Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣.
Umeongea kwa uchungu sana best!
So providing for your woman ni slavery?
Isn't she doing the same?
Anyways imma bit old school .
 
Katika 10 yupo 1...mijanamke ya siku hizi mpka aibu...wanaomba omba mnoo
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] bby i love u so so! Much!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daaah!
 
Tatizo ni ukosefu wa adabu! Hela inauma sana pale ambapo utafulia na mwanamke uliekuwa unampa hela zako anaanza kukusimaga kingese!
Sasa kwanini ziishe jamani, et[emoji2369][emoji2369][emoji2369][emoji2369]
 
Kuombwa pesa na mpenzi wako ifahamike sio kero kwetu wanaume naomba ieleweke hivo

Kero ni hii tena majuzi tu

Majuzi hiyo nimeomba namba kwa bint kabla sijamwambia chochote kuhusu kuomba namba usiku wa jana amenipigia simu et amepoteza pesa ambayo alipewa na mama yake akatume sehemu.

Anadai ameenda kwa wakala kuangalia pesa mfukoni ili ampe mtoa huduma hana eti amedondosha

Nikauliza kiasi gani kasema Elf50 anataka nimpe,

Hapo hata sijasema chochote kuhusu kuomba tayari shida zimeanza kama sio kero ni nini!
 
Katika 10 yupo 1...mijanamke ya siku hizi mpka aibu...wanaomba omba mnoo
Kawaida ina bid tuwa zoee dada zetu Wana mambo mengi Tu, mbona serikal yetu inapenda kuomba hela Kwa mabeberu, wanawake wataacha kuomba omba hela mpaka Serikal ya CCM waache kuomba Kwa mabeberu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa hela we mpare, usitafute visingizio bwana! Zikiisha tutajua huko mbele ya safari[emoji1787][emoji1787]
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… tutajua hatujui
 
Nilimdharau saana na nilikuwa napenda ,ndo maana nilikuwa namvumilia japo hanipi ata sent, nilivoona anaomba na zawadi nikamuacha,
Ungemwambia hujapenda kuombwa zawadi papuchi uliompa ni zawadi tosha πŸ˜‚
 
Ukiwa na akili za kujitegemea huwezi kufanya kuomba omba hela kama solution ya matatizo yako! Ni kujiongeza tu ufanye mishe upate chochote kitu.
 
Hamna kitu Cha namna hiyo, Mimi binafsi siwezi kumuomba pesa mwanaume, but mwanaume usipomuomba pesa anachukulia kama unajimudu so kapata ganda la ndizi
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… sitetei kutokuombwa hela ila sipendi niombwe hela nikiwa sina! Inanikera na hasa kama mwanamke ni mtu wa kulia lia njaa kingese. Hawa ndio wanazingua
 
Wewe unaweza kujenga kwenye kiwanja cha boyfriend wako?
 
This Legit shit! πŸ˜…
 
Naweza honga, nyumba,gari,kiwanja na pesa nyingi tu,lakini uwe umetulia sio nahonga gari,kesho namkuta mtoto wa miaka 22,kanyoa kiduku, suruali ipo chini ya makalio ndiyo anakutomber tena! Aiseeeee!
Kwa soko la sasa ni ngumu! Mwanamke mwenye matamaa hivyo uwe unamlala wewe pekeako!
 
Wanamke wanatoka na walio na mpunga wa mpunga anaangalia papuchi akiiochoka anamuweka pembeni na mwanaume ambae hana mpjnga anakuwa very loyal akipata tu anavuta kifaa yaani chombo
Ukisikia mwanamke anasema wanaume wote ni mbwa bro ogopa huyo ni tapeli
Tuishini tu ya dunia mengi sana na tunakoelekea itakuwa mpk unipe kitu fulani ndo ukate utepe walahi

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…