cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Na iwe sasa ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
Tuhuma zake azielezee mwenyewe tuzisikie
Tuhuma zake azielezee mwenyewe tuzisikie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaaibika, subirini makonda mtaona vituko vyake kwenye mtandao wa Tigo.Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.
Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.
Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
Hizi ni spining za sirikali kupunguza upepo, si kiongozi wao kawaambia wamjibu Lisu. Wataongea lolote ili mradi wamjibu. Kuna kitengo kinakosa usingizi wakijaribu kuweka mambo sawa, angalia voda inavyohujumiwa, tusubiri kuona mengi, lakini ili uone haya usiwe na utando machoni.Heheh ajaribu aonje moto wa gesi. Hana huo ubavu Lissu sio mropokaji kama fake pastor msigwa he knows exactly what he said italeta shida gani so anajua pa kupitia.
Vipi ikiwa Lissu kadanganywa?,je kulala hiyo hotel kunauhusiano gani na shambulizi lake?,tumieni elimu yenu ndogo kutafakari Sheria badala kudhaniadhania hovyoBashite atajitumbukiza mwenyewe kwenye mtego alotegewa na LISSU kwanza atashindwa asubuhi na mapema wakati huohuo THE HAGUE inamsubiri, hivi unadhani hata Lissu ni mjinga hadi kutaja hotel aliyelala steering wa wauaji? Tena kama anataka ateketeee ajichanganye
Nani hataki, usilete siasa za. uvccm, aende na wewe msindikize, tena kamwambie mwezi huu usipite.Hivi vichwani mwenu huwa kumejaa mavi badala ya ubongo?,yaani mwaka wa nne huu mnadai ushahidi upo,hamuendi mahakamani ili haki itendeke,kazi yenu ni kuanzisha nyuzi kila uchao za kumkashifu na kumtukana matusi kedekede,hamuoni kwamba hiyo siasa maji taka?
Sasa yeye anakwenda mahakamani ili mthibitshe madai yenu na lenyewe hamtaki?
Watanzania ni bora ya nguruwe utakula nyama,mnalaana kubwa sana
na vipi Marekani walimpiga stop ya kukanyaga ardhi yao, tumia elimu yako kujibu hoja. Sio unajibu jibu kisa mkuu wenu kawatuma mjibu. Lisu kakuambia data zipo, sasa lianzisheni. Ulisikiliza vizuri alichoonvea mwanasheria Lisu lakini, ludia kusikiliza vizuriVipi ikiwa Lissu kadanganywa?,je kulala hiyo hotel kunauhusiano gani na shambulizi lake?,tumieni elimu yenu ndogo kutafakari Sheria badala kudhaniadhania hovyo
Hakuna anayepinga. Laiti ungejua kwa nini muuaji anasubiriwa kwa hamu afungue kesi. Itakuwa si ajabu kwa shetani kujitupa kwenye ule moto tunaousikia. Dr. Akili hana akili!Hivi vichwani mwenu huwa kumejaa mavi badala ya ubongo?,yaani mwaka wa nne huu mnadai ushahidi upo,hamuendi mahakamani ili haki itendeke,
Sasa yeye anakwenda mahakamani ili mthibitshe madai yenu na lenyewe hamtaki?
And whatever you have you will never be satisfied until people pour seven tonnes of Mchanga on top of the body ๐ณ๐๐ !People are after money, to have money is a good feeling, (money is not an end), that is, the more you have more, the more you will need more money
Not if mropokaji akiwa na evidence. either way wakutane mahakamani"Uropokaji una gharama zake"
Duh ๐ !Hakuna anayepinga. Laiti ungejua kwa nini muuaji anasubiriwa kwa hamu afungue kesi. Itakuwa si ajabu kwa shetani kujitupa kwenye ule moto tunaousikia. Dr. Akili hana akili!
๐!Hatimaye panya kashawishika kula sumu......
Mwandishi umehukum moja kwa moja, kwa andiko hili inaonyesha wazi hata wew mwandishi uwezo wako kichwani upo calculated.Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.
Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.
Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
Hawezi KAMWE, Paulo ataaibikaUropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.
Sio mwandishi huyu ni Kada na Chawa wa PauloMwandishi umehukum moja kwa moja, kwa andiko hili inaonyesha wazi hata wew mwandishi uwezo wako kichwani upo calculated.
Tz pekee mtu anakua tyari kuanika ujinga wake, jamaa anashangaza sanaSio mwandishi huyu ni Kada na Chawa wa Paulo
Good thinkingAnd whatever you have you will never be satisfied until people pour seven tonnes of Mchanga on top of the body ๐ณ๐๐ !