Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Kwani uyo binti alikuwa mama yako au ndio hamkubali waoelewe lakini mnaruhusu waziniane si ndio mila zenu za kijinga hizo ndoa mnaona ajabu ila mwanamke kuishi na mwanaume bila kuoelewa ndio sawa duh
 
Hapa umeandika uongo mtupu. Israel wakati wanatoka misri walikuwa milioni tatu.

Kipindi cha Suleiman jeshi la Israel (Judah) pekee lilikuwa na wanaume laki nane.

Tafuta maarifa ili uwe unajenga hoja vizuri.
 
Sijaelewa point yako ni nini hapa.

Sayansi ni facts na evidence

Dini ni hadithi zisizo na ushahidi.. maana hakuna ushahidi ulionyooka kuhusu dini.

Mfano kuna ushahidi gani wa kuamini peponi tutapewa mabikra 72. ( yaani pepo itakuwa kutombanaaz tu na mabikra,)

Jiulize je wanawake watakaofika peponi na wao watapewa nini?
 
Jibu ni ndio sperm zinaingia kwenye damu iliyo ganda maana ukitaka kuamini hilo tazama mwanamke akiwa na hedhi anatoka nini na lile si ndio yai likikosa rutuba kama ndio kwanini listoke kwa rangi tofauti na damu mbona mnapenda kuleta hoja kipumbavu hivi cell za yai zinarangi gani humo tumboni mwa huyo mwanamke ni ndio maana nasema hua wakristo wengi hawajitambui
 
Ewe mola tupe mwisho mwema waja wako wakujitambua maana quran haitafsiliwi kwa kiswahili tu hutafasiliwa kutoka kwa wanazuoni na sio wewe umeandika kwa kiswahili na kiingereza hiyo quran yako sio umeitafsiri so sitakujibu kama unavyotaka
Wanazuoni ndio waliotafsiri kwenda kiswahili na kiingereza.

Wewe ukisoma kiarabu unaielewa?
 
Kwani uyo binti alikuwa mama yako au ndio hamkubali waoelewe lakini mnaruhusu waziniane si ndio mila zenu za kijinga hizo ndoa mnaona ajabu ila mwanamke kuishi na mwanaume bila kuoelewa ndio sawa duh
Allah alisema waoe wanne mwisho lakini Muhammad alioa zaidi.

Pia nadhani wewe ni mfia dini kuona mtoto wa miaka tisa akiingiliwa kingono ni jambo sahihi.
 
Tafsiir ndio iliyokusumbua
 
Akili ndogo hi, hutaki kuifikirisha akili yako wapenda "spoon feeding" mwenzio kayajua haya ya Google ila Kuna anachojiuliza hapo anataka aeleweshwe.
Akili yako ndiyo ndogo. anajua ukweli halkafu anauliza. Akili yako very low huyu anataka kuwavuruga watu wa dini ile! Akili yako ndogo, hakuna cha kuuliza swali hapo.
 
Jaribu hata kuingia google ujielimishe kwanini damu inatoka wakati wa hedhi badala ya kudhihirisha ujinga wako jukwaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…