Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
Anakamdomo sana huyu teacherKwa asili wanawake wanasengenya na ni wambea haijalishi ni rais. Ukimsengenya rais au akipelekewa umbeakwa rais basi kama ni mteule wake ujue ndio mwisho wako.
Nimesema hivyo maana kuna mtendaji mzuri kama Ummy Mwalimu ametemwa uwaziri na sasa amepigwa pin asigombee ubunge. Sio Tanga mjini tu wanashangazwa na mambo yanamtokea mpendwa wao Ummy hata watanzania wengi wanashangaa. Watanzania wanamkumbuka Ummy kwa utendaji uliyotukuka awamu ya 5 katika wizara ya afya.
Umakini wake na utendaji bora. Mama alimuamini pia hadi kwa ghafla alivyomtemwa huku wananchi wakishangaa na bila kutolewa sababu yoyote. Kuna vyeo wanabadilishwa kila mara hadi wananchi wanastasjabu. Maandamano yaliyotokea Tanga mjini wanaccm kupinga mbunge wao kukatwa asiwe mgombea yanathibitisha sifa nilizomtolea Ummy.
Sasa kuna maneno maana watu kama hawaoni sababu watatengeneza maneno. Wanasema kuna mtu alipeleka maneno ya uongo eti Ummy kasikika anamsengenya Maza. Loo Mungu tuhurumie.🤔😎
Mbona hayo ya ulabu ni cha mtoto.Siamini mnachosema. Yule Mama ni mcha Mungu sana. Hawezi kuhusishwa na vitu kama hivyo.
Sana tuWanawake wa kiislamu nao huwa wanapiga tungi ?
Ndio nimejua hapa usipo KUA mnafikiii hutoboiiiiiSema ameenguliwa hiyo ya kukatwa anaweza kurusha ngumi😄😄
HAta hawa wavaa ushungi wenye high profile ?Sana tu
WABUNGE WA MWENDA ZAKENdio.
Ndiyo hao tunawajadili sasa wanautwika fresh tu mbona.HAta hawa wavaa ushungi wenye high profile ?
Ina maana namba wani naye yumo ?Ndiyo hao tunawajadili sasa wanautwika fresh tu mbona.
Ummy alimwambia Makamba kwenye group la watu wa Tanga ' Zumbe (Makamba) usiwe na wasiwasi huyu (Samia) hana kitu 2025 utapita kirahisi tu' wote wawili wamepigwa chini.Kwa asili wanawake wanasengenya na ni wambea haijalishi ni rais. Ukimsengenya rais au akipelekewa umbeakwa rais basi kama ni mteule wake ujue ndio mwisho wako.
Nimesema hivyo maana kuna mtendaji mzuri kama Ummy Mwalimu ametemwa uwaziri na sasa amepigwa pin asigombee ubunge. Sio Tanga mjini tu wanashangazwa na mambo yanamtokea mpendwa wao Ummy hata watanzania wengi wanashangaa. Watanzania wanamkumbuka Ummy kwa utendaji uliyotukuka awamu ya 5 katika wizara ya afya.
Umakini wake na utendaji bora. Mama alimuamini pia hadi kwa ghafla alivyomtemwa huku wananchi wakishangaa na bila kutolewa sababu yoyote. Kuna vyeo wanabadilishwa kila mara hadi wananchi wanastasjabu. Maandamano yaliyotokea Tanga mjini wanaccm kupinga mbunge wao kukatwa asiwe mgombea yanathibitisha sifa nilizomtolea Ummy.
Sasa kuna maneno maana watu kama hawaoni sababu watatengeneza maneno. Wanasema kuna mtu alipeleka maneno ya uongo eti Ummy kasikika anamsengenya Maza. Loo Mungu tuhurumie.🤔😎
Zanzibar dini ya Kiislamu ni utamaduni, wakitoka kuswali swala ya inshar saa mbili usiku wanapiga tungi kama kawaida kwa mpenzi wa mitungi.Wanawake wa kiislamu nao huwa wanapiga tungi ?
Hili zuzu ndio lilipiga sarakasi bungeni.#HABARI: Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Mbulu Vijijini, Ndugu Flatei Gregory Massay, amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo.
Amekabidhiwa fomu hiyo na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbulu Vijijini Ndugu Joseph Sambo. Bunge lililopita Flatei alikuwa mbunge wa Jimbo hilo kwa tiketi ya CCM.
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania
Kama kweli anatumia whiskey asiseme?Kama kweli alimsengenya alikosea sana,inabidi akubali matokeo!
Huwezi msengenya bosi wako hata afanyeje,alikosa hekima na alisahau kuwa nafasi aliyonayo wengi wanaitamani so one mistake and you are out!
Huyu Mkwele akikata moto kutakuwa na sherehe za kitaifa nchi nzima, ana roho mbaya sana huyu anakosa busara uzeeni.Kuhusu kupiga mtungi mama ni komba yule mnyama! Na kupwaya ndiyo hivyo tena amebaki kuwa remote ya JK!
Reforms ni lazima ili bunge lirudishe heshima yake .WABUNGE WA MWENDA ZAKE
Wewe ni mtovu wa nidhamuYawezekana ndiyo kilichombeba akapewa u vp.
Ccm kumejaa simple minded people,Kwa asili wanawake wanasengenya na ni wambea haijalishi ni rais. Ukimsengenya rais au akipelekewa umbeakwa rais basi kama ni mteule wake ujue ndio mwisho wako.