Wanaume, acheni kulazimisha utiifu kutoka kwa wanawake!

It’s hard for some people to process nuance. That’s too much brain-work for them.

To them, it’s much easier to think within the confines of dichotomous thinking. Not outside of it.

Lately I’ve been seeing an increase in misogynistic and misandristic topics, with little to no nuance at all.

That’s why it seems like there is a low-key gender war going on.

Navigating the contours of nuance must be a tough mental exercise for many….
 
Undava undava tuu kitaelewwka huko mbeleni maana mmekuwa kichwa ngumu
 
Kha! Sasa hii lugha yenu ya mzungu ndio mnatuchanganya na sie bodaboda wapenda jf. Ebu ongeeni englisha ya fomu fooo tupate kuelewa
 
The sad thing is, where a nuanced and qualified response would do much to shine light on the misogyny/ misandry, an unnuanced, or at least insufficiently nuanced response is perpetuating essentially the same ignorance of generalization and false dichotomies.
 
Mbona kawaida tu 😀.
Utaambiwa "That's your privilege talking".

Nilijitetea kwamba "Mbona hiki cha "Newsweek" bado sijatumia cha "The Economist" na "The New Yorker", nikaambiwa hivyo.

Yani watu wanataka wewe u dumb down uwezo wako ili uende sawa nao, badala ya wao kujiongeza waende nawe.
 

Mwanamke hawez kutumikia master wawili. Mmoja atamzidi nguvu, na kwa bahati mbaya master mmoja common anaitwa career,kazi,bosi. How do it know, i have been there
 
Ni kweli kabisa mahusiano ya kudumu ya sikuhizi yamekuwa kama sehemu ya kutaka kunyooshana(kubadilishana) inasikitisha sana, Unapo deal na mwanaume inakupasa automatically ujue una deal na Kiongozi, hakuna kiongozi anayependa kuona mamlaka yake yana dogoshwa (mambo ya haki sawa) kwa namna yoyote ile, Principle ya kwanza unapo deal na kiongozi yeyote yule ni kuwa mnyenyekevu na Mtiifu, ukilielewa hili hautopata tabu kudeal na sisi wanaume, ukiona upo na mwanaume asiye demand hivyo vitu viwili jua umeingia cha kike, kupitia unyenyekevu na utiifu wako unaweza ukamlaghai mwanaume kadiri upendavyo. Unapoleta Jeuri mwanaume atatumia namna yeyote ile kukuonyesha kuwa yeye ni MWANAUME, Vivyo hivyo mwanaume anapo deal na mwanamke inampasa ajue nafasi ya mwanamke ni ipi kwa maana kiongozi ukiwa na sifa mbovu hata wanaopaswa kukutumikia watakudharau.
 
Nyani kama nyani 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…