Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Hakuna alie mpinga Mohamed kwanza ila wewe upo kibishani tu kabla mada haijaendelea uliulizwa unajua maana ya neno Alaqa
Na hukujibu na screen shot umepewa
Alafu ikatae hii maana au muweke mtaalamu wako wa lugha anae ipinga hii maana ili nimpopoe hapa
Na kama ujamleta mtetezi wa kuikataa hii maana basi fahamu kua wewe ni kafiri usio na elimu alafu naja kukujibu kwenye hadithi
Nahii ndio itakuwa nafasi yako ya mwisho kusoma.View attachment 2380012
Muhammad ameelezeaje ? Nipe maelezo ya hadith
 
Duh kweli nimeani kuwa nyiyi thinking capacity yenu ni ziro ndio maana mnadondokea kwenye masanamu. Kipi cha ajabu hapo wakati yai (ovary) la mwana mke huwa nidamu ambayo iko ktk form ya liquid inapokutana na mbegu ya mwanaume nayo iko ktk form ya liquid kinacho zalishwa hapo kinahitajika kiwe ktk form ya solid sasa bila hilo yai lilochanganyika na mbegu kuganda yaani kuwa solid huyo kiumbe ataumbika vipi ? wewe yaani unashindwa hata kuona mfano mdogo wa utengenezaji wa ice cream.?
Haya unayosema kuhusu yai hayapo. Pale sperm inakuwa damu iliyoganda hivyo jipange upya kabla hujaendelea kurusha matusi.
 
wewe usitoe akili mwako aya haikusema hivo hujui.

mwanzo mwa aya hiyo kwanza Allah alimuumba binaadam kwa udongo kisha akaja muumba binaadam kwa manii na akanza kupanga hatua zake,
Tutajie hatua zilizotajwa.
 
Quran ilianza kuandikwa kabla ya Muhammad kupata maono ya jibril kule mapangoni.

The birmingham quran manuscript is currently believed to be the oldest Quran in the world.

This manuscript consists of two leaves of parchment that are a fragment of an early Quranic manuscript dated between 568 AD – 645 AD
Ulishajibiwa post # 1714,
Nami pia nishakujibu huko nyuma, unapenda kurudiarudia utumbo tu.
Halaf ungekua mtu anayejielewa, ungeleta reference yako ya kile ulichoandika.
Na sio kujiandikia utumbo tu bila reference.
Ungeleta reference ya kile unachodai tukifanyie operation…
 
Quran inazo tafsiri nyingi sana. Hamtaki tuziite version lakini translations za biblia mnapenda kuziita version.
The new testament of the bible was first written in Greek,
wakat yesu mwenyewe alikua anazungumza Aramaic, na iliandikwa miaka mingi baada ya yesu kuondoka.
Ishu ya bible kuwa na versions nyingi, sio ss ndio tumeandika na kuziita hivyo, usitusingizie sisi 😀.
Nyie wenyewe ndio mmeandika na kuziita versions.
Mfano:
King James Version
Bible union version
English standard version
New international version
New revised standard version


Zipo nyingi mno, kuna mpaka African bible 😀
 
Huyu Motiki hana logic yoyote isipokua ni kuikashifu dini ya uislam, mtu aliyekua timamuangejenga hoja kwann Ktk Qur-an kuna mazungumzo hadi ya wanyama lakini si kwa anachokifanya huyo kafiri mwenye kujiuna anajua na mwenye akili kuliko yeyote, hivyo ningekushauri tu uachane nae maana dini yetu imeshatuambia kua hakuna kulazimishana ktk dini, na kama anaona Qur'an imekosewa basi aandike ya kwake ambayo anaona ipo sahihi na mwisho yeye ana dini yake na sisi tuna dini yetu haijalishi anaifaham vipi hiyo Qur'an ila ameshaamua kufanya kufuru basi haina haja ya kuendelea kujibizana nae huyo kafiri.
Yaah, ni kweli kabisa huyu jamaa Mokiti na mwenzake championship hawapo kwaajili ya kujifunza ama kutaka kuijua kweli.
WAPO KWA AJILI YA UBISHI, KUKASHIFU NA KUTUKANA UISLAMU.

Quran 2: 256- “There is no compulsion in religion, the right course (path) has become clear (distinct) from the wrong (evil). So whoever disbelieve in false deities and believe in Allah has grasped a firm handhold that never breaks….”

Quran 76:3-“Hakika sisi tumembainishia (mwanadamu) njia. Ama ni mwenye kushukuru au mwenye kukufuru…”


Hivyo hawa nikuwaacha na upumbavu wao, maadamu wameamua kuchagua kukufuru.
 
Si Ni vilevile tu, seli_tishu_ ogani_mfumo_ mifumo_ Binadamu kamili,[emoji2322][emoji2322]
 
Uthman ameandika quran 650AD lakini hizo manuscripts zinaonesha kuandikwa kati ya 568 na 645AD na muhammad kapata maono 610 mpaka 632AD.

Mpaka hapo huoni kwamba hizo document zilikuwepo kabla ya hizo za uthman? Hasa ukizingatia kwamba kipindi muhammad yupo quran ilikuwa ipo kwa kukariri tu.
Wewe alie kwambia kua othman ndio wakwanza kuiandika quran ni nani yeye ilikuwa kazi yake ni kuikusanya na sio ndio wa kwanza kuiandika
 
Ulishajibiwa post # 1714,
Nami pia nishakujibu huko nyuma, unapenda kurudiarudia utumbo tu.
Halaf ungekua mtu anayejielewa, ungeleta reference yako ya kile ulichoandika.
Na sio kujiandikia utumbo tu bila reference.
Ungeleta reference ya kile unachodai tukifanyie operation…
Reference ipi unataka wakati nimeshakuambia nazungumzia manuscripts zilizopo birmingham?
 
The new testament of the bible was first written in Greek,
wakat yesu mwenyewe alikua anazungumza Aramaic, na iliandikwa miaka mingi baada ya yesu kuondoka.
Ishu ya bible kuwa na versions nyingi, sio ss ndio tumeandika na kuziita hivyo, usitusingizie sisi 😀.
Nyie wenyewe ndio mmeandika na kuziita versions.
Mfano:
King James Version
Bible union version
English standard version
New international version
New revised standard version


Zipo nyingi mno, kuna mpaka African bible 😀
Yesu alizungumza aramaic kama lugha mtaani kama kilivyo kiswahili hapa Tanzania ingawa wayahudi walitumia hebrew kama lugha yao ya asili (kama wachaga au wapare au wanyakyusa wanavyotumia lugha zao) na pia greek language ilikuwepo kama lugha ya kimataifa (pamoja na hiyo aramaic). Kwahiyo biblia ingeweza kuandikwa kwa lugha yoyote kati ya hizo kwasababu zilikuwa zinafahamika.

Vitabu vingi vya biblia vimeandikwa within 30 years tangu Yesu apae kwenda mbinguni kwahiyo ni uongo kusema viliandikwa miaka mingi baadae. Sisi tunapoita version tunamaanisha translation kwahiyo nyie ndio hamuelewi mnajiongelea tu.
 
Back
Top Bottom