Tetesi: Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kumburuza mahakamani Tundu Lissu kwa defamation case ya kumuita na kumtangaza muuaji.

Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.

Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.

Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
Mtaaibika, subirini makonda mtaona vituko vyake kwenye mtandao wa Tigo.
 
Attachments

  • FB_IMG_1727368868627.jpg
    FB_IMG_1727368868627.jpg
    57.3 KB · Views: 2
Hivi vichwani mwenu huwa kumejaa mavi badala ya ubongo?,yaani mwaka wa nne huu mnadai ushahidi upo,hamuendi mahakamani ili haki itendeke,kazi yenu ni kuanzisha nyuzi kila uchao za kumkashifu na kumtukana matusi kedekede,hamuoni kwamba hiyo siasa maji taka?

Sasa yeye anakwenda mahakamani ili mthibitshe madai yenu na lenyewe hamtaki?

Watanzania ni bora ya nguruwe utakula nyama,mnalaana kubwa sana
 
Heheh ajaribu aonje moto wa gesi. Hana huo ubavu Lissu sio mropokaji kama fake pastor msigwa he knows exactly what he said italeta shida gani so anajua pa kupitia.
Hizi ni spining za sirikali kupunguza upepo, si kiongozi wao kawaambia wamjibu Lisu. Wataongea lolote ili mradi wamjibu. Kuna kitengo kinakosa usingizi wakijaribu kuweka mambo sawa, angalia voda inavyohujumiwa, tusubiri kuona mengi, lakini ili uone haya usiwe na utando machoni.
 
Bashite atajitumbukiza mwenyewe kwenye mtego alotegewa na LISSU kwanza atashindwa asubuhi na mapema wakati huohuo THE HAGUE inamsubiri, hivi unadhani hata Lissu ni mjinga hadi kutaja hotel aliyelala steering wa wauaji? Tena kama anataka ateketeee ajichanganye
Vipi ikiwa Lissu kadanganywa?,je kulala hiyo hotel kunauhusiano gani na shambulizi lake?,tumieni elimu yenu ndogo kutafakari Sheria badala kudhaniadhania hovyo
 
Hivi vichwani mwenu huwa kumejaa mavi badala ya ubongo?,yaani mwaka wa nne huu mnadai ushahidi upo,hamuendi mahakamani ili haki itendeke,kazi yenu ni kuanzisha nyuzi kila uchao za kumkashifu na kumtukana matusi kedekede,hamuoni kwamba hiyo siasa maji taka?

Sasa yeye anakwenda mahakamani ili mthibitshe madai yenu na lenyewe hamtaki?

Watanzania ni bora ya nguruwe utakula nyama,mnalaana kubwa sana
Nani hataki, usilete siasa za. uvccm, aende na wewe msindikize, tena kamwambie mwezi huu usipite.
 
Vipi ikiwa Lissu kadanganywa?,je kulala hiyo hotel kunauhusiano gani na shambulizi lake?,tumieni elimu yenu ndogo kutafakari Sheria badala kudhaniadhania hovyo
na vipi Marekani walimpiga stop ya kukanyaga ardhi yao, tumia elimu yako kujibu hoja. Sio unajibu jibu kisa mkuu wenu kawatuma mjibu. Lisu kakuambia data zipo, sasa lianzisheni. Ulisikiliza vizuri alichoonvea mwanasheria Lisu lakini, ludia kusikiliza vizuri
 
Hivi vichwani mwenu huwa kumejaa mavi badala ya ubongo?,yaani mwaka wa nne huu mnadai ushahidi upo,hamuendi mahakamani ili haki itendeke,

Sasa yeye anakwenda mahakamani ili mthibitshe madai yenu na lenyewe hamtaki?
Hakuna anayepinga. Laiti ungejua kwa nini muuaji anasubiriwa kwa hamu afungue kesi. Itakuwa si ajabu kwa shetani kujitupa kwenye ule moto tunaousikia. Dr. Akili hana akili!
 
after all, hizi ni tetesi. yaani mleta mada kaleta tetesi. DAB akijiloga kwenda korti ameisha! anajua mambo yote yatakaa peupe

yataanza na mengine yale yake ya kuiba jina la mwingine
 
Hakuna anayepinga. Laiti ungejua kwa nini muuaji anasubiriwa kwa hamu afungue kesi. Itakuwa si ajabu kwa shetani kujitupa kwenye ule moto tunaousikia. Dr. Akili hana akili!
Duh ๐Ÿ™„ !
Ngoja Tusubiri tuone hii movie !
Washangiliaji tupo tumejaa tele !
 
Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.

Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.

Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
Mwandishi umehukum moja kwa moja, kwa andiko hili inaonyesha wazi hata wew mwandishi uwezo wako kichwani upo calculated.
 
Back
Top Bottom