Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Sahihi kabisa, na uzuri huwa nasema waziwazi.
Kaka mzuri ndiye Prince Charming wangu ❤️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisa, na uzuri huwa nasema waziwazi.
Ngoja nisave hiiDr Lizzy Siku zote huwa unaongea facts, kila neno uliloandika naunga mkono 100%
Niwe mkweli, sijawahi kuwa na utii genuine kwa mwanaume maisha yangu yote kama ilivyo sasa kwa kaka mzuri, sipingani nae katika mengi, ni mara chache mno na ni pale ninapoona kabisa kwamba hili sio sahihi.
Kupitia yeye nimegundua kila mwanamke ni mtiifu kwa mwanaume anayempenda kweli, na mwanaume huyo akawa muungwana asiye na chembe ya shaka juu ya upendo wake kwako. Yani kwamba akisema kitu kwa kuwa unajua anakupenda unaona kitakuwa chenye manufaa/sahihi.
Lakini kwa mwanaume mbabe, asiyejali kwakweli asahau utii wa kweli kutoka kwa mwanamke. Huwa tunawadanganya kutii ila kiukweli ni tunawapuuza kuepusha ugomvi.
Still kuna watu hawatoi huduma bila kuombwa, yaani furaha yake asikie anaombwa hela ya kusuka, nk. Sasa mtu wa hivi mdada asipoomba hela kwake ataipataje?Anayekupenda kweli kweli kabisa, atakulinda, atakutetea, atakupa uhuru, atakuonya na atakuficha Na hata kuomba fedha..maana wewe ni wa thamani kwake. Na hiyo ndio heshima... Sio kusikiwa tuu hata kusikia kwa watu wawili wanaopendana huo nao ni usikivu
Mwanaume akijua unamtii na hujatanguliza shida zako mbele atakuhudumia kadri ya uwezo wake, bila hata kuomba. Ukiona hakupi basi anavipaumbele vingine vya msingi kuliko shida zako.Still kuna watu hawatoi huduma bila kuombwa, yaani furaha yake asikie anaombwa hela ya kusuka, nk. Sasa mtu wa hivi mdada asipoomba hela kwake ataipataje?
upewe maua yako faster, you nailed it Dr 🥰Hello guys, bado tupo January, so Happy New Year!!
Ni muda sasa nimekua nikisoma na kusikia wakaka mnavyolaumu wanawake kukosa utii na heshima kwenye ndoa na mahusiano, kuwa jeuri sana na kuendekeza gubu.
Imefika mahali elimu na mafanikio ya mwanamke ndio vinaonekana kuwa chanzo cha matatizo haya, pamoja na mengine mengi.🙁
Binafsi sikubaliani nanyi hata kidogo.
Utii hauletwi na mtu kutokua "msomi"! Utii, kama vitu vingine vingi ambavyo hutolewa kwa hiari huwa havitolewi isipokua pale muhusika anapoonekana anastahili.
You can instill fear on a person, ukanunua nidhamu ya uongo, ngono, mapenzi ya kinafiki and so on...ila upendo, utii na kujaliwa ambako ni halisi (real/genuine) hutolewa kwa hiari, na hiari haishurutishwi hata siku moja. Si kwa mazingira (circumstances), uhitaji, pesa, hofu, wala nguvu ya mtu.
Tatizo linakuja pale mnapotaka kuchukua bila kutoa. Trust me, you can not take without giving!!
Wanaume nyie mnataka tuwapende, mnataka tuwajali (mbembelezwe na kupetiwa petiwa), tuwaheshimu, tuwatii, tuwasikilize, tuwa-appreciate etc. , ila nyie mnafanya juhudi gani kututengenezea mazingira/ kutuweka kwenye position ya kuwapa hayo yote na zaidi bila kujiona wajinga? Pengine tunafelishana in the sense that hamna anaetaka kuonekana mnyonge, nyie mnatuonyesha ubabe kwahiyo na sisi tunawaonyesha jeuri.
Hii pia inatokana na the fact that kuna baadhi wanakuwa na watu ambao sio sahihi kwao, either kwa tamaa, uzembe ama haraka ya kuingia kwenye mahusiano. Mtu wa hivi hata umbebe mgongoni, it will never change the fact that HAKUPENDI! Anaweza akawa anakuhitaji kwa sababu moja ama nyingine, but that's pretty much it.
Ukweli ni kwamba, ukiwa na mtu sahihi kwako na ukam-treat vizuri, she'll naturally become your peace...and vice versa!
Tukiacha kushindana, kila mmoja akaanza kumpa mwenzie kila anachoweza kumpa without conditions, judgement, or holding back, maisha yatakua rahisi sana.
