Wanaume, acheni kulazimisha utiifu kutoka kwa wanawake!

Mwanamke kama hajakupenda hata uwe tajiri namba moja duniani kamwe hawezi kukutii wala kukuheshimu.
 
Nshaona, lakini mwanamke hapendi na kutii sehemu isiyo na maokoto hasa wanawake wa mjini. Wanatafsili upendo wakweli ule unaombatana na maokoto na si upendo peke ake kama alivyosema mkuu Extrovert .

HAPANA sio kweli hata wanawake wa mjini wapo wenye mapenzi ya kweli kwa wanaume wanaowapenda ambao hawawezi hata kuomba hela kwa wapenzi wao mwisho wa siku wanaishia kuwachuna hao wasiowapenda tu.
 
Kwahiyo wanaoishi na mafeminist ni aliens ama???[emoji849][emoji849]
Wanavumilia kwa sababu ya watoto na sheria ya ndoa ambayo ni kandamizi kwa mwanaume. Kama nchi tulifanya kosa kubwa sana kuipokea hii ideology ya 50/50 na kuwaachia hawa mafeminist platform kubwa ya kupandikiza ujinga kwenye vichwa vya wanawake.
 
Ofcourse not!

I believe in partners supporting each other, with one compensating when the other is not at their best. Iwe financially, emotionally, sexually or any other -ly! Tatizo linabaki kuwa, kama uko kwenye mahusiano na mtu ambae lengo lake ni kukutumia. Lazima uki-fail kufikia mahitaji/matarajio yake na yeye ama atapunguza kukupa uliyokua unapata kutoka kwake, ama ataacha kabisa!
 
😁😁😁

Umesomeka loud 'n clear Kiranga.
Will do my best to avoid them broad generalizations!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…