Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
-
- #1,501
Ukisoma vizuri utagundua kwamba aliyesema jua lisimame sio Mungu bali ni Joshua. Yeye alitumia ufahamu wa nyakati zile akiamini kinachozunguka ni jua.Nyinyi huwa mnapenda kufafanua..
Ebu tueleze ilikuaje yule jamaa yenu aliweza kusimamisha Jua na tunajua Jua halizunguki?
Mungu alichofanya ni kuisimamisha dunia kimiujiza na hata wanasayansi wamethibitisha hiyo siku ilitokea kwa masaa 23 na dakika 20. Na hizo dakika 40 zilizobaki ili itimie siku moja ilifanywa na nabii Isaya ambaye alirudisha jua nyuma (of course bado walikuwa na idea kwamba jua ndio linazunguka) kwa nyuzi kumi (nyuzi kumi ni exactly 40 minutes) kama ishara ya kumponya mfalme Hezekiah.
Hiyo siku ilitokea longest eclipse na surprisingly biblia inarekodi kwamba jua na mwezi vyote vilisimama visibly. That is the true word of God. Fuatilia hii nakuwekea kidogo hapa chini.
Cambridge researchers announced Monday that they have pinpointed the date of the biblical account of Joshua stopping the sun — which they claim is the day of the oldest eclipse ever recorded — to October 30, 1207 BCE, exactly 3,224 years ago.