professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Wewe ulishawahi kuona kuna neno la kiarabu limebadilishwa mule?Quran inazo tafsiri nyingi sana. Hamtaki tuziite version lakini translations za biblia mnapenda kuziita version.
Mimi nahusika vipi kupiga watu ban?Mpuuzi wewe mmempiga ban ili mujenge hoja zenu hayo majibu ni ya kwenu hatu yatambui
iyo idadi ya watu 2000 umeipata wapiMambo Mengi ya kwenye vitabu ni ya kufikirika sana,
Kuna aya moja kwenye bible,inayomuhusu mfalme Suleiman kwamba alikuwa na vijakazi/michepuko 700!hapo ujaweka wake zake harali!!!aliyetunga hiki kisa alikiweka Ili kumpa misifa Suleiman Ili aonekane kwamba alikuwa na nguvu sana kuriko wanaume wengi,
Kwa tskwimu zilizokuwepo,kipindi Cha Suleiman kulikuwa na idadi ya watu wasio zidi 2000!sasa hebu fikiria mtu mmoja anaoa wake 700+inamaana wanaume wengine walikuwa hawataki kupiga mambo??yaani nusu ya raia wote ni wake zako,sasa watu wako watamuoa nani!! Wala haiingii akilini
Hapa jukwaani mmeleta tafsiri mnazozivumbua na kuziingiza kwenye quran baada ya sayansi kuonesha Muhammad alidanganya.Wewe ulishawahi kuona kuna neno la kiarabu limebadilishwa mule?
Maana haibadiliki ila shida yenu mmetumia tafsiri moja tuKwahiyo sasa hivi itabidi mbadilishe maana mlisema quran haikuwa imeandikwa isipokuwa muhammad alikariri tu.
Muongo sema ulikuwa hujui tu kuhusu namna quran inavyo tafsiriHapa jukwaani mmeleta tafsiri mnazozivumbua na kuziingiza kwenye quran baada ya sayansi kuonesha Muhammad alidanganya.
Nyie mnachofanya hambadilishi manuscript kwasababu ni rahisi kuwakamata. Mmeamua kubadilisha maana ya maneno ili kujilinda baada ya sayansi kuonesha udhaifu wa kuraniMaana haibadiliki ila shida yenu mmetumia tafsiri moja tu
Naomba ushahidi badala ya kubwatuka hapa.Hujui wewe wanasayansi wako wanatumia quran kutatua mambo
Na naona mmempiga ban na medisonmutaMimi nahusika vipi kupiga watu ban?
Hahahah ona ulivyo muongo toa ushahidi wa mtu yoyote anaesema kua hizi maana sio sahihi niwapopoe woteNyie mnachofanya hambadilishi manuscript kwasababu ni rahisi kuwakamata. Mmeamua kubadilisha maana ya maneno ili kujilinda baada ya sayansi kuonesha udhaifu wa kurani
Elimu na sheria unazozifuata wewe na dunia nzima zimetokea kwenye biblia.Hahahah ona ulivyo muongo toa ushahidi wa mtu yoyote anaesema kua hizi maana sio sahihi niwapopoe wote
Nyinyi hamuna elimu na mtabaki hamuna elimu.
Ole wako ukatae kama mwenzio champion asie jielewaNaomba ushahidi badala ya kubwatuka hapa.
Alie kwambia mimi nafuata sheria za alie laaniwa ni naniElimu na sheria unazozifuata wewe na dunia nzima zimetokea kwenye biblia.
Huyo championship amewavua nguo humu. Jamaa pamoja na motiki, yaani watu wawili wamewashinda kwa hoja. Waislam kibao wamekuja humu wakaona pamoto wakakimbia.Ole wako ukatae kama mwenzio champion asie jielewa
Hapo ulipo umesoma shule zenye mfumo wa elimu ulioanzishwa na wakristo na nchi inaendeshwa kwa mfumo wa sheria wenye mizizi kutokea kwenye biblia.Alie kwambia mimi nafuata sheria za alie laaniwa ni nani
wapi katwajwa muhamad??/Hiyo ni lugha ya cheo mkuu kasome bibilia ya kiyunani uone Muhammad katajwa vipi mule someni wakristo msi kariri
Mimi ni moderator? Kwanini apigwe ban kama sio mhalifu?Na naona mmempiga ban na medisonmuta
Kukataa kwako majibu sio tatizo kwetuMpuuzi wewe mmempiga ban ili mujenge hoja zenu hayo majibu ni ya kwenu hatu yatambui
🤣🤣🤣 Naona sasa unapoteza network. Pengine na wewe jibril amekukaba.Hujui wewe wanasayansi wako wanatumia quran kutatua mambo
Kila siku sayansi ikiwaumbua mnatunga maana mpya ya maneno.Wewe ulishawahi kuona kuna neno la kiarabu limebadilishwa mule?