kwakina itafakari
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 739
- 1,657
Hakika mkuu, kuna muda unaona fedha haina tena umuhimu wala msaada wowote ule.Dah, homeboy Bashungwa yupo kwenye very complicated situation.
Kwasababu tuhuma nyingi ni kwa Polisi iliyochini yake sioni atapona vipi.
Wakati mwingine bora kukaa mbali na siasa utafute ugali kwa njia za kawaida.
Mashahidi muhimu waliuliwa au kuhongwa; kesi ikakosa miguu!Huyu mtu na watu wake wa karibu wanastahili kufikishwa ICC na wahukumiwe,
Swali: Kesi ya William Rutto na Uhuru Kenyatta iliishia wapi?
Anavyopenda raha sasa. Sijui itakuwaje! Na alipania kweli kuingia awamu hii ili ale raha bibi wa watu.. pembeni akiwa na Angela Kiziga!Kwa ufupi wakikutwa na hatia siku akinyanyua mguu wake kwenda nje ya mipaka ya Tanzania atakamatwa. Pona pona yake ni kubakia nchini...
Hivyo basi ule u Vasco da Gama hautokuwepo tena kwake....
Tena Commander-in-Chief aliyejitangaza mara nyingi sana kabla ya mauaji hayo kuwa yeye ndiye yeye na atavitumia vifaa vyake kufanya hayo yaliyo fanyika; na matokeo yake ndiyo hayo yanayoshughulikiwa.(polisi, TISS, etc) against civilians ambapo yeye ni commander in chief alikuwa na uwezo wa kuvizuia.
Ndio tujionee aina ya vikosi vya ulinzi na usalama tulivyonavyoNazani waliokuwa wanapiga watu walikuwa wendawazimu mtu timamu huwezi kuua watu kwa mtindo ule katika zama hizi za teknolojia
Swali zuri sanHuyu mtu na watu wake wa karibu wanastahili kufikishwa ICC na wahukumiwe,
Swali: Kesi ya William Rutto na Uhuru Kenyatta iliishia wapi?
Huyu Mwigulu sijui kwa nini haelewi kuwa sisi sio wajinga. Hawa ndio wanaomuaminisha mama wa watu kuwa Watanzania bado ni wajinga, wamelala. No wonder kuna upumbavu mwingi unaendelea kwenye serikali yao, maana huyu mama kazungukwa na aina ya watu kama Mwigulu.Washaanza kusema wale KMKM sio watanzania na walikuwa wanaua polisi na raia
Huyu Mwigulu nilikuwa sielewi watu wanapomdharau ila sasa naelewa. Anaropoka ropoka hovyo, akiona ndio anajenga kumbe anazidi kubomoa!! Mmmh huyu ile tuhuma ya kuiba jina ili aende sekondari ni kweli! Aache kuona Watanzania ni wajinga jamani, huwa tunaelewa sana vitu, sema ni wa kimya. Ile hali ya tarehe 29 October ilitakiwa iwape funzo, ola wanajitoa fahamu tu.Kwa akili zake akaona hiyo kauli ni nzuri kuisema jukwaani?
Walahi viongozi wa hii nchi ni ama wana upungufu wa akili au wa exposure.
Hiyo kauli hailiokoi jeshi la polisi wala uhamiaji kwenye hii saga, Na pia aliyetoa amri ya lockdown na kuzima internet hawaokoki kwenye hili, yote tisa la kumi aliyetoa amri ya risasi kupigwa ( Hayo yote yamewapa nguvu hao wahuni/Wageni) Kama walikuwepo kweli.
Viongozi wakubali kuandika speech na wafuate script wanapokuwa majukwaani, Kauli zao zitawawajibisha kama sio leo ipo siku.
Kuna yule mwingine alisema kwenye issue ya risasi 21 alizopigwa TL “Sisi tukiwatuma askari wetu hawawezi kuchezea risasi zote zile… ni ama moja au mbili ….!!!!!
Kazi kubwa vipi wakati picha za satellite zipo nyingi, na baadhi ya video na picha zinaonyesha sura za wauaji?Watakana ushahidi na ICC watakua na kazi kubwa sana kuthibitisha kwamba hizo videos na picha ni kweli zilichukuliwa Tz.
Moja kati ya viongozi wabovu tumewahi kuwapata Tz ni huyu, fuatilia vitu gani vimembakiza kwenye nafasi za uwaziri hadi leo.Huyu Mwigulu nilikuwa sielewi watu wanapomdharau ila sasa naelewa. Anaropoka ropoka hovyo, akiona ndio anajenga kumbe anazidi kubomoa!! Mmmh huyu ile tuhuma ya kuiba jina ili aende sekondari ni kweli! Aache kuona Watanzania ni wajinga jamani, huwa tunaelewa sana vitu, sema ni wa kimya. Ile hali ya tarehe 29 October ilitakiwa iwape funzo, ola wanajitoa fahamu tu.
Yani huyu mama jamani kiburi kilimzidi hasa. Akawa anaona hadi sifa kujidai hasikii la mtu. Sijui tu ni damu za watu zile za kupitia kwa Mafwele au ni nini ndio zilikuwa zinampelekesha??! Alikuwa anazidi kuwa katili halafu kwa mda mfupi sana. Mwisho wa ubaya kwa kweli ni fedheha.Tutashinikisha waende hapa hakuna ukaidi hii ya kwao ni tofauti na sudani make kule ilikuwa makundi ya kikabila na vikosi vya serikali hapa kwetu wameua wenyewe,sometimes unawaza hivi hawa wakwetu waliwaza nini kuua watu vile kiholela tena hadharanj ina maana huko majeshini hamna msomi anayejua sheria za kimataifa zinakataza kupiga mtu risasi asiye nq sulaha??? Angalia kama ile picha ya mwanamke wa arusha aliyekuwa anakimbia watajiteteaje sasa
Walahi kwahili Kikwete kampiga tobo Samia. Alafu anavyomfariji kinafiki huku akijua kizimkazi yupo maji ya shingo. Mama aumia iweje yeye tangu uhuru ndio amwage damu kiasi hiki.
Walahi anajutraa. Wahuni wanamsukumizia kwenye shimo la choo, Kikwete aseme yeye hana cheo chochote huko serikalini.
Hahusiki na mambo yayo. Nye nye.
Her acts weren’t only heinous but also grossly willful. It’s hard to imagine that she gets away with this!
hamna kesi hapo wanajipotezea muda waanze na netanyau na sudan hukoWalahi kwahili Kikwete kampiga tobo Samia. Alafu anavyomfariji kinafiki huku akijua kizimkazi yupo maji ya shingo. Mama aumia iweje yeye tangu uhuru ndio amwage damu kiasi hiki.
Walahi anajutraa. Wahuni wanamsukumizia kwenye shimo la choo, Kikwete aseme yeye hana cheo chochote huko serikalini.
Hahusiki na mambo yayo. Nye nye.