KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,320
Kweli kabisa, naona hata bungeni wanasema wanadhalilishwa, wakati walikubali masharti hapo kabla ya kuwa wabunge.Hahaa hawajui tu huwa wanajishushia thamani yao Sana... Halafu ikitokea waka fanyiwa vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia wana andamana wakati wao mwenyewe ndio wanao jikaribishia hayo matatizo ...ukisha amua kuwa mtumwa wa fedha kubali pia na kudhaliishwa
Shukrani,Umeongea mapoint point mengi ,hasa apo kwenye kua ni wasikivu sana, kua nae karibu ni bonge la credit kwake .Ukiona katanguliwa na wadada yeye kawa wa mwisho jua kuwa mind yake ilisetiwa kulelewa na kuongozwa. Usikae ukasubiri akuoneshe kukujari Pasipo ww kumwambia.
Ushauri hapo ni kuongea usimuonee aibu usipo muongoza jua yy atojiongoza, chochote utacho itaji tooa kwake mwambie usisubili akuulize.
- wanapenda sana kujariwa wao kuliko wao kujali wenzao; sio kwamba awajali hapana wanajali ila hawajui kuonesha physically kuwa wanakujali ama ku- appreciate juhudi zako physically. Hii kwa sababu ya mazingira aliyo kulia yalikuwa hayamjengi kuwa responsible kwaajiri ya hisia za mwingne directly naisi ata ww unajua si rahisi dogo kumbembeleza dada yake ila atataka yeye abembelezwe na dada akilia.
- Mara nyingi uwa ni watu wa lawama sana kuwa uwajari ama uwapendi ata kwa kisa kidogo ila niwasikivu sana. Sasa nijukumu lako ww kuwa unamwambia ukweli unapoitaji kitu toka kwake usisubiri yeye ajiongeze. Anaweza kukuita alaf hakupi nauli mwambie ukweli kuwa sina nauli ama ninashida hii. Yeye kukuona upo karibu naye ndio kujari kwake huko mambo mengne akiri yake itaona upo sawa tu. uamini siku moja uje umwambie "kila siku nakuja kwako ata unipatii nauli" jibu zuri utaambiwa "kwan uliniomba nikakunyima" ama "mm najua uwa unayo kila siku" kwa sababu yy kaakulia mazingira ya kujaliwa sio yeye kujari wengine
Tambua ana badirika ukiamua kumbadili. Leo niishie hapo
Kama bipi hivyo?Inaonekana haujui unachofanya,huyu ukimfanyia vitu exception atakuwa anakupa hela bila kumuomba!!
Noted with thanxs 🙏Kifupi, 'mpenzi' wako hana wajibu wowote kwako hasa wa kifedha isipokuwa pale atakapojisikia kufanya hivyo, na afanye kwa hiari.
Kukupa au kutokukupa ni hiari yake, hivyo tambua kuwa mpaka sasa hajaamua kufanya hivyo, na akiamua atafanya tu. HIARI HAILAZIMISHWI.
Zingatia hili, kutokukupa pesa au kutokukununulia zawadi/vitu, sio kigezo cha kupima uwajibikaji wake kwenye familia mbele ya safari. Jiulize, je mbali na hayo uliyoeleza, hakuna wajibu mwingine usio wake huwa anatekeleza?
Najaribu kudhani, yawezekana hamajazungumza au amesahau vitu upendavyo ikiwemo kujaliwa...au tabia yako ya kutokuomba/kumkumbusha juu ya upendavyo inamfanya aone umejitosheleza kwa kila kitu.
Jaribu kufanya hivi, mtekelezee yeye yote ambayo hakutekelezei. Mfunze kwa vitendo, ndio utajua ukweli wa kwanini hafanyi hivyo.
Hongera kumbe u-muelewaNoted with thanxs [emoji120]
HahahahaNature ipi mkuu, embu elezea logically nature kivipi, nani ametaka iwe nature makubaliano yalihainisha nini na nini
Yaani wewe kutaka kupewa hela usiyoifanyia kazi ilihali hauna tatizo lolote mental and physical, unadai ni nature
Kwanini badala yake usiombe kazi akutafutie kazi, akukopeshe hela ufanya biashara?
Emancipate yourself from mental slave
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo utakuwanayo unakosea Mimi mtoa mada sijalalamika kwamba hanihidumii, jaman hata appreciation kwamba huyu mwanamke nimemuomba tukutane anaweza kuwa kaacha shughuli nyingine myhimu lakini kakubali kuja, basi ata umjali kwa nauli, anajua mpenzi wake kwa Sasa Hana kazi, ata Kama unatetea huu ni ubinafsi was kiwango Cha juuKungekuwa na option ya dislike ningedislike huu ushauri wako
Bro unayajua madhara ya kumhudumia mwanamke ambae hujamuoa bado?
Wewe Ni mwanaume kweli?
Wapi haswa?Umeelewa vibaya
Kweli kabisa jamaa ni mselfish ,Hata asipange kumuoa, unafikiri anachomfanyia huyo binti ni sahihi?
Kama huyo binti hana thamani na pesa yake ni muhimu basi apige punyeto maana haina gharama kwani anaweza kutumia hata mate kwakuwa hata hiyo sabuni ni gharama.
Umeongea yote , ubarikiwe🙏 Tena utakuta anadai mkeshe,😂Wanaume mwenzangu, Mwanamke kukuvulia nguo na kukupa kitumbua chake ni amekupa heshima kubwa sana. Tuwarudishie heshima kwa kuajali.
Anaumia, anachoka, anavuja jasho unavyomshindilia ukuni, tuwafute jasho kwa Ahsante ya soda, nauli.
Kama ni mpenzi wako ni vema ukamjali angalau kwa vocha, nauli, urembo apendeze.
Sasa unataka nyapu bure hutoi Asante, huo ubahili ni vema ununue mche wa sabuni upige punyeto.
Kama huna kazi, jamaa hakufanyii fare.Hapo utakuwanayo unakosea Mimi mtoa mada sijalalamika kwamba hanihidumii, jaman hata appreciation kwamba huyu mwanamke nimemuomba tukutane anaweza kuwa kaacha shughuli nyingine myhimu lakini kakubali kuja, basi ata umjali kwa nauli, anajua mpenzi wake kwa Sasa Hana kazi, ata Kama unatetea huu ni ubinafsi was kiwango Cha juu
Mie sijui mkuu
Wanaolalamika ni wengisasa tatizo la hao wanaolalamika linawetuathiri vipi sisi tusiolalamika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh mbona kama nshawah kutana naye huyo faza ati nimeenda kwake akaniulza una nauli?nkamwambia nnayo ndio,njiani nkawaza hyu vp nkamkatilia mbaliYaan huwezi amini, anakuaga na unaondoka Kama ulivyokuja, sijawahi ona hi, na akikuaga anakwambia ukifika nijulishe[emoji4]