Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Nimekuuliza swali rahisi Sana unaandika insha
Unawatambua wanazuoni wa kiislamu
Wewe haujanielewa Muislam haruhusiwi kuufuata maneno ya mtutu yoyote zaidi ya Quran na hakuna mwanazuoni wa ukweli aliyeongeza maneno katika Aya za Quran

Nimekuambia hiyo Aya imeishia katika nukta kama Kuna maneno yameongezeka hapo hizo ni ngonjera tu

Pia Quran imekuja kwa rugha ya kiarabu kama ilivyo katika kingereza katika sentence Kuna pronounce za He na She na katika kiaribu hivyo hivyo

Nenda ukatafute mtu anaejua kiaribu akutafsirie hizo Aya neno kwa neno ili uone kama utakutana na pronounce yoyote hapo inayomuhusu mwanamke

Na mwisho kwa Muislam sio maneno ya wanazuoni tu hata hizo hadithi za mtume Muislam halazimishi kuzifuta Yani option ukiitaka unafuata kama haumi unaacha na haupati dhambi

Kama unajua kiarabu karibu tuende neno kwa neno alafu unionyeshe hiyo pronounce inayomuhu mwanamke hapo kama ipo
 
Swali halikuitaji insha ya maneno 100

Ilikuwa ni ndio nawatambua na hapana siwatambui
 
Swali halikuitaji insha ya maneno 100

Ilikuwa ni ndio nawatambua na hapana siwatambui
Wewe nae ndio basi kuwatambua na kutafsiri aya unavyo taka wewe sio kigezo mlango wa elimu ya dini ya uislamu haukufungwa
Cha msingi tuletee iyo tafsiri yako iliyo taja skeleton tu au aya kumtaja mwanamke katika iyo aya
Kama Huna usitubughudhi kufanya unalo taka wewe
Uliulizwa swali la kutaja jina tu umekimbia au umesahau tukuulize tena ili muyafute
 
Siwezi kuleta mwanazuoni kama Wewe jibu lako litakuwa siwatambui ni kupoteza mda ,

Unawatambua wanazuoni wa kiislamu wanaoelezea Koran ujibu tu ndio au hapana ili tusipoteze mda
 
Siwezi kuleta mwanazuoni kama Wewe jibu lako litakuwa siwatambui ni kupoteza mda ,

Unawatambua wanazuoni wa kiislamu wanaoelezea Koran ujibu tu ndio au hapana ili tusipoteze mda
Lete tafsiri upopolewe tuna watambua tena hasa na hawako kama akina luka na paulo wale hawajui na wala hawaja wahi kumtusi Mungu.
 
Siwezi kuleta mwanazuoni kama Wewe jibu lako litakuwa siwatambui ni kupoteza mda ,

Unawatambua wanazuoni wa kiislamu wanaoelezea Koran ujibu tu ndio au hapana ili tusipoteze mda
Kwanza wewe ulipewa mpaka pdf umeimaliza kusoma au unahisi tumesahau
 
Funga ni jambo la kwenye mwili
Hii ni kwa mujibu wako au wa uislam?
Halafu maswali mengine niliyokuuliza mbona hujibu?
Na vipi kuhusu swala?
Wajua sheria zote za uislamu?
Sina hakika kama unasoma ninachokutumia, ingekuwa ndiyo basi usingeandika hiki.
 
kuwa inamaanisha next/baada............kiswahili kimekuacha
 
1. Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
Hapo ni lugha tu imekuchanganya ama umejitia uziwi....... neno KUWA inamaanisha mabadiliko mfano barafu kuwa maji haimaanishi maji yanaingia kwenye barafu.

2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke?
katika ukuaji wa binadamu lazima apitie hatua iyo......kaulizie mimba changa zinapotoka au kutolewa utajuzwa ni madongedonge ya damu (yaani ili kukuelewesha ni mfano wa damu iliyoganda inakuwa teketeke mfano wa kiini cha njano cha yai)

3. Quran haifahamu kuhusu yai la mwanamke?
Ndugu yai ni hatua ya uchavushaji ila aya inazungumzia ukuaji...zaidi aya ime fupisha kufikisha kile alichotaka kufikisha ila hatua zaidi zipo mana kuizungumzia miezi 9 ni hatua nyingi za ukuaji na mabadiliko hutokea hivyo zingetajwa zote ni makurasa yangetumika...

4. Sperm peke yake inaweza kuumbwa ikawa mtu?
jibu ni hapana na hakuna paliposemwa ivyo katika aya iyo zaidi ni aya imegusia ukuaji wa mwanadamu kwaufupi nakwaufupi huo ni ukweli mtupu.

5. Kauli kwamba tukamfanya kiumbe mwingine inamaanisha nini?
imeongezeka namba katika viumbe wa mwenyezi mungu na hii ni pale inapofikia hatua anapopuliziwa/wekewa roho.Ukienda katika tafsiri ya kiumbe basi ni kitu kilicho na uhai haijalishi ni kitu gani.

Na Allah Anajua Zaidi
 
Mahali seminal vesicle ilipo juu yake kuna utumbo mpana na sio mifupa.
 
Mbona unabadili aya katika kuzielezea?

Kwanza anza aya ya 13.

Hakafu wapi pameandikwa kama ulivyoweka wewe? "Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?"
Hoja hapa ambayo ni kubwa zaidi ni kwamba damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la uzazi la mwanamke kwa miezi minne ndipo Allah aweke pumzi.

Kwahiyo kabla ya miezi minne ni sahihi kufanya abortion kwasababu hakuna uhai?
 
Hii ni kwa mujibu wako au wa uislam?
Halafu maswali mengine niliyokuuliza mbona hujibu?
Na vipi kuhusu swala?
Wajua sheria zote za uislamu
Hamna kinachobadilika zaidi ya kwamba mnaacha kula mchana halafu mnakula usiku kucha.

Swala tano ni vitu repetitive, hakuna kipya. Mnarudia kitu kilekile mara tano kwa siku.

Sheria za waislam zote zimekopiwa kutoka agano la kale na kuongezea chache za hapa na pale hivyo nyingi nazifahamu.
Sina hakika kama unasoma ninachokutumia, ingekuwa ndiyo basi usingeandika hiki.
Basi inaonesha hauelewi chochote kuhusu maswali yako na ukristo ni nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…