Wanasheria wa Serikali Wakwama Mahakama ya Kimataifa. Bilioni 300 Kuchotwa

Nadhani ni bora kushughulika na kiini cha hizi kesi kuliko matokeo ya hizi kesi .Mfano tushugjulike na watu wanaojicommit au kuingia mikataba isiyo na afya kwa Taifa .Ni ngumu sana kwa wakili anae lipwa milioni kwenda kushinda kesi ya billions .
JPM ndio alifuta leseni yao kibabe, yeye kama alikua Indiana Resources wameshindwa honor mkataba angefungua kesi ICSID ili mkataba uvunjwe cha ajabu anaenda tu kubadili sheria hapo hapo na kuamuru zitumike kurudi nyuma!!

Yule jamaa alikua na nia njema ila alikua anakurupuka kwenye execution. Kwani angewashtaki angepoteza nini na ushahidi tulikua nao?
 
Mama yenu anaupiga mwingi.
 
Mkuu hapo sina clue ya idadi ya cases.
Nitachangia issue ya Mr. Mpina na ulipwaji kama ifuatavyo; Mikataba yai ujenzi huwa ina kipengere cha adhabu kwa ucheleweshwaji wa either malipo ama ucheleweshaji wa kumalizika kwa mradi. Hayo yote ili yatokee kuna sababu zinakuwa zimeainishwa kwenye mkataba. Ikitokea mteja/serikali ikachelewesha malipo basi itaadhibiwa kwa mujibu wa mkataba na huo ucheleweshaji wa malipo uta affect maendeleo ya kazi (muda wa kumaliza mradi) ma serikali haitokuwa entitled kulipwa kwa kuchelewa kumalizika kwa mradi kwani yenyewe ndiyo imesababisha delay.
Kuna obligation pia za kila pande kwenye mkataba na usipotimiza ya kwako inakuondolea entitlement ya fidia.
Vile vile kuna sababu ambazo ziko nje ya uwezo wa pande za mkataba na uwepo wake u affect muda wa mradi( eg. Shutdown ya Corona)
Kifupi fidia siyo an automatic button kuna test lazima i qualify
 
Hiyo pesa afadhali wangewalipa Kipunguni A malipo ya fidia wangeshukuru na kuwapa kura 2025
 
Kwa mara nyingine tena Tanzania imeshindwa katika kesi ya madai iliyofunguliwa na Kampuni ya Australia inayoitwa Indiana Resources inayojishughulisha na uchimbaji wa madini ya nickel katika Mahakama ya Usuluhishi ya Benki Kuu ya Dunia. Mahakama hiyo imeiamuru Tanzania kulipa fidia ya dola za Marekani milioni 119 ( Sawa na zaidi ya Tshs bilioni 309) na riba ya dola milioni moja kila mwezi hadi fidia itakapolipwa. Hukumu hiyo imetolewa jana tarehe 8 February 2024.

Indiana Resources ilifungua kesi katika Mahakama hiyo mwaka 2017 baada ya serikali ya Tanzania kubatilisha leseni ya kuchimba nickel maeneo tofauti nchini.

Katika hukumu yake Mahakama hiyo inayojulikana kama ICSID - International Center for Settlement of Dispute imesema ilikuwa kinyume cha sheria kwa Tanzania kubatilisha leseni na hivyo kuamuru Tanzania kulipa dola milioni 112.9 kama fidia na dola milioni 4.2 kama gharama ya kuendesha kesi.

