Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

h
Mambo Mengi ya kwenye vitabu ni ya kufikirika sana,
Kuna aya moja kwenye bible,inayomuhusu mfalme Suleiman kwamba alikuwa na vijakazi/michepuko 700!hapo ujaweka wake zake harali!!!aliyetunga hiki kisa alikiweka Ili kumpa misifa Suleiman Ili aonekane kwamba alikuwa na nguvu sana kuriko wanaume wengi,
Kwa tskwimu zilizokuwepo,kipindi Cha Suleiman kulikuwa na idadi ya watu wasio zidi 2000!sasa hebu fikiria mtu mmoja anaoa wake 700+inamaana wanaume wengine walikuwa hawataki kupiga mambo??yaani nusu ya raia wote ni wake zako,sasa watu wako watamuoa nani!! Wala haiingii akilini
iyo idadi ya watu 2000 umeipata wapi
 
Hapa jukwaani mmeleta tafsiri mnazozivumbua na kuziingiza kwenye quran baada ya sayansi kuonesha Muhammad alidanganya.
Muongo sema ulikuwa hujui tu kuhusu namna quran inavyo tafsiri
Alafu nimekutumia
Kuhusu manuscript
Ili ujione ulivyo mjinga japo unakataa ukweli
Alafu sema tena nimetunga
 
Maana haibadiliki ila shida yenu mmetumia tafsiri moja tu
Nyie mnachofanya hambadilishi manuscript kwasababu ni rahisi kuwakamata. Mmeamua kubadilisha maana ya maneno ili kujilinda baada ya sayansi kuonesha udhaifu wa kurani
 
Nyie mnachofanya hambadilishi manuscript kwasababu ni rahisi kuwakamata. Mmeamua kubadilisha maana ya maneno ili kujilinda baada ya sayansi kuonesha udhaifu wa kurani
Hahahah ona ulivyo muongo toa ushahidi wa mtu yoyote anaesema kua hizi maana sio sahihi niwapopoe wote
Nyinyi hamuna elimu na mtabaki hamuna elimu.
 
Back
Top Bottom