Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Kama ni mpenzi wangu au mke siyo tatizo,pia kuna wanawake mnakuwa kama marafiki hata akiomba unajua anahitaji msaada ,ila hawa paka waliofanya kuomba hela kama sala hell no
Hahahahahah wamegeuza kuomba omba kama sala ya baba yetu 🤣
 
Kuna hawa wa instagram, ukimsifia mara mbili mara tatu, anapata tatizo(yale matatizo yenu) anataka umkopeshe.
Kuna mmoja nilimjibu sikopeshi nitakupa tu, ifate hapa tabata segerea, akasema amekosa muda nimtumie m.pesa.
Akaishia kunibolck.
😅😅😅😅😅😅😅 angekuja afwate ukuni! Mtu mwenye shida anangojaga MPESA kwani! Ukisema fata hata ikiwa Kibaha atapanda gari
 
Tatizo kubwa ni kwamba yaani siku hizi ukishajuana na demu ,mkabadilishana mawasiliano.......mkianza kuchat baada ya meseji mbili tatu inayofuatia ni kirungu ..hapo ndipo mnapokosea ,at least muwe mnazuga kidogo hata wiki mbili ndipo muanze ombaomba zenu nyie madem mmezidi sasa ...hapa nina mfano hai wa kademu tumejuana majuzi kupitia whatsapp ..wala hatujawahi kuonana live...lakini jana kaniomba hela ya matibabu ya mama yake! sasa hapo unafikiri nafanyaje?
Unamlima ban tu😅
 
Wale wa saa nane usiku anakuambia “Baby sijala...” Wale ndio kero kama nzige wale. Sasa usifanye mwanamume akadhani na wewe ni mmojawapo. Wanaomba hela ya nauli, ya saluni, ya msosi na ya vicoba. Kero zaidi ni lile neno lao la mwisho. Eti “Tuma na ya kutolea.”
Kero kama nzige 😂😂😂😂😂
 
Kuna hawa wa instagram, ukimsifia mara mbili mara tatu, anapata tatizo(yale matatizo yenu) anataka umkopeshe.
Kuna mmoja nilimjibu sikopeshi nitakupa tu, ifate hapa tabata segerea, akasema amekosa muda nimtumie m.pesa.
Akaishia kunibolck.
Matatizo yetu pendwa: simu imeharibika, nna njaa, nimefiwa, gas imeisha, luku imeisha..😁😁
 
Tatizo kubwa ni kwamba yaani siku hizi ukishajuana na demu ,mkabadilishana mawasiliano.......mkianza kuchat baada ya meseji mbili tatu inayofuatia ni kirungu ..hapo ndipo mnapokosea ,at least muwe mnazuga kidogo hata wiki mbili ndipo muanze ombaomba zenu nyie madem mmezidi sasa ...hapa nina mfano hai wa kademu tumejuana majuzi kupitia whatsapp ..wala hatujawahi kuonana live...lakini jana kaniomba hela ya matibabu ya mama yake! sasa hapo unafikiri nafanyaje?
We unakaaga muda gani hadi uanze kuomba vyake?😁
Pole mwaya umeandika kwa uchungu.... wanawake wanaaomba hela wauwawe
 
Hii huwa inashupaliwa kote isipokuwa kwenye kuchakaza noti tu!

Ikija sehemu zinginezo kote mnajifanyaga mnaitambua sana 50/50! Watoto wa kike wahuni sana sikuhizi
Mambo hayawezi kuwa fair kwa upande wote, kuna sehemu tu lazma mmoja afaidike
 
Mzee wangu aliwah sema hili " Kijana nyakati zangu za ujana kuna wakati nilifikia nikaacha kufukuzana na wanawake, nilianza kufukuzia thamani. Heshima yangu na katika hayo mawili wanawake walianza kunifukuzia na ndipo nilipomchagua Mama yako ".

SIKILIZENI NDUGU ZANGU , WANAWAKE WANAPENDA WANAUME AMBAO NI "STRONG" .

Na huu ustrong unapatikana katika "Thamani" , ndio maana ukiwa mwalimu. Ukapangiwa kijijin huko..wanawake watakukimbiliaa vyakutosha

SIKILIZENI TENA, DIAMOND NI STAR.. ANAJULIKANA NI TOMBATOMBA... LKN NAWAAMBIA HAMNA MWANAMKE BONGO MWENYE UCHUMI, MWENYE ELIMU MWENYE NN. AMBAYE HAPENDI KUTOKA DIAMOND HATA KAMA DIAMOND HATAMPA 100

KWANN??? KWA SABABU DIAMOND NI MWENYE "THAMANI"

[emoji117]UKIWA MWENYE THAMAN , WANAWAKE WANAKUPENDA, WANAKUJA WENGI, WANAJILETAA. YAAAN WEWE UNAKUA MWENYE NAFASI KUBWA YA FAIDA SABABU UNAWEZA FANYA CHAGUO MWENYEWE

YAAN INAFIKIA WAKATI KILA MWANAMKE ANAYEBAHATIKA KUKUFAHAM ANAKUA ANAKUTAKA TU YAAN WANAKUTAKA[emoji23][emoji23][emoji23]

NA KADRI WANAVYOKUJA, NDIVYO WANAKUPA WEWEEE "NGUVU YA KUWATALA, KUA NA MAMLAKA JUU YAO NA KUWAONGOZA"

ni lini atakuendesha?? Ni lini atakupa presha kisa kakuomba hela?????

Ni Lini??????.

SASA USIWE NATHAMANI, ALAFU UTUMIE NGUVU+PESA KUMSHAWISHI AISEEEEE ATADUMU NAWEWE ENDAPO TU UTAENDELEA KUHANGAIKA KUMHONGA.

Follow excellence, succes will chase you.
 
Wanapewa namba leo, siku hiyo hiyo wanataka game.Ila meza ikipinduka eti wanawake wanalia njaa... [emoji23][emoji23]
Kuna jamaa aliwahi kumjia juu eti dem kamuomba hela mapema, jamaa aliomba namba siku hiyo hiyo akaomba mbususu dem nae akampandishia cha juu nakupa mbususu we unanipa nini 😂😂😂 jamaa alikua mkali eti dem ana tamaa, hii mbona ni mbwa kala mbwa
 
Kuna jamaa aliwahi kumjia juu eti dem kamuomba hela mapema, jamaa aliomba namba siku hiyo hiyo akaomba mbususu dem nae akampandishia cha juu nakupa mbususu we unanipa nini [emoji23][emoji23][emoji23] jamaa alikua mkali eti dem ana tamaa, hii mbona ni mbwa kala mbwa
Ndo maana ya haitolewi bure wala haiuzwi.
Anataka aichakaze mbususu ya watu hata hela ya sabuni asitoe..[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom