho wa wazi hivi punde.
Ila kwa sasa wanasayansi bado hawajagundua stage ya pande la damu mfu (clot of blood) linakaa ndani ya mji wauzazi kwa siku 40 na bones without flesh ,
 
Elewa swali sijakuuliza Kuna organ gani nimekuuliza Kuna mifupa gani

Jibu swali

Ukitoka katika Seminal vesicle kuelekea juu unakutana na mfupa gani? na ukielekea kulia au kushoto unakutana na mfupa gani?View attachment 2378426
Umekosa point umebaki kuweka huu mchoro kila mara. Bahati mbaya mchoro wako ni wa kipumbavu maana unaonesha ogani zinaelea juu zenyewe.
 
Naona Umeandaa uzi huku ukitumia aya za Quran ili kubisha ilihali umepewa ufafanuzi yakinifu. Ok na mimi nitakuja na Uzi kuhusu Majanga ya Biblia na nitakuwa tayari kwa ajili ya kubisha tu.
Angalau sasa umekubali kwamba quran inayo majanga. Inabakia maamuzi yako, umfuate mwokozi Yesu au uangamie milele.
 
ni kuwa hilo tone la mbegu ndio linalogeuka kuwa damu iliyoganda , na baadaye kufanywa kuwa pande la nyama
Urudi hapa kutueleza inakuwaje sperm iwe damu iliyoganda kisha iwe nyama halafu mifupa na baada ya hapo mifupa inavalishwa nyama.. cha kushangaza yote haya yanaendelea wakati bado uhai haujawekwa maana Allah anaweka pumzi baada ya miezi minne.
 
In English Science is the study of nature, kwa lugha ya kiswahili, Sayansi ni somo linalochunguza kuhusu asili.

Sayansi haigundui kitu kipya, bali chunguzi na majaribio zinairuhusu kupata uelewa juu ya ambavyo tayari vipo japo binadamu hawana ufahamu navyo.

Kwa mfano, sio kweli kwamba dawa ya kudumu ya UKIMWI, Kansa, Homa ya ini, Kisukari na magonjwa mengine sugu hazipo, zipo ila Sayansi haijamudu kuzijua.

Ninachojaribu kusema ni tusiitumie Sayansi kama kipimo cha usahihi kwa asilimia mia, ndio maana kuna baadhi ya zilizoitwa gunduzi za kisayansi ila baadae zikaja kupingwa na gunduzi zilizofuata kwa kuonekana hazikuwa sahihi.

Nikirudi kwenye swali lako, siko kiimani sana ila hayo maandiko kwa hicho kipande ulichoweka yako sahihi sana. Nadhani kikubwa ni tutofautishe kati ya tafsiri na maana, tujikite kuelewa yalichokusudia.
Asante mkuu.
 
Back
Top Bottom