Tetesi: Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kumburuza mahakamani Tundu Lissu kwa defamation case ya kumuita na kumtangaza muuaji.

Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.

Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.

Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
Unajiita Dr. Akili alafu hauna akili kwasababu moja kubwa uko very biased pamoja na kujua kabisa aliyeongea hayo maneno ni gwiji wa sheria, anajua prons and corns za kuongea jambo lolote hadharani ambalo halina uthibitisho. Yes amemshutumu Paul Makonda, hujiulizi kwanini imechukua muda mrefu mpaka kufikia hatua hii? Fikirisha serikali ya ubongo wako na sio kutafuniwa hata mambo madogo dogo kama haya
 
Labda atafute Wanasheria wa Kimataifa! Kama ni hawa wa Jamhuri yetu nadhani awe mpole tu! Yeye angeendelea kuzunguka kwa Maaskofu na Mashehe ili wazidi kumfanyia maombi na dua apate Amani.
 
Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.

Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.

Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
Heheh ajaribu aonje moto wa gesi. Hana huo ubavu Lissu sio mropokaji kama fake pastor msigwa he knows exactly what he said italeta shida gani so anajua pa kupitia.
 
Sasa huko London kwenye case ikilazimika kutaja waliokuwa behind itakuwaje
Mbona wamekwisha tajwa… soma zile nyaraka mbili ziko humu tayari…
niliwawekea nyaraka Mbili za kesi na wahusika wote wametajwa kwenye open court. Ndio maana Tigo walikuwa wanahaha kwamba hiyo case ifanyike kisiri na judges ktk kesi zote ( Et1 na EAT) wakakataa…
Nyaraka za kiinteligensia zaweza pia kutumika…sijajua ilikuwaje Tigo au serikali wakampa huyo former MET police officer work permit na yeye hakuwa hata balozi… Kuna mambo yanafikirisha sana.

Hawa jamaa wanajua mambo mengi sana - Makonda angekaa kimya tu na kupotezea vinginevyo atawachafua wengi Sana kwenye serikali ya sasa.

Mtu anasema hajawahi kuua mtu labda sisimizi lakini hapo hapo hataki Scotland Yard waingie mzigoni … anawajua kazi zao. Aruhusu tu independent investigation ifanyike mbivu na mbichi zijulikane hata kama ni kukwepa kupuliza upepo, nyeti za kuku zitaonekana tu…
 
Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.

Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.

Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
Atenda kama Paul Makonda au kama Daudi Basite? Ataulizwa yeye ni nani kati ya hao wawili
 
Safi sana! Naombea hilo litimie ili tuache kutegemea maneno na tuhuma za wanasiasa ambao mara nyingi huwa ni waongo waongo.

Tunataka ushahidi utakaotolewa mahakamani under the penalty of perjury.
 
Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.

Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.

Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
BASHITE kwa akili yako hii umewezajinkuwa mkuu wa mkoa.?!
 
Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.

Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.

Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
Safari hii makonda dunia nzima itampiga vita.
walianza marekani sasa wanafuata uingereza.

ukweli wote utaanikwa mahakanani huko uingereza na ndo bashite atajua hajui.

yeye ajifarague tu kujifanya hajui mhusika wa kutaka kumuua lisu.
lisu syo mjinga kumtaja hadharani.

hata hivyo alipaswa kwenda mahakamani sii kwa kutajwa juzi bali alishamtaja siku nyingi.
 
Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.

Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.

Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
Bashite bwana😆
 
Mimi namshauri aache kufanya hivyo, huko Mahakamani anaenda kujidhalilisha zaidi, wenzake watajipanga na kisha wataenda huko Mahakamani ili kumvua nguo zote kabisa na kumuacha 'uchi wa mnyama.'
Aidha, anapaswa akumbuke Doctrine of Equity ambayo ina-state kwamba "He who goes for equity must go with clean hands."
Huenda waliomshauri wanataka kumchuna, Lissu anajua anachokifanyaa
 
Ktk kitu ambacho hatufanya ktk maisha yake hicho. Labda mpaka lissu afe
Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.

Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.

Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
 
Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.

Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.

Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
Kama angekuwa hajahusika kumshambulia Lisu angeshaenda siku nyingi maana Lisu hajawahi kucha kumtaja. Ni vizuri aende sasa, tena uzuri ni kwenye hizi mahakama zinazopigiwa simu moja.
 
Hilo utaenda kulithibitisha mahakamani. Sidhani kama una ushahidi wa kuthibitisha hilo beyond reasonable doubt.

Huo ushahidi wa kuthibitisha beyond reasonable doubt tutauona huko mahakamani. Hata Musiba alisema hivo hivyo akaishia kupigwa TZS 9 billion. Huyu atapigwa TZS 300 billion ambazo chama chake sidhani kama kitakuwa na uwezo wa kumchangia. Stay tuned. Utawala wa sheria ni raha na burudani ya kutosha.

Tutaona huko mahakamani kama kweli sheria zinamjua. Lakini kwa akili ya kawaida, mtu kama unajua fulani ni muuaji na una ushahidi wa kutosha si unampeleka kwa vyombo vya sheria na si kwenye majukwaa ya siasa.

For your information nchi yetu haitawaliwi na sheria za uingereza wala za jumuia ya madola. We are a sovereign state sawa na Uingereza au Marekani. Umasikini wetu wa kipato hautuondolei sovereignty yetu. Kwanza tuna natural resources nyingi sana kuwapita hao waingereza. Hivyo it is just a matter of time tutawapita kwa mbali hao Waingereza. Masikini wa leo ndiye tajiri wa kesho na tajiri wa leo ndiye masikini wa kesho. Hii ndiyo formula ya dunia

Kwa mara ya kwanza, leo umenifurahisha sana.
Kwanza ndoto za kuipita Uingereza kiuchumi zitoe kichwani mwako, hilo hautaliona na wala wajukuu zako hawatoliona. Kwa eti sisi ni sovereign state hayo yako kwenye makaratasi tu na kwenye vichwa vya watu wasiofahamu jinsi dunia 'inavyoendeshwa'. Kuwa brainwashed kufikia kushindwa vitu vyepesi kama hivyo inawezekana wewe mleta thread ukawa ndiyo Bashite(zero brain).
Hii ya kujitekenya na kucheka mwenyewe hata kwenye comedy movies huwa haipo, you're just a clown. Jeuri ya kupeleka hilo shauri mahakamani hana, alishindwa kufanya hivyo enzi za Mwendakuzimu with all the power and influence that he had.
Anasubiriwa kwa hamu hapo mahakani kwenye hizihizi mahakama za mchongo za Kibongo ili watu wakatapike nyongo na kuyamwaga mambo hadharani.
 
Hawawezi kujitengenezea kitanzi wenyewe. Lisu alishasema ameanza kumtaja makonda kitambo na hajawahi kuthubutu kufanya hili ambalo chawa wanataka lifanyike.
Wanatishia nyau, hili ndio wameshauriana kama njia ya kujibu mashambulizi ya Lisu. Usikute hata Makonda anasita ila msukumo wa chawa wasioelewa ndio huo. Inabidi akubari kishingo upande ili wasiojua wakajua huo ukweli.
Pia kuna mambo mengine yanatokea sasa kupunguza dhoruba ya ile press ya Lisu. mfano, hujuma kwa kampuni ya Voda siku 2 hizi ni kubalance shutuma zilizoelekezwa kwa tigo
 
Back
Top Bottom