Francis3
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 462
- 1,629
- Thread starter
- #81
ni wengi mno hao nimetaja wale waliotikisa dunia tu yaani kuna ambao bado wanasoma huko kwa wenzetu na hawana mategemeo ya kurudi na wengine ndio wanafanya kazi za kawaida kwenye mataifa yaliyoendelea ila bado hawajagundua vituNimekuelewa wataalamu kwenye uzi wako wapo from hizo nchi.
Lakini ninahitaji kujua exact number ya wataalamu mashuhuri kutoka kusini mwa jangwa la sahara.
hivi unafikiri kwanini sasa matangazo ya scholarship kwa waafrika yamekuja mengi?