Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #1,341
Lete ushahidiMarehemu Kigoma Malima mulikwenda kummaliza kule UK .Kisa ni Waziri wa elimu .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete ushahidiMarehemu Kigoma Malima mulikwenda kummaliza kule UK .Kisa ni Waziri wa elimu .
Waliiandika Vatican. Mpaka leo ndio wapo na manuscripts zao.Allah mwenyewe alisema wakristo ni wasomi ,
Na ndio walikuwa wanamuandikia Muhammad koran
Maswali yanguKatika soma yangu nimekutana na hii aya. Naona inapishana na baiolojia niliyosoma miaka ile ya sekondari.
Quran 23:14
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu mbora wa waumbaji
English translation:
Then We made the sperm drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah, the best of creators.
Ukisoma tafsiri ya kiingereza na kiswahili unaelewa kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Nikatafuta wataalamu wa tafsiri kuhusu hiyo clot.
Prof Haanein Muhammad Makhloof, on page 508 of his Dictionary of the meanings of words of the Quran says that the Arabic word alaq translated into English as "clot" means frozen blood.
Maswali yangu
1. Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke?
3. Quran haifahamu kuhusu yai la mwanamke?
4. Sperm peke yake inaweza kuumbwa ikawa mtu?
5. Kauli kwamba tukamfanya kiumbe mwingine inamaanisha nini?
battawi FaizaFoxy Mokiti adriz Kisai
Wote mnaruka stage ya mifupa tupu kwa Nini?Maswali yangu
1. Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke?
3. Quran haifahamu kuhusu yai la mwanamke?
4. Sperm peke yake inaweza kuumbwa ikawa mtu?
5. Kauli kwamba tukamfanya kiumbe mwingine inamaanisha nini?
NITAJIBU KWA JINSI NILIVYOISOMA SAYANSI KWA ELIMU YANGU NDOGO HII
1. Ndio, Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda
2. Ndio Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la Mwanamke. Damu hiyo iliyoganda ndio inaitwa(Female Gamete/Egg Cell/Ovum). Ukitaka kuamini hilo ni hivi.
Hiyo Damu iliyoganda au Yai la kike kuna kipinfi hutoka katika Ovary kwa ajili ya urutubishaji(Fertilization) na husogea na kukaa katika Falopian Tube kwa ajili ya kusubiri hiyo fertilzation ndani ya siku takribani 3. Sasa ikikosa Sperm ya kiume hujivunjavunja(Disintegrate) na kutoka kama Bleed.
Kumbuka hilo yai limezungukwa na damu(kwakuwa damu ni Cell na zimegawanyika yani White blood cell, red blood cell,. plasma membrane na platelete), Na ndio mana hutoka kama Damu(bleed) hapo tunasema Mwanamke anakuwa kwenye Hedhi.
3)Quran inafahami kuhusu yai la Mwanamke ndio hilo pande la damu iliyoganda au Egg Cell/Ovum.
4)Hapana
5) Inamaanisha inamaanisha baada ya pande la damu/Egg cell kufanikiwa kupata Sperm(Mbegu za Kiume) basi hapo mimba ndipo inapoanzia kutungwa na process zote tumboni kwa Mama ila vyote hivyo hufanyika kwa Idhini ya MWENYEZI MUNGU au kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Na kuna Miezi ikifika Mtoto akiwa tumbo basi mtoto atapewa pumzi kwa uwezo wa Mungu.
Wanasayansi wako wanasema sperm zinarushwa kutoka katika Seminal vesicle na sio korodaniUna force sana kuifanya kuran iwe relevant kwenye mambo ya kisayansi ila ni uongo mtupu
Hiyo accuracy umeipima vipi ? wakati wametoa maboko mengi ya wazi hapo automatically ishakosa sifa ya kuaminika.Hivyo ni vitabu vya historia vya taifa la Israel vilivyoandikwa na watunza kumbukumbu kwahiyo makosa ya kibinadamu hayawezi kukosekana hasa kwasababu kipindi kile hapakuwa na mashine ya kufanya copy.
Actually accuracy iliyopo kwenye uandishi wao kwa kuzingatia teknolojia ya miaka zaidi ya 3500 iliyopita ni muujiza tosha. Enzi hizo kopi ilikuwa lazima mtu akae chini na kuandika.
Halafu pia inaonesha uaminifu wa watu wale waliokusanya vitabu na kuviweka pamoja kama biblia maana hawakujaribu kubadilisha chochote.
Kama ambavyo nilikuambia mwanzoni, ukiona sehemu pameandikwa, "Bwana Mungu akasema...".. basi ujue hapo hapawezi kuwa na kosa lolote kwasababu hayo ni maneno ya Mungu directly.
Kwenye biblia kuna mpaka maneno ya shetani, mapepo, binadamu nk kwahiyo unapaswa kuwa makini kuelewa. Na cha ajabu ni kwamba kitabu hicho kimeandikwa katika kipindi cha miaka 3000 na waandishi wapatao 40 lakini wote walikuwa na ujumbe mmoja. Glory to Jesus Christ.
Si aliua East African Muslim Welfare Association na kutaifisha plot zake?Nyie mlikuwa mnajazana madrasa kusoma quran na mwalimu akaamua kuwatoa huko na kuwapa elimu. Mkapa akawapa chuo ambacho ni mali ya uma kwasababu hamna uwezo wa kujenga chochote.
