Hilo utaenda kulithibitisha mahakamani. Sidhani kama una ushahidi wa kuthibitisha hilo beyond reasonable doubt.
Huo ushahidi wa kuthibitisha beyond reasonable doubt tutauona huko mahakamani. Hata Musiba alisema hivo hivyo akaishia kupigwa TZS 9 billion. Huyu atapigwa TZS 300 billion ambazo chama chake sidhani kama kitakuwa na uwezo wa kumchangia. Stay tuned. Utawala wa sheria ni raha na burudani ya kutosha.
Tutaona huko mahakamani kama kweli sheria zinamjua. Lakini kwa akili ya kawaida, mtu kama unajua fulani ni muuaji na una ushahidi wa kutosha si unampeleka kwa vyombo vya sheria na si kwenye majukwaa ya siasa.
For your information nchi yetu haitawaliwi na sheria za uingereza wala za jumuia ya madola. We are a sovereign state sawa na Uingereza au Marekani. Umasikini wetu wa kipato hautuondolei sovereignty yetu. Kwanza tuna natural resources nyingi sana kuwapita hao waingereza. Hivyo it is just a matter of time tutawapita kwa mbali hao Waingereza. Masikini wa leo ndiye tajiri wa kesho na tajiri wa leo ndiye masikini wa kesho. Hii ndiyo formula ya dunia
Kwa mara ya kwanza, leo umenifurahisha sana.