Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Mi naona suluhu kila mtu aishi kimpango wake tu! Mapenzi yameshageuka biashara ya kulipishana kama tozo!

Yani unapomtongoza mwanamke rest assured kwamba kuna operational cost za mahusiano yenu na gharama hizo zinakuhusu mwanaume kwamba lazma umpe hela mwanamke kila akitaka!

Personally, its a form of slavery of exploiting a man for a womans comfort! Hii imeasisiwa na wazungu na wameimpose kwenye jamii zetu na matokeo yake imefikia stage mbaya sana.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Umeongea kwa uchungu sana best!
So providing for your woman ni slavery?
Isn't she doing the same?
Anyways imma bit old school .
 
Mimi kwakweli mzito kuomba omba sijui kwa ajili ya mazingira niliolelewa, Familia yetu imejijenga katika kujitegemea sana. Hata nikwame kiasi gani huwa sifikirii kusaidiwa yani mara 100 nimkope Bi mkubwa kama anacho wallah... kuomba wakati mwingine ni kujitafutia disappointment tu.
Hakuna kitu kizuri kama kupewa tu bila kuomba tena inakua furaha maana hukutegemea, Bro/Baby akinipa nasema Insha Allah Mungu amzidishie 7 mara 70 .. na uzuri Mungu anaona B huwa anajua jukumu lake kwangu kwa uwezo wake, na mpaka nimuombe mtu kitu nmejikana mara 3 kama petro HakyaMungu
Katika 10 yupo 1...mijanamke ya siku hizi mpka aibu...wanaomba omba mnoo
 
Tatizo ni ukosefu wa adabu! Hela inauma sana pale ambapo utafulia na mwanamke uliekuwa unampa hela zako anaanza kukusimaga kingese!
Sasa kwanini ziishe jamani, et[emoji2369][emoji2369][emoji2369][emoji2369]
 
Kuombwa pesa na mpenzi wako ifahamike sio kero kwetu wanaume naomba ieleweke hivo

Kero ni hii tena majuzi tu

Majuzi hiyo nimeomba namba kwa bint kabla sijamwambia chochote kuhusu kuomba namba usiku wa jana amenipigia simu et amepoteza pesa ambayo alipewa na mama yake akatume sehemu.

Anadai ameenda kwa wakala kuangalia pesa mfukoni ili ampe mtoa huduma hana eti amedondosha

Nikauliza kiasi gani kasema Elf50 anataka nimpe,

Hapo hata sijasema chochote kuhusu kuomba tayari shida zimeanza kama sio kero ni nini!
 
Nilimdharau saana na nilikuwa napenda ,ndo maana nilikuwa namvumilia japo hanipi ata sent, nilivoona anaomba na zawadi nikamuacha,
Ungemwambia hujapenda kuombwa zawadi papuchi uliompa ni zawadi tosha 😂
 
Huyo wa kujiongeza sio kwamba ndo kila siku unakaa unapewa, yani inatokea tu sometimes [emoji23][emoji23], kikubwa kutambua responsibility yake basi....
Kuomba omba ni utumwa, kuna watu unawaomba mchongo tu anakuzungusha wakati huo mchongo ukiupata unapambana mwenyewe kwa nguvu zako ila mtu anakukunjia hapo hapo.. fikiria inavyouma!
Hapo hujamuomba mtoto wa mama mkwe kitu, oh mara sijui nani anakudai mwisho wa siku stress zinakuua! Bora useme tu bwana weeh nikikwama basi Mungu niongoze nijalie mkate wangu wa kila siku! Mambo mengine yakija basi Insha allah
Ukiwa na akili za kujitegemea huwezi kufanya kuomba omba hela kama solution ya matatizo yako! Ni kujiongeza tu ufanye mishe upate chochote kitu.
 
Hamna kitu Cha namna hiyo, Mimi binafsi siwezi kumuomba pesa mwanaume, but mwanaume usipomuomba pesa anachukulia kama unajimudu so kapata ganda la ndizi
😅😅😅😅😅 sitetei kutokuombwa hela ila sipendi niombwe hela nikiwa sina! Inanikera na hasa kama mwanamke ni mtu wa kulia lia njaa kingese. Hawa ndio wanazingua
 
Mimi kama mimi kama mtu akanipa upkeep.Like Hey babe take this atleast ngozi ikae sawa, ununue some beautiful lingerie , etc....Kwa nini unyimwe mzigo tena nakupa mpaka ufurahi mwenyewe ili mradi ujue kuhudumia mwanamke na siyo lazima awe demu wako wa kudumu but take care of her.
Wewe unaweza kujenga kwenye kiwanja cha boyfriend wako?
 
