Wanaume, acheni kulazimisha utiifu kutoka kwa wanawake!

Wanawake hawajawahi kuridhika. Watataka tena na tena.

Na bahati mbaya sana, maisha haya yanapanda na kushuka. On your downfall, wanawake wanakosa uvumilivu.

Sawa, we receive by giving, but what if kwa muda huo mambo doro? Should a woman stop being submissive just because I'm not kwa nafasi nzuri kwa wakati huo? Hayo ni mapenzi gani????
 
Sasa nimekuelewa, asante. They must know wahenga walisema "kitunze kidumu" watu wanataka kidumu bila kutunzwa.
Umeonaeee, halafu mimi ninavyojua au kujijua, kitu unachokipenda ukikihudumia hauwezi umia hata kidogo
tatizo linakuja kwenye hizi fake love, yaani ni mtiti kweli kweli ndo maana malalamiko hayaishi
 
Ninavyojua wanawake, i mean yule aliyekupenda just unconditional, ukimpenda same utafurahia mema ya nchi
tatizo linakuja kwenye hizi fake love, watu kuigiza kumekuwa kwingi hata huwezi jua nani anaigiza na nani ni mkweli
tuendelee kuomba tu Mungu atusaidie
 
umeongea point kubwa sana, bila hivi tutaendelea kulalamika tu
 
Hao wanaopenda unconditional ndio hawapo. Hata hapa jf wanawake wanajikuta innocent and decent ila nyuma ya pazia ndio wale wale kausha damu ambao wapo after money, suala la mwanamke kuyaangalia mapenzi ukiwa na expectations za kupata hela kutoka kwa mwanaume kwa kusema kweli hapa ni wanawake wachache sana wataukwepa huu mtego, usidanganyike kabisa na sound za wanawake wa jf hawapo kama ambavyo wanajinasibu hapa.
 
Muumba alisema Wanaume (vichwa) wapendeni wake zenu na wanawake watiini waume zenu.Upendo wa kweli ukiwa nao kwa mkeo au mwenzi wako automatically atakutii bila shurti, wengi wanataka bila kuingia gharama ya kumpenda unconditionally hapo sasa ndo kunakuwa na mvutano na mind games nyingi.
 
Hizi mada muwe mnaziweka na qualification, caveat emptor, context kwamba mnajikita kuwaongelea wanaume wa aina gani, nuance.

Ili kuondoa muonekano kwamba mmelundika wanaume karibu wote kwenye kundi moja.

Kitu ambacho kinaweza kufuta points nyingi nzuri ulizotaka kuwakilisha, na kutengeneza a very unnecessary gender war.

Ukishaona kauli za jumla kama "wanaume ni..." au "wanawake ni..." apart from a very narrow set of statements that stays in the definition domain, most times unakuta kuna an absolutist, unfounded generalization.

Nikijiangalia mimi binafsi kama mwanamme naona umenionea sana kuniweka kundi moja na watu wengi unaowazungumzia hapo, kwa sababu siko hivyo.

But then again, I am not your regular Joe. I was top of my class everywhere I went, I was hanging out on the floor of The New York Stock Exchange at the beginning of my career. I got cribs from Oysterbay, New York to Oysterbay Dar es salaam. Enough about me.

But, that's my point.

Be specific enough to exclude some of us enlightened gentlemen who are past this level of medieval mediocrity.

Else, we will start to think you are just being bitter against all men.

A few - or even many- misogynistic posts here do not represent all men, not even all Tanzanian born men.

I am proof of that. These people do not represent me.

I feel like being caught in an episode of that show called "I'm A Celebrity, Get Me Out of Here".

 
But then again, I am not your regular Joe. I was top of my class everywhere I went, I was hanging out on the floor of The New York Stock Exchange at the beginn9ng of my career. I got cribs from Oysterbay, New York to Oysterbay Dar es salaam. Enough about me.

Hii panch ipo ki Hip Hop sana hara Rapper tokea kokote Duniani amaweza itumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…