Amesema au ametumia neno "Waweza...." nayo inamaanisha " Kuna uwezekano mkubwa " ni conditional term. i.e. Usipojibidisha maana yake bado hutaishi kwa amani na furaha ni majanga yataendelea.Tanzania ipi ya amani na furaha?
Hamna!ila tuseme yeye ndio amekuwa wa kwanza kushtuka(coz ana ufahamu mkubwa) ,pili labda wengine wamejua ila siyo wa TZ ,na hawana acc jf, so wanalalamika huko kwingine ,ie Nigeria nk,. Honestly sipendi kudhalau matatizo ya watu,napenda nisikie mpaka mwisho, japo siyo justification ya kuamini harakaharakaLakini hata kwenye scientific research kunakuwa na kundi la "Sample" na sample size huwa na units wengi sio mmoja. Mbona hatujasikia mlalamikaji mwingine yeyote? au tuseme yeye ndo weak sample unit?
Tusubiri akifanikiwa kurudi kwa emergency travel kama alivyosema, ataeleza vizuri zaidi na ikiwezekana achunguzwe kama ni kweli na kuna athari zitokanazo na hizo waves zilizokuwa inflicted kwake.Hamna !tus
Hamna!ila tuseme yeye ndio amekuwa wa kwanza kushtuka(coz ana ufahamu mkubwa) ,pili labda wengine wamejua ila siyo wa TZ ,na hawana acc jf, so wanalalamika huko kwingine ,ie Nigeria nk,. Honestly sipendi kudhalau matatizo ya watu,napenda nisikie mpaka mwisho, japo siyo justification ya kuamini harakaharaka
Nilivyoona Uzi nilijua ni wa deo,hahahaaaHuenda AKAWA ni huyu ' Feet Prints' zina mfanano wa hali ya juu. Deo alituaga humu kuwa anaenda America.
Miaka 76 iliyopita watu wa carribeans walikubaliwa kuja kuishi Uingereza.
Wajamaica na visiwa kadhaa walibebwa kwenye meli wakiwa zaidi ya 1000
Na wengine zaidi waliletwa pia
Hao waliitwa Windrush generation
Ila kulikuwa hakuna kumbukumbu yoyote serikalini na ndipo aliekuwa Waziri wa mambo ya ndani Priti Patel kuwakamata na kuwasafirisha wengi
Ilikuwa ni kosa kubwa na la aibu
Wote walilipwa kwa kukosa ajira zao na wengine kufa masikini
Ila unakaaje miaka yote bila kudai haki ya kuishi
Wengi walizaliwa hapa ila walikuwa hawajaomba uraia
Kuhusu lugha ya malkia usijali mkuu naongea lugha 5 na sio moja ila naongea kama Charles yaani lafudhi ya wazungu wa kawaida na sio Slang kama unayoipenda 😄
Karibu sana nikuzungushe mitaa yangu hapa
Kwa nilivomuelewa yeye Sasa anatumika kama panya wa maabara, Kuna utafiti unafanyika na yeye ndio Yuko monitored kuhakikisha majibu ya utafiti yanafanyika yeye akiwa kama panya. So he has nothing special than being a human !
Kama una maanisha electronic chip, SinaHii ni mara ya pili unaandika hii kitu
Kuna mdau kakuuliza una chip sehemu yoyote ya mwili??
LondonUpo county gani
Mkuu,Lakini hata kwenye scientific research kunakuwa na kundi la "Sample" na sample size huwa na units wengi sio mmoja. Mbona hatujasikia mlalamikaji mwingine yeyote? au tuseme yeye ndo weak sample unit?
Nimesha report Police zaidi ya mara mojaUnaishi London sehemu Gani je ulishafika ubalozini kwenu TZ je ulienda kuripoti Polisi shida yako
Mkuu Kaveli
Kuna mambo ambayo nimejifunza kwenye ili swala langu;
1)Wakati sisi priority yetu ni kujiboresha sisi na familia zetu. Wenzetu PIA wanaangalia kuboresha mazingira ya vizazi vyao vijavyo. Mfano, sisi tunaweza kupewa pesa ambazo zitasaidia kununua gari zuri au nyumba tukafanya maamuzi ambayo yataleta matatizo katika vizazi vyetu vijavyo.
2)Nimejifunza watu fulani kama swala fulani linaweza kuwafaisha wao, vizazi vyao, nchi yao au bara lao. Kutoka kwa vizazi fulani. They can join forces, turn a blind eye, breaking some their laws etc
3)Watanzania wengi hasa waliopo London hawajichanganyi sana watu wengine. la sivyo ili swala lingekuwa limeshafika uku.
4)Tamaa ya pesa ndio inatuangusha sana sisi weusi
5) Kama unataka kumwumiza mtu kwenye mambo ambayo yatakuwa hayana ushahidi wa moja kwa moja. Fanya kampeni kwanza mfano kumwita PARANOIA. Chochote hatakacho kuja kusema hapo baadae kitakuwa dismiss kirahisi
Ubalozini ulienda kama haujaenda njoo pm nikupe number za balozi au mtu anaye weza kukusaidia tatizo lakoNimesha report Police zaidi ya mara moja