Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Vizuri unajua mimi naona kabisa yani mtu anaacha asili na inaonekana kabisa mwanamke yai lina pasuka lina toa damu na hakuna atakaye bisha hapa aje na kama ndio hivyo mtu akileta hoja kua ile sio yai aje
Acha kudhihirisha ujinga wako. Damu inatokana na kupasuka kuta za mji wa mimba inapotokea fertilization haikutokea.
 
Allah alisema waoe wanne mwisho lakini Muhammad alioa zaidi.

Pia nadhani wewe ni mfia dini kuona mtoto wa miaka tisa akiingiliwa kingono ni jambo sahihi.
Unashindwa kutofautisha vyeo bro yule ni mtume ni kiongozi so huwezi mkawa sawa mambo yote alafu hiyo unayo ona ni ngono we ndio ulikuwa doctor was huyo mwanamke ukaona afya yake labda ni dhaifu au hana mwili wa kuhimili tendo la ndoa au umeliona umbile lake likoje we vipi bro kwani alie sema miaka 18 ndio mtu anakua mtu mzima we unavyo dhani yuko sawa yani mtu abalehe na miaka nane alafu aje mtu ameambiwa subiri miaka fulani ndio unakua ushakuahahahhaahhaha
 
Umeambiwa kuandikwa sio kuwepo elewa wewe Muhammed kuhifadhi quran na ndio waislamu tunavyo kua sio nyinyi kitabu anasoma padri tu manaridhika mkiongopewa au mmeambiwa ukweli hamjui
Kwahiyo nyie wote mlisomewa na muhammad ndipo mkaiandika? Sasa kwanini uwashangae hao wanaosomewa biblia ambayo tayari imeandikwa?

Hata hivyo kauli yako ni uongo kwasababu biblia inapatikana kwa kila mtu.
 
Hii ni DINI ya kiislamu ni ya hovyo sana.

Wakristo tunaamini Lusfer alipoasi na baadhi ya Malaika kule MBINGUNI.

Akatupwa Duniani Akawa shetani, Malaika wakawa Majini,Mapepo nk.

WAO WANONA KUFUGA MAJINI NO SIFA.
Mnasema Uislamu ni dini ya kweli na dini ya amani.
Huku mnajua kuna mambo yapo kwenye uislamu yanasababisha uislamu usionekane kama ni dini ya kweli

Jiulize je dini ya kweli inaruhusu vipi mtume wake mwenye miaka zaidi ya 50 kuoa mtoto wa miaka 6 ?

Hata wewe mwenyewe huwezi kubali binti yako wa miaka 6 aolewe tena na mzee wa miaka 50.
Tena alifanya tendo la ndoa na huyo mtoto akiwa na miaka 9 ( hu sio ubakaji kweli?)

Jiulize Dini ya kweli inaruhusu ndoa ya masaa kazaa tu ( mutaa) tena baada ya kumaliza kupigana miti mnalipana pesa kisha ndoa inaisha ?

Dini ya kweli inawafundisha muwaue watu wa dini zingine wasiomuamini mtumwe wenu.

Dini ya kweli inaruhusu utumwa. Na tena inawaruhusu wanaume wa kiislam kuwatombaaz watumwa mtakaowapata wa kike. ( dini ina promote uzinzi na ubakaji)

Dini ya kweli inaruhusu wanawake wapigwe na waume zao. Yaani wanawake kuwapiga na kuwabonda ni ruhksa ,

Dini ya kweli inakataza waumini wake wasijenge urafiki na hata kupigana na watu wa dini zingine?
One of the fundamental teachings of Islam and one which every Muslim cultivates in his heart is that of brotherhood and equality of human beings……….!!!!!!!

Since Islam considers the diversity of people and nature as God’s creation, respect for diversity is commanded. Especially noted in the Qur’an are “People of the Book”, namely Jews and Christians, who were always given a special place in Muslim society……….!!!!!!!


Muslims are commanded to safeguard their right to worship and their places of worship, a command that has been historically followed, as is evidenced by the existence of old churches and synagogues throughout the Muslim world in places like Turkey, Palestine, Jordan, Syria, and Bosnia. Contrary to the common stereotype, Islam was not “spread by the sword”, nor people forced to convert, a fact again borne out by the existence of non-Muslim populations throughout the Muslim world……….!!!!!!!!

This same respect and tolerance was extended to people of other faiths…….!!!!!!!

Muslims believe that the Holy Prophet Muhammad(sa)was sent as “a Mercy for all the worlds’’……….!!!!!!!!!


U dont have any points brother…….your words are filled with hates with ZERO FACT arguiging with an empty mind Brother like u is such a waste of time🤣🤣🤣……!!!!!!!

Go and read Islam……..then come here with facts………!!!!!!!!

Dont be silly and over emotional……Cheers🤝🤝🤝🤝🤝
 
kwa hiyo mkuu bila alama za vidole Mungu asingetujua ? aya mambo ya dini bhana mna haki kuulizwa mdhibitishe yupo au hayupo kwel
Namaanisha fumbo ambalo watu walikuwa wanaulizana wakati huo,
Wala hawakujuwa Kama kila mwanadamu ana alama za vidole(finger prints)
Ambazo hazifanani na mwingine,,

Zama hizo hawakujuwa Nini maana ya fumbo la alama za vidole.
 
Kuna kitabu kinaitwa "The bible,Quran and science kitafute kitakutoa tongo tongo sana kuhusiana na uthabiti wa Quran ukilinganisha na Science fundings

ukihitaji niambie nikupe
Mwaga hayo madini hapa jukwaani kufuatana na mada hii watu wengi waelewe kama wewe ulivyoelewa.
 
Unashindwa kutofautisha vyeo bro yule ni mtume ni kiongozi so huwezi mkawa sawa mambo yote alafu hiyo unayo ona ni ngono we ndio ulikuwa doctor was huyo mwanamke ukaona afya yake labda ni dhaifu au hana mwili wa kuhimili tendo la ndoa au umeliona umbile lake likoje we vipi bro kwani alie sema miaka 18 ndio mtu anakua mtu mzima we unavyo dhani yuko sawa yani mtu abalehe na miaka nane alafu aje mtu ameambiwa subiri miaka fulani ndio unakua ushakuahahahhaahhaha
Wewe ni mfia dini. Ukiletewa mabomu ili umpiganie Allah utayavaa. Ni ukichaa kuunga mkono binti wa miaka 9 kuingiliwa kimwili na mzee muhammad.
 
Kwanini mimba ya mwezi mmoja ikifanyiwa abortion yanatoka mapande ya damu? (Mabonge mabonge ya damu?).

Wanawake waliowahi kutumia hizo dawa (miso) wanalifahamu hili.
Muhammad hapa anasema sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Hii damu ipo huko ndani inaishi?

Wewe unazungumzia abortion ambapo tayari ni kiumbe kinakuwa kimeuliwa. Mapande ya damu hapo ni mwili wa hicho kiumbe, kuta za tumbo la uzazi na placenta zinatoka.
 
Back
Top Bottom