𝗟𝗘𝗚𝗔𝗟 𝗜𝗡𝗦𝗜𝗚𝗛𝗧

𝗛𝗼𝘄 𝗙𝗲𝗹𝗲𝘀𝗵𝗶'𝘀 𝗹𝗼𝘀𝘁 𝗰𝗮𝘂𝘀𝗲 𝗶𝘀 𝗰𝗼𝘀𝘁𝗶𝗻𝗴 𝘁𝗵𝗲 𝗴𝗼𝘃𝗲𝗿𝗻𝗺𝗲𝗻𝘁 $𝟭 𝗺𝗶𝗹𝗹𝗶𝗼𝗻 𝗲𝘃𝗲𝗿𝘆 𝗺𝗼𝗻𝘁𝗵

February 8, 2024

𝑩𝒚 𝑻𝑩𝑰 𝑹𝒆𝒑𝒐𝒓𝒕𝒆𝒓
Dar es Salaam

A World Bank court has summarily dismissed most of Tanzania’s grounds for annulling an award of $119 million (over TZS 309 billion) to an Australian nickel miner.

But the decision of Tanzania's Attorney General Eliezer Feleshi to continue seeking annulment of the award in a case which independent legal experts agree the government simply cannot win is costing the country about $1 million every month in interest.

Indiana Resources filed the case against Tanzania at the International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) after the government cancelled it's mining retention licences following the 2017 mining law overhaul.

ICSID, which handles international investment disputes, ruled that Tanzania's expropriation of the licenses was unlawful and awarded Indiana Resources $112.9 million in compensation.

An additional $4.2 million was awarded to the investor company to cover the costs incurred during the arbitration process.

The award accrues a monthly interest of about $1 million until the Tanzanian government makes the payment or equivalent Tanzanian assets are seized by Indiana.

In December last year, Tanzania's Attorney General sought annulment of the ruling.

The process of determining Tanzania's request for annulment is still ongoing and could continue for several more months, with ICSID having rejected two out of three of Tanzania's grounds for annulment.

Currently, the only remaining complaint for consideration is related to alleged procedural violations, which Tanzania stands virtually zero chance of winning.

A series of court filings and counter-filings are scheduled through mid-2024, concluding with a pre-hearing meeting and a potential hearing.

As the annulment process drags on, the financial liability for Tanzania continues to mount, increasing by a whopping $1 million (TZS 2.6 billion) every month.

During hearing of the case, Indiana's lawyers tore apart the testimony of Tanzania's key witness, Prof. Abdulkarim Mruma, who is one of the country's top geologists, exposing the weakness of the government's case.

Meanwhile, there are several other similar cases against Tanzania before ICSID filed by other foreign mining companies seeking compensation for cancellation of their licenses, with a similar outcome likely awaiting the government.

Should Feleshi continue with the ill-fated annulment process or should the Tanzanian government just cut its losses and pay the Australian miner?

That is, quite literally, the 1 million dollar question.
 
Msemo umetimia.

Awamu hii yupo bibi watu wanajipigia tu mihela.

..msimlaumu Samia ktk suala hili.

..kesi tuliyoshindwa imetokana na maamuzi ya Magufuli, akishauriwa na Prof.Kabudi, na Prof.Kilangi.
 
Kwani kuna wapuuzi walitegemea judgement tofauti na hiyo??
 
Wewe malaya wa Lumumba Etwege umeipata hii ya MIGA?
Huyo mwendawazimu Jiwe alikurupuka kufanya maamuzi kama mtu anayeogea nje leo kodi zetu zinapotea kijinga kisa wanasiasa wajinga wajinga
Shabhashhhh!
 
Wewe malaya wa Lumumba Etwege umeipata hii ya MIGA?
Huyo mwendawazimu Jiwe alikurupuka kufanya maamuzi kama mtu anayeogea nje leo kodi zetu zinapotea kijinga kisa wanasiasa wajinga wajinga
Shabhashhhh!

Etwege hawezi kutia pua kwenye hili, maana yeye ni mmoja wa waliotekwa na uzalendo uchwara wa dhalimu Magu.
 
Waliotaka kumuua Lissu wanaendelea kuoza
 
Wakati kichaa wenu jiwe anavunja mikataba halali kishamba mlimshangilia
Tulieni dawa iingie damuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…