Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #1,781
Hauliogopi neno kuganda? Maana mnasema damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke.Akili zako zimeganda wewe nimekupa na screen shot au hukuiona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauliogopi neno kuganda? Maana mnasema damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke.Akili zako zimeganda wewe nimekupa na screen shot au hukuiona
Birmingham manuscripts ziliandikwa kabla ya Muhammad.Nimekupa maelezo kamili kuhusu manuscript ya Birmingham ila naona unajifanya kuiruka post
Kwahiyo sasa hivi mnabadilisha kwamba ilikuwa inaandikwa tangu muhammad yupo?Hakuna alie kimbia maandiko quran mpaka leo inaamishwa kutoka kwenye vitabu kuingia katika vichwa vyetu hii haina maana kwamba misahafu haipo na hiki
KJV ndio standard ya tafsiri kutoka original manuscripts kwenda kiingereza. Na NKJV ndio hiyo hiyo KJV lakini imetumia kingereza cha kisasa.We huna akili soma hii hapa uliilewa kua huna kitabu hapoView attachment 2380496
Unaanza kuzikimbia aya zenu.Yani wewe ndio zaidi ya wajinga alie fanya hivyo kupiga mwili ulio kufa ili ufufuke alikua Mungu?
Yeye Mungu anaweza kufufua moja kwa moja na kwa njia anayotaka yeye wewe ulivyo juha unataka kumpangia anacho fanya mimi ndio maana na wapa pole hujui hata hiyo sababu ya kufanya hivyo
Hamna verse inayoongezewa. Watu wanafanya tafiti kwenye manuscripts mbalimbali halafu scholars wanafikia muafaka kuamua baadhi ya mistari kama hawakuiona kwenye manuscripts nyingine.Chakushangaza tena ndani ya hizo biblia anazoziita translations kuna baadhi zina miss baadhi ya verse (aya) na nyingine zimeongezewa verse kama ulivyompa huo mfano👆.
Hizi biblia wanazi edit kila kukichwa kulingana na maslahi yao..
Allah anafufua kwa mapande ya nyama.🤣Kama yesu mtu aliweza kufufua mtu kwanini ALLAH ashindwe?View attachment 2380519
Ufanye 'research' bila kuandika vitu bila elimu navyo.Hizo biblia zote za kingereza zimetafsiriwa kutoka lugha ya kilatini(Vulgate) kutoka kwa 'Roman Catholic'.KJV ndio standard ya tafsiri kutoka original manuscripts kwenda kiingereza. Na NKJV ndio hiyo hiyo KJV lakini imetumia kingereza cha kisasa.
Watu wengine wanaruhusiwa kuandika na kutafiti na hata kupublish their findings lakini standard inabaki kuwa KJV.
Kwahiyo NIV na wengineo wanaweza kuja na translations zao lakini reference yetu kiingereza ni KJV.
KJV imetafsiriwa kutoka original manuscripts. Kila tafsiri ya biblia unayoiona ni lazima lugha inayotumika iwe na kamusi inayotafsiri moja kwa moja kutoka greek/aramaic/hebrew/latin kwenda kwenye hiyo lugha.Ufanye 'research' bila kuandika vitu bila elimu navyo.Hizo biblia zote za kingereza zimetafsiriwa kutoka lugha ya kilatini(Vulgate) kutoka kwa 'Roman Catholic'.
Kama siku hizi kilatini ndiyo lugha ya asili, wewe ndiyo utakuwa wa kwanza kuongea hivyo.
Hapo pekeyake naweza kukupopoa kwa hilo hilo neno kuganda so wewe umeamua kuziruka baadhi ya post zangu wewe tulia tu broHauliogopi neno kuganda? Maana mnasema damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke.