Accuracy unaipima kwa usahihi wa ujumbe uliotolewa. Huwa sihoji sana maeneo ya quran ambayo Muhammad anaongea ila nitahoji pale inapoonekana Allah ndio anaongea directly.Hiyo accuracy umeipima vipi ? wakati wametoa maboko mengi ya wazi hapo automatically ishakosa sifa ya kuaminika.
Mwalimu alisaidia sana waislam kuwa na wasomi wengi kwenye elimu ya darasani. Sijui ni kwanini hamjapenda ku-appreciate hili.Si aliua East African Muslim Welfare Association na kutaifisha plot zake?
Damu iliyoganda inawezaje kuishi? Damu iliyoganda ndio iitwe yai?😂Ndio Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la Mwanamke. Damu hiyo iliyoganda ndio inaitwa(Female Gamete/Egg Cell/Ovum)
1. Mwalimu alisaidia waislamu na yeye pia alisaidiwa na waislamu wakati alipokuwa anagombea uhuru. Lakini kwa nini alishindwa kuwaamini na kuona kama ni wapingaji baada ya uhuru?Mwalimu alisaidia sana waislam kuwa na wasomi wengi kwenye elimu ya darasani. Sijui ni kwanini hamjapenda ku-appreciate hili.
Mwalimu alimwachia uraisi Mwinyi ambaye ni muislamu. Mkapa mwenyewe ameandika kwenye kitabu chake kwamba mwalimu alikuwa anamtaka Dr Salim ndio awe rais 1995 lakini Salim akawa analegalega. Mwalimu hakuwahi kuwachukia wala kuwaonea waislam.
Association ya waislam ilivunjwa na bakwata ikaundwa. Wakristo ndio walipoteza mali nyingi kutokana na maamuzi ya Nyerere kipindi kile.
Unaweza kueleza ni kwa vipi hakuwaamini? Maana hata Zanzibar kawasaidia waislam kwa kupindua utawala wa sultani.1. Mwalimu alisaidia waislamu na yeye pia alisaidiwa na waislamu wakati alipokuwa anagombea uhuru. Lakini kwa nini alishindwa kuwaamini na kuona kama ni wapingaji baada ya uhuru
Salim mwenyewe tu alishindwa kucheza na siasa. Ilikuwa rahisi kwake kushinda akiwa na support ya mwalimu akazembea.2. Hao waliompinga Salim ni akina nani kama siyo akina Mongela na wenzake? (hii niliisoma zamani kwenye gazeti kama sikosei ilikuwa RAia mwema
Hili sitaki kulizungumzia sana kwasababu sijawahi kulisoma na kulifuatilia kiundani. Ninachofurahia tu ni kwamba mwalimu aliweza kudhibiti nchi isiwe na vikundi vyenye siasa kali za kidini.3. Bakwata iliundwa kwa mantiki ya kutumikia serikali siyo waislamu. Hakukuwa na sababu ya kuvunja EAMW
Nimesoma vingi tu mpaka kwaheri ukoloni kwaheri uhuru na nikagundua vingi ni propaganda tupu zenye lengo la kuleta uchafuzi wa amani.Hebu jaribu kutafuta kitabu 'Nyerere na kanisa katoliki Tanzania' na 'The Partnership' vitakuongezea maarifa kuhusu siasa za Tanzania.
Acha uongo nawe we nae umehadithiwa na yesu ?Nani sio mwanafunzi wa Yesu? Mimi hapa ni mwanafunzi wa Yesu ndio useme mathayo (aliyekuwa mtume) na luka aliyefanya kazi na mitume sio mwanafunzi?
Yesu Kristo nipo naye na yupo na kila mwamini kila siku. Kumbuka yu hai sio kama muhammad ambaye ni marehemu.Acha uongo nawe we nae umehadithiwa na yesu ?
Sawa hata kwenye orodha ya wanafunzi wake wewe si ndio kiongozi wao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yesu Kristo nipo naye na yupo na kila mwamini kila siku. Kumbuka yu hai sio kama muhammad ambaye ni marehemu.
Kama wame andika kwa kuongozwa na roho mtakatifu kwanini wakosee kila wakati hao kama sio wameshiba maboga ndio wanajiandikia tuKama hata majina ya mitume huwajui basi hauna haki ya kuhoji.
Wapi nimesema hawakuandika kwa inspiration ya Roho Mtakatifu?
Kiongozi wa kwanza alikuwa Petro. Kwa sasa kiongozi anaweza kuwa Pastor Enoch AdeboyeSawa hata kwenye orodha ya wanafunzi wake wewe si ndio kiongozi wao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hamna sehemu wamekosea.Kama wame andika kwa kuongozwa na roho mtakatifu kwanini wakosee kila wakati hao kama sio wameshiba maboga ndio wanajiandikia tu
We ni mwanafunzi wangapi kati ya wale 12Kiongozi wa kwanza alikuwa Petro. Kwa sasa kiongozi anaweza kuwa Pastor Enoch Adeboye
1. Hakuna mahali popote katika Biblia ambapo Mohamad ametajwa.Hiyo ni lugha ya cheo mkuu kasome bibilia ya kiyunani uone Muhammad katajwa vipi mule someni wakristo msi kariri