Kama huwezi kusema huku majukwaani usipoteze muda Mkuu.Iko siku nitakufuata pm nikutoe dukuduku🙂
Point ni kwamba mwanamke anaekupenda hata kuomba fedha kiholela Nifah embu tia neno apa ni kweli au si kweli??Still kuna watu hawatoi huduma bila kuombwa, yaani furaha yake asikie anaombwa hela ya kusuka, nk. Sasa mtu wa hivi mdada asipoomba hela kwake ataipataje?
Umejibu kama vile unamjibu mwanamke 😃Mwanaume akijua unamtii na hujatanguliza shida zako mbele atakuhudumia kadri ya uwezo wake, bila hata kuomba. Ukiona hakupi basi anavipaumbele vingine vya msingi kuliko shida zako.
I missed this point. Okkuomba fedha kiholela
Wewe unamuona huyo ana akili timamu? Mimi nasema yeye anapinga, yani anapingana na hisia zangu 🤣🤣Nifah njoo ujibu hili!!
Itakuwa anazijua hisia zakoWewe unamuona huyo ana akili timamu? Mimi nasema yeye anapinga, yani anapingana na hisia zangu 🤣🤣
Wewe amini nilichokisema mimi, not otherwise.
Samahani mkuu nilijua ni ke.Umejibu kama vile unamjibu mwanamke 😃
Hilo swali limetokana na uhalisia fulani. Kuna workmate wangu ana hilo tatizo tena kwa mke wake wa ndoa kwa vitu vya msingi. Hivi mwanamke wa ndoa sio kipaumbele kwa mmewe?
Etii eeeh? Bas sawaa.Ukubali utakuja
Well, kusuka nimetumia tu kama mfano, halafu sizani kama mwanamke wa ndoa anaweza omba hela ya salon huku anajua home hakuna chakula.Samahani mkuu nilijua ni ke.
Mwanamke wandoa nikipaumbele Kwa mumewe, lakini mnapoishi ishi pamoja ela yakusuka sio jambo Muhimu kama ela yakula haipo.
Katika mjadala ambao siupendi ndio hayo masuala ya kuombana pesa katika mahusiano, ni mambo ya kipumbavu sana.Point ni kwamba mwanamke anaekupenda hata kuomba fedha kiholela Nifah embu tia neno apa ni kweli au si kweli??
Swali langu halikuhusu kuomba pesa kama sehemu ya mahusiano. Swali langu lilihusu mwanamke ambae yuko kwenye ndoa kuomba pesa kwa ajili ya matumizi yake ya msingi kama kununua nguo nk.Katika mjadala ambao siupendi ndio hayo masuala ya kuombana pesa katika mahusiano, ni mambo ya kipumbavu sana.
Hakuna uhusiano wowote kati ya mapenzi ya kweli na pesa. Mwanamke hawezi kusema anampenda mwanaume kiukweli sababu ana pesa, ni uongo.
Na mwanaume hawezi kusema anapendwa kiukweli sababu ana pesa, ni uongo pia.
Ufike wakati tutenganishe haya masuala, wenye ajenda hizo wana maana nyingine tofauti mapenzi.
alrightKatika mjadala ambao siupendi ndio hayo masuala ya kuombana pesa katika mahusiano, ni mambo ya kipumbavu sana.
Hakuna uhusiano wowote kati ya mapenzi ya kweli na pesa. Mwanamke hawezi kusema anampenda mwanaume kiukweli sababu ana pesa, ni uongo.
Na mwanaume hawezi kusema anapendwa kiukweli sababu ana pesa, ni uongo pia.
Ufike wakati tutenganishe haya masuala, wenye ajenda hizo wana maana nyingine tofauti mapenzi.
sio lazima awe kwenye ndoa, hahahah kama unampenda mwanamke wako utampa tu hela ya matumizi kwa moyo mmoja bila kuwaza unahongaSwali langu halikuhusu kuomba pesa kama sehemu ya mahusiano. Swali langu lilihusu mwanamke ambae yuko kwenye ndoa kuomba pesa kwa ajili ya matumizi yake ya msingi kama kununua nguo nk.
Umejibu bila kusoma comments zilikotoka.sio lazima awe kwenye ndoa, hahahah kama unampenda mwanamke wako utampa tu hela ya matumizi kwa moyo mmoja bila kuwaza unahonga
hii dhana ya kuwaza unahonga ndio inaumiza wanaume wengi, na kuna wanaume bahili hadi huruma
unashindwa nini kumhudumia mwanamke wako kwa uwezo wako uliopewa na muumba? mimi huwa nashangaa sana sana