PostGE2025 Wanasheria watinga ICC na kufungua kesi dhidi ya Rais Samia na wakuu wa Vyombo vya Usalama Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sijui kwann wanachelewa, mbona maushahidi yapo meengi na ya kutosha?!.

Huyu pamoja na kwamba hatafungwa, kitendo tu cha kuburuzwa mahakamani kwa mauaji dhidi ya raia wa Tanganyika ni aibu & fedheha kubwa kwake binafsi na cccm kwa ujumla!.
Jamaa wanafanya kazi zao very professional, huwezi ukamkamata mtuhumiwa kama bado ushahidi haujakamilika (hili ni somo kubwa kwa PT). Let's wait and see.
 
Sidhani kama kutakuwa na impact kiivyo kwa sasa sanasana kama kweli kesi ikianza watatumia kodi zetu kutafuta mawakili wakubwa duniani wawasimamie.

What do you mean Hakutakuwa na impact? The evidence against her is staggering. Huku nyumbani ana face opposition kubwa kutoka kwa raia, anahitajika kwenda mahakamani, siasa za ndani zinapamba moto…hiyo tu itampa tabu.
 
Jamaa wanafanya kazi zao very professional, huwezi ukamkamata mtuhumiwa kama bado ushahidi haujakamilika (hili ni somo kubwa kwa PT). Let's wait and see.
Tanpol nao wangekuwa wanafanya hivi watu wengi wasingesota lumande bila sababu ya msingi

Inauma mtu anakaa lumande miaka mitatu au mitano kisha anakuja kuonekana hana hatia
 
Amen!
 
Sijui kwann wanachelewa, mbona maushahidi yapo meengi na ya kutosha?!.

Huyu pamoja na kwamba hatafungwa, kitendo tu cha kuburuzwa mahakamani kwa mauaji dhidi ya raia wa Tanganyika ni aibu & fedheha kubwa kwake binafsi na cccm kwa ujumla!.
Sure thing
 
Mayi! Maneno ya Polepole yanaenda kutumia walahi. Maskini zigo lote ataachiwa Samuya na line ya juu. Mwanzoni watajitia kuwa pamoja naye lakini mbele maji ya shingoni watamtelekeza mwenyewe na genge lake. Chikwete hapo lazima amtose mtu kilindini. Mayi wee. Dunia walahi haina huluma. Mzaha mzaha Samuya ndani ya nyavu. Wajua hata wengine waliotiwa jela walikuwa kama yeye. Hawakuamini watanyea ndoo. Nye Nye Nye kwa umri ule kunyea ndoo woyiii! Na bado
 
Hawataweza. Ni lazima tuwaone wamevaa vinasa sauti ndani ya mahakama ya icc wakiwa kama watuhimiwa.

Hakuna kujuana wala rushwa.

Samia alisema hakuna nywinywinywi sasa ICC nayo haitaki nywinywinywi.
🤣🤣🤣🤣
 
Tz Ipo kwenye target za USA !?
 
Nikama ICC inachewa aisee
 
Ukiona mpaka ICC imeanza kufungua jalada ili kesi ianze ujue wamesharidhika na ushahidi waliopokea.
Ile documentary ya CNN ndiyo msiba zaidi Kwa samuya kwasababu dunia yote imeona hasa Ile ishu ya mass grave kule beach
Ile makala ni ngumu sana ni basi tu wanajitia upofu ila Wana lala hoi huko walipo Kila wakifikiria yajayo Wana zidi kuchanganyikiwa.


Hivi kwanza waliwaza nini kufanya Yale massacre!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…