Ujajibu swali aya ina sema na tumewaelekeza hapa Mungu anamaanisha amewaelekeza namna watu wa musa wanatakiwa kufanya wala ili afufuke alie kufa na ni kwa sababu walileta mijadiliano yasio na maana ndio wakapewa adhabu hiyo ya kumtafuta huyo ng'ombe sasa wewe unasema Mungu ndio kachukua nyama na kumpiga huyo mtu hiyo ni aya yako na wazushi wenzako.Unaanza kuzikimbia aya zenu.
Ujinga wako utakuponza je unampangia namna ya kufanya katika kazi zakeAllah anafufua kwa mapande ya nyama.[emoji1787]
Ijibu hii picha nikupe mifano mengine ili nikuoneshe mifano mingine ya upumbavu unaofanyika kwenye bibliaKJV imetafsiriwa kutoka original manuscripts. Kila tafsiri ya biblia unayoiona ni lazima lugha inayotumika iwe na kamusi inayotafsiri moja kwa moja kutoka greek/aramaic/hebrew/latin kwenda kwenye hiyo lugha.
Roman catholic wapo na manuscripts ziitwazo Codex Vaticanus zilizopo Vatican na nyingine ni Codex Sinaiticus ambazo nyingi zipo London
Ujaona Allah kajisifi kasema hivyo ndivyo Allah anavyofufua wafu ,Ujajibu swali aya ina sema na tumewaelekeza hapa Mungu anamaanisha amewaelekeza namna watu wa musa wanatakiwa kufanya wala ili afufuke alie kufa na ni kwa sababu walileta mijadiliano yasio na maana ndio wakapewa adhabu hiyo ya kumtafuta huyo ng'ombe sasa wewe unasema Mungu ndio kachukua nyama na kumpiga huyo mtu hiyo ni aya yako na wazushi wenzako.
Au huoni neno na tume waelekeza na kama hujui kiingereza pia sema utafundishwa sio kila wakati unaokosolewa wewe tu
Kumbe unacho kifanya ni ubishi na sio elimu nakurushia tena somaBirmingham manuscripts ziliandikwa kabla ya Muhammad.
Post zote nimezisoma.Hapo pekeyake naweza kukupopoa kwa hilo hilo neno kuganda so wewe umeamua kuziruka baadhi ya post zangu wewe tulia tu bro
Kwahiyo unapinga kwamba Allah hajawahi kutumia pande la nyama kufufua?Ujajibu swali aya ina sema na tumewaelekeza hapa Mungu anamaanisha amewaelekeza namna watu wa musa wanatakiwa kufanya wala ili afufuke alie kufa na ni kwa sababu walileta mijadiliano yasio na maana ndio wakapewa adhabu hiyo ya kumtafuta huyo ng'ombe sasa wewe unasema Mungu ndio kachukua nyama na kumpiga huyo mtu hiyo ni aya yako na wazushi wenzako.
Au huoni neno na tume waelekeza na kama hujui kiingereza pia sema utafundishwa sio kila wakati unaokosolewa wewe tu
Uyo mwehu alie kwambia kua othman ndio wakwanza kuiandika quran nawewe mlete niwapopoeKwahiyo sasa hivi mnabadilisha kwamba ilikuwa inaandikwa tangu muhammad yupo?
Mimi sijampangia allah ambaye ni moja ya creators maana anajiita yeye ndio bora ingawa hata hajui hatua za utungaji mimba na wala hajui sperm zinatokea wapi.Ujinga wako utakuponza je unampangia namna ya kufanya katika kazi zake
Hahahaha manuscript za Romani za Mungu gani na za manuscript zenu ni za Mungu ganiKJV imetafsiriwa kutoka original manuscripts. Kila tafsiri ya biblia unayoiona ni lazima lugha inayotumika iwe na kamusi inayotafsiri moja kwa moja kutoka greek/aramaic/hebrew/latin kwenda kwenye hiyo lugha.
Roman catholic wapo na manuscripts ziitwazo Codex Vaticanus zilizopo Vatican na nyingine ni Codex Sinaiticus ambazo nyingi zipo London