Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Ndo mumwambie kwa upole sasa😂😂😂
 
Huyu wangu ni sikio la kufa labda mnafanana ndo maana unantetea
 
Ndo mumwambie kwa upole sasa😂😂😂
Atajua mwenyewe na serikali ya kichwa chake....Kwani kuna mtu aliemshikia akili hapa....Acha aendelee kuringishia majirani ana flat screen kubwa ila hata account bank yoyote hana shenzi type kabisa huyoooo na wadizaini hii ndio wale wakushindana kwa miziki mikubwa nyumba za kupanga pambafuuuu🤣🤣🤣🤣
 
mume wako ni fundi ujenze bila shaka
 
Punguza kisirani Shemejii,,,Kama hutojali tubadilishane mawasiliano ya namba zetu za simu tuone namna ya mimi na wewe kuzungumza kiundani zaidi tuone namna ya kumnasua broo huko kwenye hayo maswahibu yanayomsibu!! Zingatia haya ninayo yasema,,,Na kuhakikishia huta juta shemeji yangu!!!
 
Inategmea sasa,, labda hakuwezeshwa😃😃
 
Shemu kama shemu😃😃🤣🤣
 
Kaenda kuliwa mtu kimasihara hapa 🤣🤣🤣🤣
 
Msaidie mumeo mfanye maendeleo kwa pamoja au wewe upo kwenye ndoa yako ku monitor maendeleo ya mumeo bila ww kuchangia kitu? Seems huchangii chochote hata mawazo hayo ya maendeleo hutoi kabisa kwenye maisha yenu ya ndoa.
 
Nguvu ya maendeleo ya familia yako ipo kwako wewe, wewe ndio mjenzi WA nyumba yako, kama mwanaume haoni loyalty yako kwake anaweza asifanye maendeleo ya maana akaamua kula maisha.
Jitulize na umtulize mmeo mtie moyo nmfungulie Dunia kwa kwa kipaji chako cha uvumilivu
 
Pumbavu mwenyewe ndo maana nataka ajenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…