Hata Kama unahela kiasi gan,, mwanaume anampa hela yule mwanamke ambaye tayari ana uhakika wa Umiliki juu yake.( She is mine)

Ndio maana kuna mwanaume anayeweza kukushawishi kwa pesa umpe mbususu kama lengo lake ni mbususu.


Mwingine anaihitaji muestablish relationship kwanza ndio awe responsible kwako .

Mlivyo sasa,,,,Mtu atakutongoza, unakua sitaki nataka, Unamlia pesa yake wee, alafu ndio unajilopokesha, " Nina bwana wangu, ananipenda sanaa na mimi nampenda ,sifikirii kumsaliti".


Mnakula nauli za watu. Hamtokeiii....nyie ni watu[emoji23][emoji23].


WANAUME WENZANGU, HUSUSANI VIJANA, MSIOGOPWE KUITWA MABAHIRI ,SIJUI HAUNA HELA SIJUI MASIKINI, NAJUA UNAJIJUA ULIVYO HIVO[emoji116]

[emoji117]Heshimu sana Pesa yako.
[emoji117]Kua na nidhamu na pesa yako.
[emoji117]Iombee Mungu Pesa yako ailinde.
[emoji117]Toa sadaka na zaka.
[emoji117]Saidia wahitaji hata watoto wa mitaani, siku moja moja nunua nguo hata zamitumba ,viatu katoe.
[emoji117]Fanya mamb yako ya msingi


LAKINI USIKAE KUITUMIA PESA YAKO KAMA SEHEM YA KUMFANYA MWANAMKE AKUPENDE, AKUONE KIDUME N.K .....

PENZI ITS AN EMOTIONAL DECISION AND NOT Financial decision na KUTOA PESA ni financial decision na sio Emotional.

huhitaji kutumia Pesa yako Kumfanya akutake, kufanya hivo ni kumfanya ajiaminishe yakua " She is in control ".[emoji777].






[emoji117]GUYS JIKITENI KUITAFUTA PESA NA KUITUMIA KUJIPA THAMANI, KUBORESHA MAISHA YAKO. JIPENI THAMANI , YAAN HATA AINA YA WANAWAKE WATAKAOKUJA KWAKO NI WALE WAPIGANAJI, WANAOHITAJI UWAFUNDISHE JINSI YA KUVUNA PESA ZAO, WANAOHITAJI UWASAPOTI KWENYE JUHUDI ZAO ZA UTAFUTAJ, WANAWAKE AMBAO NI "VERY BRIGHT VICHWANI , WANAOHITAJI KUA HURU KIUCHUMI...



Usipojipa thaman we mwenyewe, maana yake ILI UMPATE MWANAMKE ,UTAHITAJIKA KUA MTUMWA ,UTUMIE NGUVU NA PESA ULONAYO KUMSHAWISHI Ili tu akukubalie.

Nahawa ndio kila siku hahishi kukupiga mizinga ile mikubwa yaan (INTERCONTINENTAL BALLISTIC MISSILES) alafu ya mara Kwa mara.



[emoji117]Jipeni thamani , thamani inakupa nafasi ya machaguzi, thaman inakufanya, USIHANGAIKE KWA WANAWAKE...BALI WANAWAKE WAHANGAIKE KWAAJILI YAKO.


UKIJIPA THAMAN, KUMPA PESA MWANAMKE, ITABAKI NI UAMUZI WAKO WA KICHUMI .


UKIJIPA THAMANI, WANAWAKE WEEENGI WATAKUJA YAAN WENGIIIII NDUGU ZANGU, WATAKUJA , NA WAKIJA, SABABU UNA NAFASI YA MACHAGUZI, HAUTAKAA KAMWE KUTUMIA PESA YAKO ,KUMSHAWISHI MWANAMKE AWE WAKO.



SANASANA UTAITUMIA KUMUHUDUMIA MWANAMKE ULIYEMCHAGUA KATIKA HAO WENGII....NAHUO NI WAJIBU WA KIUME[emoji123]
This Legit shit! 😅
 
Naweza honga, nyumba,gari,kiwanja na pesa nyingi tu,lakini uwe umetulia sio nahonga gari,kesho namkuta mtoto wa miaka 22,kanyoa kiduku, suruali ipo chini ya makalio ndiyo anakutomber tena! Aiseeeee!
Kwa soko la sasa ni ngumu! Mwanamke mwenye matamaa hivyo uwe unamlala wewe pekeako!
 
Wanamke wanatoka na walio na mpunga wa mpunga anaangalia papuchi akiiochoka anamuweka pembeni na mwanaume ambae hana mpjnga anakuwa very loyal akipata tu anavuta kifaa yaani chombo
Ukisikia mwanamke anasema wanaume wote ni mbwa bro ogopa huyo ni tapeli
Tuishini tu ya dunia mengi sana na tunakoelekea itakuwa mpk unipe kitu fulani ndo ukate utepe walahi

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom