Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #1,761
Acha blah blah na vitisho. Soma hapa:Yaah, ni kweli kabisa huyu jamaa Mokiti na mwenzake championship hawapo kwaajili ya kujifunza ama kutaka kuijua kweli.
WAPO KWA AJILI YA UBISHI, KUKASHIFU NA KUTUKANA UISLAMU.
Quran 2: 256- “There is no compulsion in religion, the right course (path) has become clear (distinct) from the wrong (evil). So whoever disbelieve in false deities and believe in Allah has grasped a firm handhold that never breaks….”
Quran 76:3-“Hakika sisi tumembainishia (mwanadamu) njia. Ama ni mwenye kushukuru au mwenye kukufuru…”
Hivyo hawa nikuwaacha na upumbavu wao, maadamu wameamua kuchagua kukufuru.
Koran 2:73 So We instructed, “Strike the dead body with a piece of the cow.” This is how ˹easily˺ Allah brings the dead to life, showing you His signs so that you may understand
Hizo ndio kazi za Allah, ndio level zake. Nenda akupigepige na vipande vya nyama ufufuke.